Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Yes. Yanga wana vitu viwili. Kucheza kama timu na morali kubwa Sana ya kutafuta ushindi.Nikweli ila Ile timu inacheza kwa ushirikiano mkubwa sana kiasi kama sio intellectual Analyst huwezi chambua.
Asubuhi unawaza mpira we ni janga la taifaYanga wana tabia ya kuwasifia wacheza sindimba wao, lakini mchezaji wa maana anayeifanya Yanga iwe inashinda kwa sasa ni Maxi Nzengeli.
Hao wacheza sindimba kina Chama, Ki na Pacome wanakuzwa tu na walanguzi wa habari za michezo bongo.
Maxi Nzengeli asipocheza, Yanga huwa inapwaya Sana.
Aisee.Asubuhi unawaza mpira we ni janga la taifa
Niliacha kufuatilia mambo ya watu baada ya rafiki yangu kumuuliza mlevi mbona unakunywa pombe asubuhi hivi? Mlevi naye akauliza kwani kuna muda maalumu wa koromeo kufunguka?Asubuhi unawaza mpira we ni janga la taifa
Wale waleNiliacha kufuatilia mambo ya watu baada ya rafiki yangu kumuuliza mlevi mbona unakunywa pombe asubuhi hivi? Mlevi naye akauliza kwani kuna muda maalumu wa koromeo kufunguka?
Aibu niliona mimi.
Kesho mtasema bila mashabiki haiwezi kushinda, kesho kutwa mtakuja kussma wachezaji wao wakicheza bila viatu hawawezi kushinda.Yanga wana tabia ya kuwasifia wacheza sindimba wao, lakini mchezaji wa maana anayeifanya Yanga iwe inashinda kwa sasa ni Maxi Nzengeli.
Hao wacheza sindimba kina Chama, Ki na Pacome wanakuzwa tu na walanguzi wa habari za michezo bongo.
Maxi Nzengeli asipocheza, Yanga huwa inapwaya Sana.
Bila Nzengeli, "kwa sasa" Yanga haitoboi😃😄😆Kesho mtasema bila mashabiki haiwezi kushinda, kesho kutwa mtakuja kussma wachezaji wao wakicheza bila viatu hawawezi kushinda.
Jadili ubora wa Max, usilete ngonjera za eti bila ya Max,, basi kawasifu waliomsajili na wanaompanga
Wewe usiyewaza mpira Asubuhi hii, unawaza nini muungwana?Wale wale
Nmeona umeandika ujingaujinga nilikuwa napita tuWewe usiyewaza mpira Asubuhi hii, unawaza nini muungwana?
Halafu kama huwazi Mpira, huku kwenye forum ya michezo ulifuata nini?
Wapitaji hawawi kama wewe. Mtu siriasi hasemi walichoandika wenzie kwenye forum halali ni ujinga ujinga.Nmeona umeandika ujingaujinga nilikuwa napita tu
Mesage sentWapitaji hawawi kama wewe. Mtu siriasi hasemi walichoandika wenzie kwenye forum halali ni ujinga ujinga.
Ni sawa uende kwenye forum ya "chit chat" halafu useme mbona watu wanaandika mambo ya vichekesho.
Kutokujua kazi za hizi forums ndiko kunakufanya wewe uonekane kuwa hauko siriasi.
😂😂Asubuhi unawaza mpira we ni janga la taifa
Leo ni jumamosi ni weekend, halafu muulize kafata nn kwenye hili jukwaa la michezo?Aisee.
Watanzania huwa mnajifanya mpo siriasi ila yakija mambo siriasi huwa hamuwi siriasi.
Wewe ubongo wako uwezo wake ni kuwaza jambo Moja tu siku nzima? Kama ni hivyo jua kuwa una tatizo.
To the wrong Address 😆😄😃Mesage sent
Tayari huyo.Mda si mrefu utahamia Yanga SC
Maaaaskini Kolo, Pole sana 🤣🤣🤣🤣Yanga wana tabia ya kuwasifia wacheza sindimba wao, lakini mchezaji wa maana anayeifanya Yanga iwe inashinda kwa sasa ni Maxi Nzengeli.
Hao wacheza sindimba kina Chama, Ki na Pacome wanakuzwa tu na walanguzi wa habari za michezo bongo.
Maxi Nzengeli asipocheza, Yanga huwa inapwaya Sana.