Bila Magufuli SGR isingekuwepo

Bila Magufuli SGR isingekuwepo

Weka source ya figures zako kwa sababu media nyingi ziliripoti somewhere around $7.7 Billion! Na ingawaje hiyo tuliona nyingi lakini kuna uwezekano mkubwa ujenzi wa sasa ukapita hiyo $7.7 Billion.

Na kuhusu kuchukua Exim, kumbe ulitarajia wakachukue wapi?!

Na subcontractors wa Turkey wanatokea wapi? Tanzania, au?

Tushazoea hayo maelezo kutoka kwa wafuasi wa JPM manake wanajiona wao tu ndo wasafi wakati hakuna msafi hata mmoja kutoka CCM! Btw, mbona hivi sasa Mchina kapewa tenda na serikali hiyo hiyo ya JPM?! Au mwanzo walikataa kwa sababu hawakuwapo kwenye mgao wa hiyo 20% unayodai ilikuwa ya wapigaji?

Hiyo figure ndo ilikuwa ya Wachina. Tujikumbushe habari ambayo iliandika na Reuters

"Transport Minister Samuel Sitta told parliament on Saturday a Chinese consortium had been awarded a contract to build a 2,561 km (1,536 miles) standard gauge railway connecting Dar es Salaam port to land-locked neighbours at a cost of $7.6 billion."

Na hayo matrilion ishirini na kadhaa uliyotaja yalikuwa ni kwa ajili railway network. Ni matumaini yangu utakuwa unafahamu tofauti kati ya railway na rail network.

"Tanzania said in March it planned to spend $14.2 billion to construct a new rail network in the next five years financed with commercial loans, as the country aims to become a regional transport hub."

Wewe ndo unapotosha vinginevyo weka credible source ya maelezo yako. Halafu acha kujifanya nyie ni wasafi wakati ni wezi tu na huyo Magufuli wenu!
Aisee una akili sana huyu mfia legacy alitaka kutuingiza Chaka ni wapumbavu sana hawa watu wanaongeaga kama vile hii nchi ilianzishwa na Magufuli na hakukuwa na mipango yoyote Ile Wala maendeleo.

Yani eti bila Magufuli SGR isingejengwa kumbe mchakato ukishakuwa kwenye pipeline.

Stupid kabisa wakafe nae au wakalale makaburuni afufuke maana tumechoka sasa as if hakukuwa na serikali Wala mipango.

Hizi Flyover zote kajenga Kikwete, BRT kajenga Kikwete, daraja kigamboni na malagalasi kajenga Kikwete Ila hawasemi na Magufuli akaamua kuwapa majina watu wake bila hata kunikumbuka JK.

Daraja la rufiji Mkapa, uwanja wa mpira Mkapa, mabarabara ya kusaini yote mpaka mpanda Mkapa maana alisema anataka kuiunganisha nchi na JK alipoingia alimalizia miradi yote Ila utasikia Magufuli, shenzi kabisa.

Huu uongo wa kishamba ndio unajifanya Magufuli wenu anachukiwa, kwani mkiwa wakweli bila kumuoverrate Kuna shida gani?? Tatizo wengi mmekuja mjini kuuza ng'ombe ndio mkabaki hapa kwa hiyo kila daraja mnaita mabusega yapo mengi daresalama.
 
Nimekuja kukukisoa sio kukufundisha maana umekariri ndivyo sivyo.SGR,Hyperloop MAGRAV ni teknolojua tofauti na Tanzania haina uwezo wa MAGRAV wala Hyperloop.
Tanzania haihasaini hyperloop imesainu SGR which is an outdated technoligy!
Hyperloop ni chupa la vioo wakati SGR ni Reli .Sisi tumesaini reli sio chupa.
Hv ulielewa swali nililouliza au basi unataka kuleta ujuaji?
 
Jana Mh Alisema sababu ya kuendelea na mradi wa SGR ni " tumetumia hela nyingi tayari, tukiuacha sasa hivi tutakua tumetupa hela".

Kwa maana hiyo mradi ule hauna sababu ya kiuchumi kuwepo, unamaliza hela tu.

Kama Mh mama angelikua rais tokea mwanzo mambo ambayo angefanya ni kupandisha vyeo watumishi, kusafiri kuomba mikopo na kujenga madarasa kama JK.

Mambo makubwa makubwa kama kuvuta maji kutoka victoria, umeme wa Nyerere na Ndege wala asingeyagusa.
Nenda kamwambie huko Chato..Ndo maana Kikwete aliwatwanga siku ile ya mazishi ya Magu kuwa barabara za kuunganisha nchi nzima za mikoa ni yeye alijenga ili aache iwe legacy yake. Ndo mkanyamaza, maana mlikwisha aminishwa na yule boya kuwa barabara zote nchini yeye ndo alijenga!
 
The idea is not an issue, what matters is the desire to implement ideas, imagine idea ya bwawa la Rufiji imeexist for more than 30 years bila kutekelezwa, nani tumpe credit Kati ya Marais watano waliopita?!!

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Halaf akaja boya mmoja akakata miti milioni 3.5 ili ajenge bwawa na mvua hazinyeshi sasa hivi mnasumbua watu wamuombe Mungu.
 
The desire for Sgr yes, but not Rufiji hydropower electric plant.

About Sgr he made the right decision to chase those Chines rooters, see what they did to our fellow Kenyans (Price excegration with low quality compared to Turkey).

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Mzungu mweusi ambae anajifanya hajui kiswahili 🚮🚮
 
Kwa hiyo ndio tuseme bila Nyerere Tanzania isingepata Uhuru.
Kuna wakati unaweza kusema NDIYO au LAh!, Sababu kila jambo huwa na mtu wa kulisukuma lifike au lisifike.
 
Well, mchakato wa Bandari kwa taarifa yako umeanza 2004 wakati wa Mkapa baadae ukaibuliwa mwaka 2009 baada ya kuwa na congestion ya mizigo bandarini na kukawa na kelele kuhusu uhitaji wa Bandari kubwa, ndipo ukaja kusisitizwa na JK mwake 2012 ikaundwa negotiation team ambapo ilikuwa kazi kubwa ni kuanza kuhakiki majina ya wenye maeneo pale inapojengwa Bandari ili walipwe kwa kushirikiana TPA kama mlipaji na Halmashauri ya Bagamoyo kama mdau wa Ardhi ya kike na mhifadhi wanmajina ya wamiliki halali, it wasn't a simple job watu walikuwa na maeneo yao kule wengi ilibidi walipwe kulingana na mthamini mkuu wa serikali alivyoweka viwango.

Acquisition haikuwa rahisi maana pia Kuna kesi zilifunguliwa Yale yalikuwa maeneo ya watu hakukuwa pori tu Hadi chuo Cha uvuvi ikabidi kihamishwe sasa tofautisha na kujenga reli ambayo hauchukui eneo la mtu au bwawa la umeme ambalo linachukua pori la selous.

Mambo mengine kuyaongea ni rahisi sana Ila utekelezaji haikuwa unaweka tu Bandari inakaa Kama mataaluma yanayotandazwa kwenye njia ambayo ipo tayari na mapori yasiyomilikiwa na mtu.

Lakini inaruhusiwa kuwa na opinion yako maana ni haki yako pia
sawa sawa,inaonekana wewe ni mtu ambae upo well informed ila kwa sababu flan flan unaamua kusimamia upande wenye maslahi yako.

Tujadili kuhusu mradi wa Mabasi ya mwendo kasi ambao umeanza mpaka umeisha chini ya JK.
Je unakumbuka kiwango cha nauli pendekezwa cha awali kwenye mabasi ya mwendo kasi??
 
Sikujibu swali nilijibu comment yako.Toa neno hyperloop kwenye swali lako weka neni SGR.
Angalia tena comment yaki uliuluzaje.
Comment yangu ilikuwa swali..jibu lako lInaonesha jinsi usivyo makini
 
There was a desire pia, Magufuli ameingia madarakani akakuta tayari kulikuwa na maongezi yalikuwa yanaendelea kati ya serikali yetu na wachina lakini alipoingia Magu akawafukuza Jambo ambalo lilisababisha kutetereka kwa mahusiano kati ya nchi hizi mbili.

So there was a deaire
hakukua na desire wala nini, kulikua na upigaji. Ilitakiwa ujenzi uanze mwezi wa 6 lakini ikiashindikana. Rothschild nao walikua wanataka mgao kwenye mkopo ambao Tanzania atapewa.
 
Hii nchi serikali awamu ya tano iliikuta na mipango, bajeti, fedha, mikopo iliyokamilika, miradi inayoendelea, mipango ya miradi ambayo haijaanza, watumishi wazoefu, majeshi yaliyoilinda nchi tangu uhuru, vitendea kazi na mengine mengi.

Hakukuwa na MUNGU MUUMBA WA TANZANIA awamu ya 5. Sijui kwann kuna watu WANATENGENEZA mungu binadamu ambaye kulingana na wao Tanzania imeumbwa kupitia yeye.
 
Kuna vitu vingi sana hujui mkuu au unafanya makusudi kuleta uongo hapa.

Kwa taarifa yako Wachina kwenye mkataba wa mwanzo walitaka wajenge reli kwa gharama ya 24T na pesa ingetolewa na Exim Bank ya China na wachina walikuwa na masharti magumu ikiwemo subcontractors wote watoke China na kulikuwa na group la wapigaji la hapa nchini lilikuwa lipate 20% ya hiyo pesa ndiyo maana wao wakalazimisha subcontractors watoke pia China.

Serikali ya Magufuli ilipoingia madarakani ikakataa masharti hayo na Waturuki wakaja na gharama ya 14T na wakakubali subcontractors watoke TZ. Exim Bank ya China ikakataa kutoa mkopo ndipo serikali ikasema itaendelea na ujenzi kwa kutumia pesa zake na ujenzi ukaanza lakini baadae Bank nyingi zikajitokeza kutoa mkopo ikiwepo Exim.

Nashangaa wewe unapopotosha au ulikuwa katika deal la 20% ya 24T ndiyo maana unapotosha tunajua watu wamadili mlipigwa stop sana katika serikali ya awamu ya tano ndiyo mnamapovu sana!! Na Mama naye ameanza kuwashitukia sasa mtakula jeuri yenu.
Sio kweli.
Screenshot_20240617-110151.png
 
Weka source ya figures zako kwa sababu media nyingi ziliripoti somewhere around $7.7 Billion! Na ingawaje hiyo tuliona nyingi lakini kuna uwezekano mkubwa ujenzi wa sasa ukapita hiyo $7.7 Billion.

Na kuhusu kuchukua Exim, kumbe ulitarajia wakachukue wapi?!

Na subcontractors wa Turkey wanatokea wapi? Tanzania, au?

Tushazoea hayo maelezo kutoka kwa wafuasi wa JPM manake wanajiona wao tu ndo wasafi wakati hakuna msafi hata mmoja kutoka CCM! Btw, mbona hivi sasa Mchina kapewa tenda na serikali hiyo hiyo ya JPM?! Au mwanzo walikataa kwa sababu hawakuwapo kwenye mgao wa hiyo 20% unayodai ilikuwa ya wapigaji?

Hiyo figure ndo ilikuwa ya Wachina. Tujikumbushe habari ambayo iliandika na Reuters

"Transport Minister Samuel Sitta told parliament on Saturday a Chinese consortium had been awarded a contract to build a 2,561 km (1,536 miles) standard gauge railway connecting Dar es Salaam port to land-locked neighbours at a cost of $7.6 billion."

Na hayo matrilion ishirini na kadhaa uliyotaja yalikuwa ni kwa ajili railway network. Ni matumaini yangu utakuwa unafahamu tofauti kati ya railway na rail network.

"Tanzania said in March it planned to spend $14.2 billion to construct a new rail network in the next five years financed with commercial loans, as the country aims to become a regional transport hub."

Wewe ndo unapotosha vinginevyo weka credible source ya maelezo yako. Halafu acha kujifanya nyie ni wasafi wakati ni wezi tu na huyo Magufuli wenu!
😂🙆🏾‍♀️
 
Aisee una akili sana huyu mfia legacy alitaka kutuingiza Chaka ni wapumbavu sana hawa watu wanaongeaga kama vile hii nchi ilianzishwa na Magufuli na hakukuwa na mipango yoyote Ile Wala maendeleo.

Yani eti bila Magufuli SGR isingejengwa kumbe mchakato ukishakuwa kwenye pipeline.

Stupid kabisa wakafe nae au wakalale makaburuni afufuke maana tumechoka sasa as if hakukuwa na serikali Wala mipango.

Hizi Flyover zote kajenga Kikwete, BRT kajenga Kikwete, daraja kigamboni na malagalasi kajenga Kikwete Ila hawasemi na Magufuli akaamua kuwapa majina watu wake bila hata kunikumbuka JK.

Daraja la rufiji Mkapa, uwanja wa mpira Mkapa, mabarabara ya kusaini yote mpaka mpanda Mkapa maana alisema anataka kuiunganisha nchi na JK alipoingia alimalizia miradi yote Ila utasikia Magufuli, shenzi kabisa.

Huu uongo wa kishamba ndio unajifanya Magufuli wenu anachukiwa, kwani mkiwa wakweli bila kumuoverrate Kuna shida gani?? Tatizo wengi mmekuja mjini kuuza ng'ombe ndio mkabaki hapa kwa hiyo kila daraja mnaita mabusega yapo mengi daresalama.
🙆
 
Back
Top Bottom