Na ni mjinga tu ndie anaweza kusema kama sio JPM basi SGR isingejengwa wakati JPM kaingia madarakani kakuta taratibu karibu zote zimeshakamilika!Aliyesain mkataba na waliojenga reli, mnhp ni kikwete ama magufuli?. Ni mjinga tu ndo anaweza kubeza kazi nzuri alizofanya magufuli. Nawaacha mbishane ila wenye akili tunajua kila kitu
Hii roho yako ya korosho inakusaidia nini?Ni kweli na alipoingia Magufuli akamfukuzamchina akawapa waturuki baada ya Ile team ya waziri Mkuu wa uturuki kuja Tanzania wakamtoa ndimu msukuma.
Hata taratibu zote za kuhamia Dodoma zilikuwa zimeshakamilikaNa ni mjinga tu ndie anaweza kusema kama sio JPM basi SGR isingejengwa wakati JPM kaingia madarakani kakuta taratibu karibu zote zimeshakamilika!
SGR alishatafutwa Mkandarasi. Je, taratibu za kuhamia Dodoma Mkandarasi alikuwa nani?Hata taratibu zote za kuhamia Dodoma zilikuwa zimeshakamilika
JK alishindwa kutokana na wapigaji kutaka cha juu kikubwaSGR idea ilianza wakati wa Kikwete consult your records right sema ujenzi ndio uliwekwa kipaumbele na ukaangukia wakati wa Magufuli.
Then Mturuki akaenda omba Mkopo China wa kujenga reli,chuma matiper yote yanatoka China,so gharama za ujenzi ni mara mbili ya awali ya mchina.Ni kweli na alipoingia Magufuli akamfukuzamchina akawapa waturuki baada ya Ile team ya waziri Mkuu wa uturuki kuja Tanzania wakamtoa ndimu msukuma.
Kuhamia dodoma ilikuwa ni hitaji la magufuli na sio hitaji la watz.SGR alishatafutwa Mkandarasi. Je, taratibu za kuhamia Dodoma Mkandarasi alikuwa nani?
The problem mnadhani watu walikuwa wanashindwa kuhamia Dodoma kumbe haikuwa kipaumbele! Na kwavile haikuwa kipaumbele, viongozi walikuwa wanahamia hatua kwa hatua!!
The desire for Sgr yes, but not Rufiji hydropower electric plant.There was a desire pia, Magufuli ameingia madarakani akakuta tayari kulikuwa na maongezi yalikuwa yanaendelea kati ya serikali yetu na wachina lakini alipoingia Magu akawafukuza Jambo ambalo lilisababisha kutetereka kwa mahusiano kati ya nchi hizi mbili.
So there was a deaire
Bila Mkapa , watanzania wasingekuwa na rais wa hovyo kama MagufuliJana Mh Alisema sababu ya kuendelea na mradi wa SGR ni " tumetumia hela nyingi tayari, tukiuacha sasa hivi tutakua tumetupa hela".
Kwa maana hiyo mradi ule hauna sababu ya kiuchumi kuwepo, unamaliza hela tu.
Kama Mh mama angelikua rais tokea mwanzo mambo ambayo angefanya ni kupandisha vyeo watumishi, kusafiri kuomba mikopo na kujenga madarasa kama JK.
Mambo makubwa makubwa kama kuvuta maji kutoka victoria, umeme wa Nyerere na Ndege wala asingeyagusa.
Upo sahihi Chifu. Kuna mdau mmoja hapa JF nimemsahau tu! Huyu mdau alipata kusema kwamba, JPM ana na ile tabia ya kutaka aonekane yeye ndie mvunja mifupa "iliyowashinda" wengine.Kuhamia dodoma ilikuwa ni hitaji la magufuli na sio hitaji la watz.
Thus hayupo na Dodoma inafifia.
Mbona hata yeye alirudi tena kwa hao hao unaowaita rooters?! Yaani watu mmeongopewa na awamu ya tano kuanzia siku ya mwanzo hadi ya mwisho!! Halafu hilo la low quality labda ukumbushwe TAZARA imejengwa na Mchina na inakaribia miaka 50 sasa na bado ipo swafi!The desire for Sgr yes, but not Rufiji hydropower electric plant.
About Sgr he made the right decision to chase those Chines rooters, see what they did to our fellow Kenyans (Price excegration with low quality compared to Turkey).
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Ingekuwepo. Si ya umeme, ni kama ya [emoji1139] KenyaJana Mh Alisema sababu ya kuendelea na mradi wa SGR ni " tumetumia hela nyingi tayari, tukiuacha sasa hivi tutakua tumetupa hela".
Kwa maana hiyo mradi ule hauna sababu ya kiuchumi kuwepo, unamaliza hela tu.
Kama Mh mama angelikua rais tokea mwanzo mambo ambayo angefanya ni kupandisha vyeo watumishi, kusafiri kuomba mikopo na kujenga madarasa kama JK.
Mambo makubwa makubwa kama kuvuta maji kutoka victoria, umeme wa Nyerere na Ndege wala asingeyagusa.
Ilikuwa mihemuko tu ya JPM kwa sababu wakati aliwapiga chini Wachina kwa mbwembwe zote lakini hata kabla ya kifo chake, wakarudi tena kwa Wachina! Mkuu asikudanganye mtu. Kwa Afrika hii kumkwepa Mchina sio kazi nyepesiIt will be nice to know what was the financial implications of the Chinese package against what we have now kabla ya kuanza ku praise watu. I believe we are worse off now
Aliyetoa hiyo tender ya Isaka-Mwanza ni wakati wa mama Samia Magufuli aliwakataa wachina hata ukisema nina roho ya korosho lakini huu ukweli utabaki kuwa hivyo.Hii roho yako ya korosho inakusaidia nini?
Mchina anajenga Isaka - Mwanza
Whatever it is lakini idea ndiko ilikoanzia na utekelezaji ndiko ilikoanzia na JK hakushindwa Ila muda wake wa kukaa madarakani ulikuwa imeisha.same as Bagamoyo portJK alishindwa kutokana na wapigaji kutaka cha juu kikubwa
Yes, na wakati huo anakopa kwa Dola analipwa kwa Tshs hapo ndio hiyo gharama ikawa double. Alishaelezea hii kitu mheshimiwa ZittoThen Mturuki akaenda omba Mkopo China wa kujenga reli,chuma matiper yote yanatoka China,so gharama za ujenzi ni mara mbili ya awali ya mchina.
Makubaliano ilikuwa Mchina azalishe chuma nchini Ili kupunguza gharama,
Yule Bwana kwa kupenda 10% akampa Mturuki.