Hawa waarabu huwa wanatafuta marafiki zao katika imani ili wapenyeze huu ujinga wao, na kwa ubinafsi wa hao watawala huwa wanaungana nao kutaka kutengeneza watumwa ndani ya nchi yetu.
Hili tatizo huwa linajirudia kwasababu tunaoneana aibu, hatuambiani ukweli, dawa ni kulelezana ukweli ili waijue hali halisi, tusikubali kuchezewa na kikundi cha wachache.
Hawa watu wakemewe sana, kuwapa hao waarabu hilo eneo ni kuudharau utu wetu, kudharau rasilimali za taifa letu, na zaidi kuidharau ardhi tuliyopewa na Mungu.
Ogopa sana pale panapokuwepo na hali kama hii katika taifa lakini bado utaona kuna wanasiasa wako kimya, wanajidai hawaoni tatizo lolote, hawa wanafiki ni maadui wa watanzania, wameweka maslahi yao mbele zaidi ya wengine wote.
Vuta hisia, pitia kumbkumb, chakata mtiririko wa maamuzi na mahusiano ya kisiasa, kijamii, kiuongozi ...nk. nani players ktk hili!
Taarifa zlizoko znazo trend ni uwepo kw kampuni inoitwa Ortelo, Wakenya flani, Serikali au watu wanao fadhili uhamisho wa "wafugaji" kuhama kwa kuwajengea makazi mapya kule Handeni, Wafugaji wasotaka kuhama toka maeneo yao waloyazoea na serikali inayosimamia mchakato mzima.
Kisha pitia majina Ya wanofanya au walofanya hili grudumu liznguke kuanzia mwanzo wa mggoro hadi ulipofikia, huenda pcha flani ikajtokeza...nk.
Mbunge 1 toka kusini kachambua vzr, kwamba sheria zmetungwa kuhudumia watu, sio vingnevo, kwamba watu kuitmikia sheria tofauti na inavofanyika-kwamba pale idadi ya wanyama pori inapokuwa imezidi sana hadi kuleta madhara kw binadamu, watu wawapishe wanyama.
Kuna taswira tunaletewa ya kuonyesha kuwapenda wafugaji na kuwajengea makazi mapya, kwamba ndivo watakavofanyia wengne wote watakaoathirika watakapovamiwa na wanyama na huenda hayo pia yatakua kwa mjib wa sheria, isiwe kw wafgaji tu, yaani hkna double stds. Ni jinsi gani hao players ktk hili sakata watavoonyesha kwmb wamefanya hili kw nia njema bila makandokando yyte ni mtihani mkubwa - dalili zmeanza kjitkeza
za klazmishana. Tumeshaskia kna askari keshapoteza maisha ktk kutekeleza "uzalendo wake"! Kuna kiasi flani pia cha damu ya waTz imeonekana imemwagika. Haya mambo yana tabia ya kujaza vinyongo. Tuwe macho, tuwe wawazi watu wajue kinachoendlea tufanye maamuzi yenye kumtukuza Mungu