Bila Rakitic,Iniesta,Bosquet Hakuna Messi

Yani haujui hata Mara ya mwisho nan amechukua ballon d'or
 
AYA NAOMBA MSOME APO SABABU MNADHANI LABDA NIMETUNGA TOKA KICHWANI

Tuache ushabiki tuzungumzie ukweli...

Sijakataa Messi ni Mchezaji bora na yuko kwenye timu bora Ulaya..

Wengine mpaka wanatoa na maneno ya kashfa...please dont judge the book by it cover.

Tuache kuhukumu Ndugu
 
Fungua hilo gazeti halafu usome umo Rakitic kaongea nini
 
kuna watu hawaangalii mpira ila wanasubiri matokeo wabishane
Messi akiwa uwanjani ndio anaamua matokeo
sio maneno yangu ya Rakitic ayo
 
Ni maoni yake ndugu...msimu uliopita messi alikaa nje sana ila bado Neymar na Suarez walisaidia timu mpaka ikabeba kikombe cha laliga.

Ushindi unakua mgumu kwa sababu timu imeundwa kupitia Messi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] eti kikombe cha la liga
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] eti kikombe cha la liga
Bingwa La liga Barcelona

Mfungaji bora Suarez goli 40

Aliye assist sana suarez/messi 16 times

Sasa shida nn ndugu
 
ivan rakitic alikua sevilla mbona hakumfanya Jose Antonio Reyes kuwa mfungaji bora la liga ??
Amesema sio rahisi kucheza na messi na sio kutoa pasi za mwisho.

Anazungumzia kulinda timu.
 
hawa mamluki walioanza shabikia mpira kipindi world cup inachezwa S.AFRICA ni tabu tupu
 
hawa mamluki walioanza shabikia mpira kipindi world cup inachezwa S.AFRICA ni tabu tupu
Mamluki nani sasa na ushaidi nimekupa mbna hamtaki watu waseme ukweli...
 
haya kashasema unachotaka ni nini ?
Daa nimeleta taarifa ndugu...hakuna ninachotaka kabisa.

Aya tufanye hajasema au kasema kucheza na messi ni kazi rahisi mnoo

Yaishe.
 
Daa nimeleta taarifa ndugu...hakuna ninachotaka kabisa.

Aya tufanye hajasema au kasema kucheza na messi ni kazi rahisi mnoo

Yaishe.
Taarifa ya nini wewe
kama rakitic anaona anaonewa fcb atafute timu nyingine aje hata abajalo fc acheze ndondo cup
 
Taarifa ya nini wewe
kama rakitic anaona anaonewa fcb atafute timu nyingine aje hata abajalo fc acheze ndondo cup
Sio kauzu fc

Unajua kwann Mata japo ni mchezaji mzuri ila Mourhino alimuuza akiwa Chelsea kuja Man utd.

Unajua kwann Pogba anapata shida kidogo man utd...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…