Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakuunga mkono kama kweli ni wakenya.Naona ma puppet wa wakenya mmekuja kwa kasi kupigania masilahi ya bwana zenu (wakenya) wafugaji wanaovuka boda kuja kulisha mifugo yao katika ardhi ya Tanzania kwa kisingizio cha ujirani mwema na wengine uraia wa mchongo. Safari hii hatuwezi kukubali kuendelea kuwa shamba la bibi anymore. Serikali iendelee na oparation yake endelevu hadi hao wafugaji ambao wengi wao wana asili ya Kenya waombe poo. Sijawahi kuona mkenya anasimama na Tanzania kwa kisingizio cha utofauti wa kisiasa uliopo kwao. Ila kwa Tanzania ni kawaida wakenya kuwatumia watanzania watakavyo kwa masilahi yao, kupitia mgongo wa siasa uchwara za majitaka.
Mkuu fahamu kwamba serikali ni watu kama mimi na wewe. Serikali sio Mungu mwenye uwezo wa kuona kila kitu kinachofanyika hapa chini ya mgongo wa dunia. Hata Marekani taifa kubwa kwa kila kitu ikiwemo vyombo vya usalama, teknolojia, migration bora nk, lakini kuna wahamiaji maelfu na maelfu wanaoingia nchini humo bila vibali na kufanya kazi mbali mbali bila serikali kuwajua. Lakini pia nchi hiyo kubwa duniani pamoj na kuwa na ulinzi mkubwa ndan ya mipaka yao, ila bado kuna raia kutoka Mexico, Venezuela na nchi zingine za Amerika ya kusini wanaingiza madawa ya kulevya kwa njia wanazojua wao na kuziuza nchini humo bila wengi wao kukamatwa. Sembuse nchi changa kama Tanzania. Ukweli ni kwamba Wakenya wametumia muingiliano uliyopo mipakani kupenyeza watu wao kwa ajili ya masilahi yao. Hii ipo hata kwa nchi za mbele mfano nimekupa USA, M23 kutumiwa kule Congo kwa masilahi ya Rwanda nk. Kwa wenzetu Wakenya swala linapofikia hivi wote wanakuwa upande wa serikali, lakini kwa sisi watanzania lazima utakuta kuna baadhi yetu watawatetea wakenya kupitia mgongo wa wamasai wazawa kama tunavyoona sasa hivi.Nitakuunga mkono kama kweli ni wakenya.
Nitawalaumu serikali kwa kushindwa kulinda mpaka wetu hadi kuingiliwa na watu toka nje ya nchi.
Vuta hisia, pitia kumbkumb, chakata mtiririko wa maamuzi na mahusiano ya kisiasa, kijamii, kiuongozi ...nk. nani players ktk hili!Hawa waarabu huwa wanatafuta marafiki zao katika imani ili wapenyeze huu ujinga wao, na kwa ubinafsi wa hao watawala huwa wanaungana nao kutaka kutengeneza watumwa ndani ya nchi yetu.
Hili tatizo huwa linajirudia kwasababu tunaoneana aibu, hatuambiani ukweli, dawa ni kulelezana ukweli ili waijue hali halisi, tusikubali kuchezewa na kikundi cha wachache.
Hawa watu wakemewe sana, kuwapa hao waarabu hilo eneo ni kuudharau utu wetu, kudharau rasilimali za taifa letu, na zaidi kuidharau ardhi tuliyopewa na Mungu.
Ogopa sana pale panapokuwepo na hali kama hii katika taifa lakini bado utaona kuna wanasiasa wako kimya, wanajidai hawaoni tatizo lolote, hawa wanafiki ni maadui wa watanzania, wameweka maslahi yao mbele zaidi ya wengine wote.
Ah kabisaWamasai wajipange tu waondoke