Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Yanga wana tabia ya kuwasifia wacheza sindimba wao, lakini mchezaji wa maana anayeifanya Yanga iwe inashinda kwa sasa ni Maxi Nzengeli.
Hao wacheza sindimba kina Chama, Ki na Pacome wanakuzwa tu na walanguzi wa habari za michezo bongo.
Maxi Nzengeli asipocheza, Yanga huwa inapwaya Sana.
Hao wacheza sindimba kina Chama, Ki na Pacome wanakuzwa tu na walanguzi wa habari za michezo bongo.
Maxi Nzengeli asipocheza, Yanga huwa inapwaya Sana.