Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Sisi ndiyo Simba SC AKA;Yanga wana tabia ya kuwasifia wacheza sindimba wao, lakini mchezaji wa maana anayeifanya Yanga iwe inashinda kwa sasa ni Maxi Nzengeli.
Hao wacheza sindimba kina Chama, Ki na Pacome wanakuzwa tu na walanguzi wa habari za michezo bongo.
Maxi Nzengeli asipocheza, Yanga huwa inapwaya Sana.
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)