Ndalilo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,343
- 7,516
LoversMessi anaongoza kwa assist hater
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LoversMessi anaongoza kwa assist hater
makipa bora wote waliokutana na Messi wamepata tabu halafu messi anapiga hatrick mechi kubwa kwa kupenda sifaLovers
all time la liga top scorer MessiKwa spain au club yake na msimu upi?
Kufunga hatrick sio sababu kwani alichukua mpira kutoka golini mpaka akaenda kufunga??makipa bora wote waliokutana na Messi wamepata tabu halafu messi anapiga hatrick mechi kubwa kwa kupenda sifa
hatrick yake ya 1 akiwa na miaka 19 anaifunga madrid wachezaji wote uliowataja hawakuwepo uwanjani siku hiyo
Ok ndugu wewe mwenye nazoView attachment 422039 MTOA POST WEWE NI HAMNAZO
kumbe wewe ni 1/4Kufunga hatrick sio sababu kwani alichukua mpira kutoka golini mpaka akaenda kufunga??
Nakumbuka alikua anapokea tuzo ya ballon dor hakuacha kumtaja Xavi kabla hajastaafu...
Upo ushahidi wa XAVI kushangazwa na Messi kubeba tuzo hiyo mwaka fulani....kimsingi hakukubaliana na jambo hilo.Kufunga hatrick sio sababu kwani alichukua mpira kutoka golini mpaka akaenda kufunga??
Nakumbuka alikua anapokea tuzo ya ballon dor hakuacha kumtaja Xavi kabla hajastaafu...
Utofauti uko wapi???bryanwapost: 18157488 said:Performance yake Timu ya taifa na Barcelona ni tofauti kabisa..
Tatizo timu imeundwa kupitia Messi mfano unaeza kuta Neymar/Suarez wako kwenye nafasi nzuri ya kufunga ila wanampa pasi Messi
Napenda teamwork
Chuki tu..hamna jipya.. Muulize huyo zlatan nani mchezaji bora atakujibu..Ebu fananisha mafanikio aliyonayo kupitia timu ya taifa na yale ya klabu....
Tena nikienda mbali...kucheza klabu moja karibu na zaidi ya wachezaji sita uliokua nao kisoka timu moja, ambao kimsingi ni bora(viungo) kumechangia sana yeye kuwa hapo alipo.
Ibrahimovic na CR7 ni mfano wa watu wenye mafanikio makubwa sana kwa upande...kumzidi Messi ambaye kimsingi anabebwa na mengi
Kila mtu anaelewa nini kinaendelea DRC....ila wewe nikikuuliza, nani raisi wa DRC? jibu lako litakuwa?Chuki tu..hamna jipya.. Muulize huyo zlatan nani mchezaji bora atakujibu..
Ww unafuatilia mpira kweli???Kwa spain au club yake na msimu upi?