Bila Rakitic,Iniesta,Bosquet Hakuna Messi

makipa bora wote waliokutana na Messi wamepata tabu halafu messi anapiga hatrick mechi kubwa kwa kupenda sifa
hatrick yake ya 1 akiwa na miaka 19 anaifunga madrid wachezaji wote uliowataja hawakuwepo uwanjani siku hiyo
 
Kufunga hatrick sio sababu kwani alichukua mpira kutoka golini mpaka akaenda kufunga??

Nakumbuka alikua anapokea tuzo ya ballon dor hakuacha kumtaja Xavi kabla hajastaafu...
 
kumbe wewe ni 1/4
 
Upo ushahidi wa XAVI kushangazwa na Messi kubeba tuzo hiyo mwaka fulani....kimsingi hakukubaliana na jambo hilo.
 
Chuki tu..hamna jipya.. Muulize huyo zlatan nani mchezaji bora atakujibu..
 
Sio mesi tu, wachezaji wote wanafunga, angekua mesi peke yake, suares asingeweza kufikisha magoli 30 hata msimu mmoja
Sijakataa wengne hawafungi ila timu imeundwa kupitia Messi whenever you get the ball pass to messi...
 
Chuki tu..hamna jipya.. Muulize huyo zlatan nani mchezaji bora atakujibu..
Kila mtu anaelewa nini kinaendelea DRC....ila wewe nikikuuliza, nani raisi wa DRC? jibu lako litakuwa?

Wapo wanaoamini kuwa magu hakushinda kihalali....ukiwashtukiza kwa swali, prezdaa wa hapa ni nani, watajibu??? n.k, n.k
 
Chuki tu..hamna jipya.. Muulize huyo zlatan nani mchezaji bora atakujibu..
Kwa sasa mchezaji bora ni Messi
maana ndo mwenye tunzo ya ballon dor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…