I share a different opinion but as long it's your constitutional right tuachanae na huu ubishiThe desire for Sgr yes, but not Rufiji hydropower electric plant.
About Sgr he made the right decision to chase those Chines rooters, see what they did to our fellow Kenyans (Price excegration with low quality compared to Turkey).
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
JK mchakato wa SGR ulianza tangu 2012, Bandari ya Bagamoyo pia akaweka hadi Jiwe la msingi lakini hakuna kituWhatever it is lakini idea ndiko ilikoanzia na utekelezaji ndiko ilikoanzia na JK hakushindwa Ila muda wake wa kukaa madarakani ulikuwa imeisha.same as Bagamoyo port
Well, mchakato wa Bandari kwa taarifa yako umeanza 2004 wakati wa Mkapa baadae ukaibuliwa mwaka 2009 baada ya kuwa na congestion ya mizigo bandarini na kukawa na kelele kuhusu uhitaji wa Bandari kubwa, ndipo ukaja kusisitizwa na JK mwake 2012 ikaundwa negotiation team ambapo ilikuwa kazi kubwa ni kuanza kuhakiki majina ya wenye maeneo pale inapojengwa Bandari ili walipwe kwa kushirikiana TPA kama mlipaji na Halmashauri ya Bagamoyo kama mdau wa Ardhi ya kike na mhifadhi wanmajina ya wamiliki halali, it wasn't a simple job watu walikuwa na maeneo yao kule wengi ilibidi walipwe kulingana na mthamini mkuu wa serikali alivyoweka viwango.JK mchakato wa SGR ulianza tangu 2012, Bandari ya Bagamoyo pia akaweka hadi Jiwe la msingi lakini hakuna kitu
Kwanini aliweka jiwe la msingi? Au unaelewaje wewe ukiambiwa kiongozi Laweka jiwe la msingi?Well, mchakato wa Bandari kwa taarifa yako umeanza 2004 wakati wa Mkapa baadae ukaibuliwa mwaka 2009 baada ya kuwa na congestion ya mizigo bandarini na kukawa na kelele kuhusu uhitaji wa Bandari kubwa, ndipo ukaja kusisitizwa na JK mwake 2012 ikaundwa negotiation team ambapo ilikuwa kazi kubwa ni kuanza kuhakiki majina ya wenye maeneo pale inapojengwa Bandari ili walipwe kwa kushirikiana TPA kama mlipaji na Halmashauri ya Bagamoyo kama mdau wa Ardhi ya kike na mhifadhi wanmajina ya wamiliki halali, it wasn't a simple job watu walikuwa na maeneo yao kule wengi ilibidi walipwe kulingana na mthamini mkuu wa serikali alivyoweka viwango.
Acquisition haikuwa rahisi maana pia Kuna kesi zilifunguliwa Yale yalikuwa maeneo ya watu hakukuwa pori tu Hadi chuo Cha uvuvi ikabidi kihamishwe sasa tofautisha na kujenga reli ambayo hauchukui eneo la mtu au bwawa la umeme ambalo linachukua pori la selous.
Mambo mengine kuyaongea ni rahisi sana Ila utekelezaji haikuwa unaweka tu Bandari inakaa Kama mataaluma yanayotandazwa kwenye njia ambayo ipo tayari na mapori yasiyomilikiwa na mtu.
Lakini inaruhusiwa kuwa na opinion yako maana ni haki yako pia
Kuna vitu vingi sana hujui mkuu au unafanya makusudi kuleta uongo hapa.Na ni mjinga tu ndie anaweza kusema kama sio JPM basi SGR isingejengwa wakati JPM kaingia madarakani kakuta taratibu karibu zote zimeshakamilika!
Mkuu reli ya SGR haipiti kwenye reli ya MGR inapita pembeni na kuna watz wengi tu wamelipwa kupisha ujenzi huoWell, mchakato wa Bandari kwa taarifa yako umeanza 2004 wakati wa Mkapa baadae ukaibuliwa mwaka 2009 baada ya kuwa na congestion ya mizigo bandarini na kukawa na kelele kuhusu uhitaji wa Bandari kubwa, ndipo ukaja kusisitizwa na JK mwake 2012 ikaundwa negotiation team ambapo ilikuwa kazi kubwa ni kuanza kuhakiki majina ya wenye maeneo pale inapojengwa Bandari ili walipwe kwa kushirikiana TPA kama mlipaji na Halmashauri ya Bagamoyo kama mdau wa Ardhi ya kike na mhifadhi wanmajina ya wamiliki halali, it wasn't a simple job watu walikuwa na maeneo yao kule wengi ilibidi walipwe kulingana na mthamini mkuu wa serikali alivyoweka viwango.
Acquisition haikuwa rahisi maana pia Kuna kesi zilifunguliwa Yale yalikuwa maeneo ya watu hakukuwa pori tu Hadi chuo Cha uvuvi ikabidi kihamishwe sasa tofautisha na kujenga reli ambayo hauchukui eneo la mtu au bwawa la umeme ambalo linachukua pori la selous.
Mambo mengine kuyaongea ni rahisi sana Ila utekelezaji haikuwa unaweka tu Bandari inakaa Kama mataaluma yanayotandazwa kwenye njia ambayo ipo tayari na mapori yasiyomilikiwa na mtu.
Lakini inaruhusiwa kuwa na opinion yako maana ni haki yako pia
Ningependa kujielimisha Ila labda nikuulize unapoambiwa ameweka jiwe la msingi maana yake anamaanisha nini?Kwanini aliweka jiwe la msingi? Au unaelewaje wewe ukiambiwa kiongozi Laweka jiwe la msingi?
Sawa kabisa and Asante kwa kumuelimisha Ila hizo zote kumbuka ni mlipo yaliandaliwa kipindi gani?Mkuu reli ya SGR haipiti kwenye reli ya MGR inapita pembeni na kuna watz wengi tu wamelipwa kupisha ujenzi huo
You are insane. Watanzania gani hao ambao hawataki serikali kuhamia Dodoma? Au unafikiri hao watumishi wa umma wa dar ambao hawafiki hata milioni moja ndio watanzania pekee? Ulifanya lini utafiti kote nchini matokeo yakaonyesha kwamba watanzania hawataki serikali kuhamia Dodoma? Huyo mama ana mapenzi yake binafsi na dar na wala si sera ya serikali kwa sasa serikali kuwa dar es salaam. Apende asipende serikali ilishahamia Dodoma na yeye atapita watakuja wenye maono ya kujenga miji mingine mikubwa Tanzania ili kuondokana na mlundikano wa watu katika jiji la Dar. Ni mentality za kizamani liinchi looote hili kuwa na miji michache mikubwa. Tunahitaji miji mikubwa mingi ili Dar ipumue kidogo.Kuhamia dodoma ilikuwa ni hitaji la magufuli na sio hitaji la watz.
Thus hayupo na Dodoma inafifia.
Weka source ya figures zako kwa sababu media nyingi ziliripoti somewhere around $7.7 Billion! Na ingawaje hiyo tuliona nyingi lakini kuna uwezekano mkubwa ujenzi wa sasa ukapita hiyo $7.7 Billion.Kuna vitu vingi sana hujui mkuu au unafanya makusudi kuleta uongo hapa.
Kwa taarifa yako Wachina kwenye mkataba wa mwanzo walitaka wajenge reli kwa gharama ya 24T na pesa ingetolewa na Exim Bank ya China
Na subcontractors wa Turkey wanatokea wapi? Tanzania, au?na wachina walikuwa na masharti magumu ikiwemo subcontractors wote watoke China
Tushazoea hayo maelezo kutoka kwa wafuasi wa JPM manake wanajiona wao tu ndo wasafi wakati hakuna msafi hata mmoja kutoka CCM! Btw, mbona hivi sasa Mchina kapewa tenda na serikali hiyo hiyo ya JPM?! Au mwanzo walikataa kwa sababu hawakuwapo kwenye mgao wa hiyo 20% unayodai ilikuwa ya wapigaji?na kulikuwa na group la wapigaji la hapa nchini lilikuwa lipate 20% ya hiyo pesa ndiyo maana wao wakalazimisha subcontractors watoke pia China.
Hiyo figure ndo ilikuwa ya Wachina. Tujikumbushe habari ambayo iliandika na ReutersSerikali ya Magufuli ilipoingia madarakani ikakataa masharti hayo na Waturuki wakaja na gharama ya 14T na wakakubali subcontractors watoke TZ. Exim Bank ya China ikakataa kutoa mkopo ndipo serikali ikasema itaendelea na ujenzi kwa kutumia pesa zake na ujenzi ukaanza lakini baadae Bank nyingi zikajitokeza kutoa mkopo ikiwepo Exim.
Wewe ndo unapotosha vinginevyo weka credible source ya maelezo yako. Halafu acha kujifanya nyie ni wasafi wakati ni wezi tu na huyo Magufuli wenu!Nashangaa wewe unapopotosha au ulikuwa katika deal la 20% ya 24T ndiyo maana unapotosha tunajua watu wamadili mlipigwa stop sana katika serikali ya awamu ya tano ndiyo mnamapovu sana!! Na Mama naye ameanza kuwashitukia sasa mtakula jeuri yenu.
Mkuu unaifahamu HYPERLOOP ? Au unaandika tu. Kwa sasa hyperloop inajengwa Dubai na USA chini ya Elon musk tena ni majaribio. Hakuna hyperloop inayofanyakazi duniani.Acheni kumkufuru Mungu. Kikwete alisaini mkataba na Wachina kujenga hyperloop kwenda Kigoma?
Kwa hiyo umekuja kunifundisha kitu nilichoandika?Mkuu unaifahamu HYPERLOOP ? Au unaandika tu. Kwa sasa hyperloop inajengwa Dubai na USA chini ya Elon musk tena ni majaribio. Hakuna hyperloop inayofanyakazi duniani.
Hata uwezo wa kujenga MAGRAV tu hatuna sembuse hyperloop.
ikijengwa hyperloop TZ watu watakula mlo mmoja kwa miaka 50.
Hii SGR ni teknolojia ya kale kwa sasa, haipo hata kwenye high speed train za 21st century ni teknolojia ya karne ya 20, waka sio maajabu.
Africa yote hakuna MAGRAV wala hyperloop project , sina hakika hata zile bullet train zilizojengwa China kuna ka nchi ja Africa kamethubutu.
Jisifieni tu kwa hio SGR mnywe ulanzi siku ipite.
Then Mturuki akaenda omba Mkopo China wa kujenga reli,chuma matiper yote yanatoka China,so gharama za ujenzi ni mara mbili ya awali ya mchina.
Makubaliano ilikuwa Mchina azalishe chuma nchini Ili kupunguza gharama,
Yule Bwana kwa kupenda 10% akampa Mturuki.
Sijakuelewa, unaeleza au unauliza?Acheni kumkufuru Mungu. Kikwete alisaini mkataba na Wachina kujenga hyperloop kwenda Kigoma?
NaulizaSijakuelewa, unaeleza au unauliza?
Sio mimi ila google anasema hiviKwa hiyo umekuja kunifundisha kitu nilichoandika?
Kha tumewachoka bhana Yaani kila kitu yeye Watanzania mnaboa sanaJana Mh Alisema sababu ya kuendelea na mradi wa SGR ni " tumetumia hela nyingi tayari, tukiuacha sasa hivi tutakua tumetupa hela".
Kwa maana hiyo mradi ule hauna sababu ya kiuchumi kuwepo, unamaliza hela tu.
Kama Mh mama angelikua rais tokea mwanzo mambo ambayo angefanya ni kupandisha vyeo watumishi, kusafiri kuomba mikopo na kujenga madarasa kama JK.
Mambo makubwa makubwa kama kuvuta maji kutoka victoria, umeme wa Nyerere na Ndege wala asingeyagusa.
Nimekuja kukukisoa sio kukufundisha maana umekariri ndivyo sivyo.SGR,Hyperloop MAGRAV ni teknolojua tofauti na Tanzania haina uwezo wa MAGRAV wala Hyperloop.Kwa hiyo umekuja kunifundisha kitu nilichoandika?
Mchina angeshamaliza kujenga siku nyingi SanaIla tunamshukuru sana...maana imagine angepewa mchina huo mradi wa sgr watanzania wasingeneemeka km ambavo wanafurahia kwa sasa kuwa na mturuki...nadhani wenye akili wamenielewa.
Nimewaza kama wewe, magufuli alikua mtu wa kuthubutu sanaJana Mh Alisema sababu ya kuendelea na mradi wa SGR ni " tumetumia hela nyingi tayari, tukiuacha sasa hivi tutakua tumetupa hela".
Kwa maana hiyo mradi ule hauna sababu ya kiuchumi kuwepo, unamaliza hela tu.
Kama Mh mama angelikua rais tokea mwanzo mambo ambayo angefanya ni kupandisha vyeo watumishi, kusafiri kuomba mikopo na kujenga madarasa kama JK.
Mambo makubwa makubwa kama kuvuta maji kutoka victoria, umeme wa Nyerere na Ndege wala asingeyagusa.