Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 7,019
- 10,455
Aisee una akili sana huyu mfia legacy alitaka kutuingiza Chaka ni wapumbavu sana hawa watu wanaongeaga kama vile hii nchi ilianzishwa na Magufuli na hakukuwa na mipango yoyote Ile Wala maendeleo.Weka source ya figures zako kwa sababu media nyingi ziliripoti somewhere around $7.7 Billion! Na ingawaje hiyo tuliona nyingi lakini kuna uwezekano mkubwa ujenzi wa sasa ukapita hiyo $7.7 Billion.
Na kuhusu kuchukua Exim, kumbe ulitarajia wakachukue wapi?!
Na subcontractors wa Turkey wanatokea wapi? Tanzania, au?
Tushazoea hayo maelezo kutoka kwa wafuasi wa JPM manake wanajiona wao tu ndo wasafi wakati hakuna msafi hata mmoja kutoka CCM! Btw, mbona hivi sasa Mchina kapewa tenda na serikali hiyo hiyo ya JPM?! Au mwanzo walikataa kwa sababu hawakuwapo kwenye mgao wa hiyo 20% unayodai ilikuwa ya wapigaji?
Hiyo figure ndo ilikuwa ya Wachina. Tujikumbushe habari ambayo iliandika na Reuters
"Transport Minister Samuel Sitta told parliament on Saturday a Chinese consortium had been awarded a contract to build a 2,561 km (1,536 miles) standard gauge railway connecting Dar es Salaam port to land-locked neighbours at a cost of $7.6 billion."
Na hayo matrilion ishirini na kadhaa uliyotaja yalikuwa ni kwa ajili railway network. Ni matumaini yangu utakuwa unafahamu tofauti kati ya railway na rail network.
"Tanzania said in March it planned to spend $14.2 billion to construct a new rail network in the next five years financed with commercial loans, as the country aims to become a regional transport hub."
Wewe ndo unapotosha vinginevyo weka credible source ya maelezo yako. Halafu acha kujifanya nyie ni wasafi wakati ni wezi tu na huyo Magufuli wenu!
Yani eti bila Magufuli SGR isingejengwa kumbe mchakato ukishakuwa kwenye pipeline.
Stupid kabisa wakafe nae au wakalale makaburuni afufuke maana tumechoka sasa as if hakukuwa na serikali Wala mipango.
Hizi Flyover zote kajenga Kikwete, BRT kajenga Kikwete, daraja kigamboni na malagalasi kajenga Kikwete Ila hawasemi na Magufuli akaamua kuwapa majina watu wake bila hata kunikumbuka JK.
Daraja la rufiji Mkapa, uwanja wa mpira Mkapa, mabarabara ya kusaini yote mpaka mpanda Mkapa maana alisema anataka kuiunganisha nchi na JK alipoingia alimalizia miradi yote Ila utasikia Magufuli, shenzi kabisa.
Huu uongo wa kishamba ndio unajifanya Magufuli wenu anachukiwa, kwani mkiwa wakweli bila kumuoverrate Kuna shida gani?? Tatizo wengi mmekuja mjini kuuza ng'ombe ndio mkabaki hapa kwa hiyo kila daraja mnaita mabusega yapo mengi daresalama.