Bila Rakitic,Iniesta,Bosquet Hakuna Messi

Bila Rakitic,Iniesta,Bosquet Hakuna Messi

Yani haujui hata Mara ya mwisho nan amechukua ballon d'or
 
1477073172350.png
 
AYA NAOMBA MSOME APO SABABU MNADHANI LABDA NIMETUNGA TOKA KICHWANI

Tuache ushabiki tuzungumzie ukweli...

Sijakataa Messi ni Mchezaji bora na yuko kwenye timu bora Ulaya..

Wengine mpaka wanatoa na maneno ya kashfa...please dont judge the book by it cover.

Tuache kuhukumu Ndugu
 
Fungua hilo gazeti halafu usome umo Rakitic kaongea nini
 
kila mtu huwa naona jinsi barca inavyopwaya kama messi hayupo alafu leo unaleta hoja kuwa sijui akina inesta yawezekana ni kweli messi anawategemea wachezaji uliowataja lakini sio sana kama ambavyo wao wanamtegemea messi hvyo ukitaka kuweka hitimisho hao wachezaji ndio wanamtegemea messi kuzidi yy anavyowategemea.
pili insu ya kukaba utakuwa unasimsingia messi ni tofauti na ma forward wengine kama Ibra,CR7 messi anakaba na mara nyingi huwa anatoka na mpira nyuma kabisa kutokana na uwezo wake wa kupiga chenga hiyo ina mpa advantage tofauti na wenzake
1477073724140.png
 
Ni maoni yake ndugu...msimu uliopita messi alikaa nje sana ila bado Neymar na Suarez walisaidia timu mpaka ikabeba kikombe cha laliga.

Ushindi unakua mgumu kwa sababu timu imeundwa kupitia Messi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] eti kikombe cha la liga
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] eti kikombe cha la liga
Bingwa La liga Barcelona

Mfungaji bora Suarez goli 40

Aliye assist sana suarez/messi 16 times

Sasa shida nn ndugu
 
Aliwahi kuhojiwa Ivan Rakitic Mchezaji wa Barcelona mzaliwa wa Croatia akakiri hakuna kazi ngumu kama kucheza na Wachezaji aina ya Messi,Neymar na Suarez

Ugumu wake wachezaji wa aina hiyo siyo wakabaji ivyo inabidi uzibe yale mapengo yao ili timu isilemewe na timu pinzani hivyo inakubidi uzunguke uwanja mzima kuziba yale mapengo yao..

Naimani hata Messi akisifiwa anaweza kukataa na badala yake akaelekeza sifa kwa wachezaji wenzake.

Hivyo tunavyompa sifa Messi tukumbuke hao wachezaji..
1477075317210.png
 
ivan rakitic alikua sevilla mbona hakumfanya Jose Antonio Reyes kuwa mfungaji bora la liga ??
Amesema sio rahisi kucheza na messi na sio kutoa pasi za mwisho.

Anazungumzia kulinda timu.
 
hawa mamluki walioanza shabikia mpira kipindi world cup inachezwa S.AFRICA ni tabu tupu
 
hawa mamluki walioanza shabikia mpira kipindi world cup inachezwa S.AFRICA ni tabu tupu
Mamluki nani sasa na ushaidi nimekupa mbna hamtaki watu waseme ukweli...
 
haya kashasema unachotaka ni nini ?
Daa nimeleta taarifa ndugu...hakuna ninachotaka kabisa.

Aya tufanye hajasema au kasema kucheza na messi ni kazi rahisi mnoo

Yaishe.
 
Daa nimeleta taarifa ndugu...hakuna ninachotaka kabisa.

Aya tufanye hajasema au kasema kucheza na messi ni kazi rahisi mnoo

Yaishe.
Taarifa ya nini wewe
kama rakitic anaona anaonewa fcb atafute timu nyingine aje hata abajalo fc acheze ndondo cup
 
Taarifa ya nini wewe
kama rakitic anaona anaonewa fcb atafute timu nyingine aje hata abajalo fc acheze ndondo cup
Sio kauzu fc

Unajua kwann Mata japo ni mchezaji mzuri ila Mourhino alimuuza akiwa Chelsea kuja Man utd.

Unajua kwann Pogba anapata shida kidogo man utd...
 
Back
Top Bottom