Bila Rais Samia Suluhu, Freeman Mbowe angeozea jela. Upinzani fuateni sheria

Bila Rais Samia Suluhu, Freeman Mbowe angeozea jela. Upinzani fuateni sheria

Mwanahabari wa Taifa

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2020
Posts
1,588
Reaction score
956
Kaka yangu Freeman Mbowe Pole na hongera kwa kuachiwa huru kwa amri ya amiri jeshi mkuu wa majeshi yote Mhe Rais Samia Suluhu Hassan,

Karibu tena uraiani,Sisi Watanzania kwa sasa ni wamoja pengine kuliko wakati wowote wa historia ya Taifa hili.

Pole pia tumetaarifiwa unatatizo la kiafya,Tunakuombea kwa Mungu urejee katika utimamu wako wa kiafya.

Mhe Freeman Mbowe nikutonye kidogo," Hivi majuzi Viongozi wa kidini Tanzania waliomba kukutana na Rais wao kipenzi Mhe Samia Suluhu Hassan"

Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwa Uchamungu wake alionao aliwakubalia na akawaita moja kwa moja Ikulu,Wakala na kunywa pamoja nae.

Pamoja na Mambo mengine viongozi wa dini Tanzania wakiongozwa na mufti mkuu wa Tanzania walikuombea msamaha kwa Mama Samia Suluhu Hassan ili uachiwe huru bila masharti hata kama wewe ni gaidi kweli.

Viongozi wa dini Tanzania wanataka nchi yao waliopewa na Mungu iwe sehemu salama kwa kila mtu kuishi ukiwemo wewe Freeman Mbowe unayetajwa kwa ugaidi,

Kaka yangu Freeman Mbowe unatambua kabisa Mahakama kuu chini ya Jaji Tiganga ilikukuta na hatia ya kufadhili na kutenda ugaidi Tanzania ( Ulikuwa na kesi ya kujibu).

Leo tunashuhudia unyenyekevu kwa Mungu na Taifa alionao Mama yetu Mhe Samia Suluhu Hassan ameamua bila wewe wala chama chako kumwomba msamaha kukuachia huru tena bila masharti yeyote.

Kwa jambo hili tu,Wewe Freeman Mbowe na Wapinzani wenzako lazima muelewe kuwa Tanzania imepata Rais Mpole na mnyenyekevu ever,

Lazima tuelewe Tanzania Tumepata Rais Mchamungu na Mtulivu wa moyo kwelikweli,

Rekodi zinaonesha tangu Taifa hili liwe huru hajawahi kupatikana Rais Mahiri na jasiri mwenye huruma kama Mhe Mama Samia Suluhu Hassan.

Naomba kukutaarifu kuwa wewe sio "Mwamba" kama wanavyokuita Chadema wenzio,Binafsi nakushauri na kukusihi kuwa makini na heshimu mamlaka zilizopo utakuwa salama wakati wote tofauti na hapo usijelaumu mtu.

Freeman Mbowe Wewe ni raia kama raia wengine na ukitenda au kurudia kosa utashughulikiwa kama raia wengine tunavyoshughulikiwa kwani kwenye Taifa hili hakuna yeyote aliye juu ya sheria.

Watanzania tunataka siasa zenye tija kwa kizazi hiki na kizazi kijacho na kamwe hatutavumilia utoroshaji wowote wa amani yetu kwani Sisi tuko tayari kuilinda kwa gharama yeyote hiyo "Amani" yetu

Wito wangu kwako na Chama Chako,mumuheshimu zaidi na kumshukuru sana Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na viongozi wa dini wa Taifa hili kwani bila hawa ungekuta watoto wengine wasio wako.

Freeman Mbowe bila Rais Samia Suluhu Hassan hakika amini nakwambia ungeozea jela huku Wale wanaoishi nje wakiendelea kunywa na kula kuku za bure kwa hisani ya wazungu.

Mwisho, Mtanzania mwenzangu popote ulipo bila kujali itikadi ya Chama wala dini yako shituka sasa,

Huyu Rais ni Chaguo la Mungu lazima tumuunge mkono popote kwa chochote kwani haya anayoyafanya ni hakika hitaji la Mungu mwenyewe hata baba askofu Dkt Benson Bagonza ataungana na Mimi kwenye hili,

Mungu mbariki Rais Samia Suluhu
Mungu ibariki Tanzania yetu.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.

IMG-20220303-WA0020.jpg

IMG-20220303-WA0019.jpg
 
Kaka yangu Freeman Mbowe Pole na hongera kwa kuachiwa huru leo 04|03|2022 kwa amri ya Rais Samia Suluhu Hassan kama amiri jeshi mkuu,
...

Kwa unyenyekevu naomba kukutaarifu tu kuwa wewe sio "Mwamba" kama wanavyokuita Chadema wenzio,Binafsi nakushauri na kukusihi kuwa makini na kheshimu mamlaka zilizopo utakuwa salama
Yote tisa umeyaandika, moja kubwa ni kitendawili cha kuachiwa na Serikali bila masharti wakati mahakama, kwa ushahidi uliotolewa, ana kesi ya kujibu
 
Kweli kabisa mkuu, ila naona alikuwa ananenepa sana gerezani, alikuwa karibu na nyapara?
 
Kaka yangu Freeman Mbowe Pole na hongera kwa kuachiwa huru leo 04|03|2022 kwa amri ya Rais Samia Suluhu Hassan kama amiri jeshi mkuu,

Karibu tena uraiani,Watanzania sasa ni wamoja pengine kuliko wakati wowote wa historia ya Taifa hili,

Pole pia tumetaarifiwa unatatizo la kiafya,Tunakuombea kwa Mungu urejee katika utimamu wako wa kiafya,

Mhe Freeman Mbowe nikutonye kidogo, hivi majuzi Viongozi wa kidini Tanzania waliomba kukutana na Rais wao kipenzi Mhe Samia Suluhu Hassan,

Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwa Uchamungu wake alionao aliwakubalia na akawaita moja kwa moja Ikulu,Wakala na kunywa pamoja nae,

Pamoja na Mambo mengine viongozi wa dini Tanzania wakiongozwa na mufti mkuu wa Tanzania walikuombea kwa Mama Samia Suluhu Hassan uachiwe huru bila masharti hata kama wewe ni gaidi kweli,

Viongozi wa dini Tanzania wanataka nchi yao waliopewa na Mungu iwe sehemu salama kwa kila mtu kuishi ukiwemo wewe Freeman Mbowe,

Kaka yangu Freeman Mbowe unatambua kabisa Mahakama kuu chini ya Jaji Tiganga ilikukuta na hatia ya kufadhili na kutenda ugaidi Tanzania ( Ulikuwa na kesi ya kujibu)

Leo tunashuhudia unyenyekevu kwa Mungu na Taifa alionao Mama yetu Samia Suluhu Hassan ameamua bila wewe wala chama chako kumwomba msamaha kukuachia huru tena bila masharti yeyote,

Mhe Freeman Mbowe naomba uelewe tu Tanzania imepata Rais Mpole na mnyenyekevu ever, Rais Mchamungu na Mtulivu wa moyo,

Rekodi zinaonesha tangu Taifa hili liwe huru hajawahi kupatikana rais Mahiri na jasiri mwenye huruma kama Mhe Mama Samia Suluhu Hassan,

Kwa unyenyekevu naomba kukutaarifu tu kuwa wewe sio "Mwamba" kama wanavyokuita Chadema wenzio,Binafsi nakushauri na kukusihi kuwa makini na kheshimu mamlaka zilizopo utakuwa salama,

Freeman Mbowe Wewe ni raia kama raia wengine na ukirudia kosa utashughulikiwa kama rais wengine kwani kwenye Taifa hili hakuna aliye juu ya sheria,

Watanzania tunataka siasa zenye tija kwa kizazi hiki na kizazi kijacho na kamwe hatutavumilia utoroshaji wowote wa amani yetu kwa tuko tayari kuilinda kwa gharama yeyote,

Wito wangu kwako, muheshimu na kumshukuru sana Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na viongozi wa dini wa Taifa hili kwani bila hawa ungekuta watoto wengine wasio wako,

Mhe Freeman Mbowe bila Rais Samia Suluhu Hassan hakika amini ungeozea jela huku Wale wanaoishi nje wakiendelea kunywa na kula kuku za bure kwa hisani ya wazungu,

Mwisho, Mtanzania popote ulipo bila kujali itikadi ya Chama wala dini yako shituka sasa, Huyu Rais ni Chaguo la Mungu shime tumuunge mkono popote kwa chochote kwani haya anayoyafanya ni hitaji la Mungu mwenyewe hata baba askofu Dkt Benson Bagonza ataungana na Mimi,

Mungu mbariki Rais Samia Suluhu
Mungu ibariki Tanzania yetu,

Kidumu Chama Cha Mapinduzi,

View attachment 2138435

View attachment 2138436

Shetwani wewe
 
CCM majinga sana..mnajitekenya halaf mnacheka wenyewe. Toka mwanzo tuliwaambia hamna kesi hapo...japo majaji waliamua kuwabeba na kufosi. Mwisho wa siku ilipofika watu waanze kujitetea mmeingia mitini. Mnataka kuaminisha umma amesamehewa wakati yeye mwenyewe alishasema hataki cha msamaha wala huruma. Aibu yenu. Idiots!
 
Kaka yangu Freeman Mbowe Pole na hongera kwa kuachiwa huru leo 04|03|2022 kwa amri ya Rais Samia Suluhu Hassan kama amiri jeshi mkuu,

Umesikia jina la Samia pale mahakamani...

Kwanini kila kitu mnataka kumfanya mwenyekiti wenu ndio mshindi,, hela zote za miradi mnasema zake,, sasa hata hili la mhimili wa mahakama mnataka pia liwe lake...

Relax mkuu,, Serikali imeona inapoteza pesa bure na wameficha aibu ambayo ingeenda kutokea huko mbele..

Mtu mzima akivuliwa nguo, huchutama - ndio ilichofanya Serikali ya Mama
 
Back
Top Bottom