BestOfMyKind
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 1,350
- 1,464
Harakati za uhuru zilianza mwishoni mwa 1800s na akina mkwawa, milambo n.k ikaja na maji maji na kuendelea kipindi chote hicho hatukupata uhuru, 1960 ndio tulipata.Kwa hiyo ndio tuseme bila Nyerere Tanzania isingepata Uhuru.
Hata harakati za SGR zilianza wakati wa JK ndio hivyoHarakati za uhuru zilianza mwishoni mwa 1800s na akina mkwawa, milambo n.k ikaja na maji maji na kuendelea kipindi chote hicho hatukupata uhuru, 1960 ndio tulipata.
Nyumbu watakupopoa mawe wakati hata kuhamia Dodoma tu iliwashinda kwa miaka 40Jana Mh Alisema sababu ya kuendelea na mradi wa SGR ni " tumetumia hela nyingi tayari, tukiuacha sasa hivi tutakua tumetupa hela".
Kwa maana hiyo mradi ule hauna sababu ya kiuchumi kuwepo, unamaliza hela tu.
Kama mh mama angelikua rais tokea mwanzo mambo ambayo angefanya ni kupandisha vyeo watumishi, kusafiri kuomba mikopo na kujenga madarasa kama JK.
Mambo makubwa makubwa kama kuvuta maji kutoka victoria, umeme wa Nyerere na Ndege wala asingeyagusa.
Tatizo lako ni kutofuatilia mambo yanavyoenda kwenye jumuia ya Afrika Mashariki, ujenzi wa reli hiyo uliamuliwa na nchi za jumuia, hata hivyo Kenya najua utabisha wao walikwisha ijenga.Jana Mh Alisema sababu ya kuendelea na mradi wa SGR ni " tumetumia hela nyingi tayari, tukiuacha sasa hivi tutakua tumetupa hela".
Kwa maana hiyo mradi ule hauna sababu ya kiuchumi kuwepo, unamaliza hela tu.
Kama mh mama angelikua rais tokea mwanzo mambo ambayo angefanya ni kupandisha vyeo watumishi, kusafiri kuomba mikopo na kujenga madarasa kama JK.
Mambo makubwa makubwa kama kuvuta maji kutoka victoria, umeme wa Nyerere na Ndege wala asingeyagusa.
Huyo JPM mwenyewe kama angeingia madarakani miezi 6 baadae angekuta ujenzi umeshaanza kwa sababu wakati anaingia madarakani alikuta hatua za mwanzo zote zimeshakamilika, na kulikuwa na kila dalili Mchina ndie angepewa tenda ya ujenzi!! Kaa ukifahamu mradi wa bandari ya Bagamoyo ulikuwa unaenda sambasamba na SGR. Aidha, kulikuwa na mpango wa kuinganisha East Africa na Reli.Jana Mh Alisema sababu ya kuendelea na mradi wa SGR ni " tumetumia hela nyingi tayari, tukiuacha sasa hivi tutakua tumetupa hela".
Kwa maana hiyo mradi ule hauna sababu ya kiuchumi kuwepo, unamaliza hela tu.
Kama Mh mama angelikua rais tokea mwanzo mambo ambayo angefanya ni kupandisha vyeo watumishi, kusafiri kuomba mikopo na kujenga madarasa kama JK.
Mambo makubwa makubwa kama kuvuta maji kutoka victoria, umeme wa Nyerere na Ndege wala asingeyagusa.
Acheni kumkufuru Mungu. Kikwete alisaini mkataba na Wachina kujenga hyperloop kwenda Kigoma?Jana Mh Alisema sababu ya kuendelea na mradi wa SGR ni " tumetumia hela nyingi tayari, tukiuacha sasa hivi tutakua tumetupa hela".
Kwa maana hiyo mradi ule hauna sababu ya kiuchumi kuwepo, unamaliza hela tu.
Kama Mh mama angelikua rais tokea mwanzo mambo ambayo angefanya ni kupandisha vyeo watumishi, kusafiri kuomba mikopo na kujenga madarasa kama JK.
Mambo makubwa makubwa kama kuvuta maji kutoka victoria, umeme wa Nyerere na Ndege wala asingeyagusa.
Hawa wafuasi wa JPM ndo maana walikuwa easy target ya kudanganyika kwa sababu hawafuatilii mambo!Tatizo lako ni kutofuatilia mambo yanavyoenda kwenye jumuia ya Afrika Mashariki, ujenzi wa reli hiyo uliamuliwa na nchi za jumuia, hata hivyo Kenya najua utabisha wao walikwisha ijenga.
Iliwashinda au waliona ujinga?!Nyumbu watakupopoa mawe wakati hata kuhamia Dodoma tu iliwashinda kwa miaka 40
Tena sio idea tu! Endapo Kikwete angekaa madarakani miezi 6 zaidi, ujenzi ungeanza awamu yake kwa sababu almost kila kitu kilishakamilika, na Mchina alikuwa tayari kujenga reli kwa sababu Mradi wa Bandari ya Bagamoyo usingekuwa feasible bila SGR!SGR idea ilianza wakati wa Kikwete consult your records right sema ujenzi ndio uliwekwa kipaumbele na ukaangukia wakati wa Magufuli.
Tuwekee records hizo mkuu kama hutojali. Maana wengine hutukubahatika kuziona wala kuzisikia.SGR idea ilianza wakati wa Kikwete consult your records right sema ujenzi ndio uliwekwa kipaumbele na ukaangukia wakati wa Magufuli.
Ni kweli na alipoingia Magufuli akamfukuzamchina akawapa waturuki baada ya Ile team ya waziri Mkuu wa uturuki kuja Tanzania wakamtoa ndimu msukuma.Tena sio idea tu! Endapo Kikwete angekaa madarakani miezi 6 zaidi, ujenzi ungeanza awamu yake kwa sababu almost kila kitu kilishakamilika, na Mchina alikuwa tayari kujenga reli kwa sababu Mradi wa Bandari ya Bagamoyo usingekuwa feasible bila SGR!
EXACTLY! Unakumbuka vema!Ni kweli na alipoingia Magufuli akamfukuzamchina akawapa waturuki baada ya Ile team ya waziri Mkuu wa uturuki kuja Tanzania wakamtoa ndimu msukuma.
The idea is not an issue, what matters is the desire to implement ideas, imagine idea ya bwawa la Rufiji imeexist for more than 30 years bila kutekelezwa, nani tumpe credit Kati ya Marais watano waliopita?!!SGR idea ilianza wakati wa Kikwete consult your records right sema ujenzi ndio uliwekwa kipaumbele na ukaangukia wakati wa Magufuli.
Soma hapa: Tanzania awards $9 bln rail projects to Chinese companiesTuwekee records hizo mkuu kama hutojali. Maana wengine hutukubahatika kuziona wala kuzisikia.
Ilikuwa ni zaidi ya idea. Soma hapa chini-The idea is not an issue, what matters is the desire to implement ideas, imagine idea ya bwawa la Rufiji imeexist for more than 30 years bila kutekelezwa, nani tumpe credit Kati ya Marais watano waliopita?!!
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
There was a desire pia, Magufuli ameingia madarakani akakuta tayari kulikuwa na maongezi yalikuwa yanaendelea kati ya serikali yetu na wachina lakini alipoingia Magu akawafukuza Jambo ambalo lilisababisha kutetereka kwa mahusiano kati ya nchi hizi mbili.The idea is not an issue, what matters is the desire to implement ideas, imagine idea ya bwawa la Rufiji imeexist for more than 30 years bila kutekelezwa, nani tumpe credit Kati ya Marais watano waliopita?!!
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app