Bila Rakitic,Iniesta,Bosquet Hakuna Messi

ACHA KUMFANANISHA MESSI NA VITU VYA KIJINGA
 
Mabeti-Mabeki...nimekuelewa Ndugu

Ila Rakitic angeweza kusoma izi koment nahis angejifunza kitu.

View attachment 422171
kubishana na ww ni sawa na kujamba ushuzi kwenye upepo! mi nimekuuliza swali hujibu unakimbilia spelling error!.nimekuuliza duniani kote kwa nini hawaoni umuhimu wa magoli keeper,ma beki na viungo hadi wawasifu ma forwad,na sio kuwasifia tu nakuwapa tuzo mbalimbali??? au unadhani wao ni majinga?? kwani kwa nini hawaoni kuwa modric ndio mambo yote wamuzawadie tuzo na wamuache CR7,kwa nini wasimpe iniesta na sergio na wamuache messi??? au unadhani wachambuzi,wachezaji,ma kocha wote ambao wanapiga kura za kuchagua mchezaji bora sio hawaoni uwezo wa hao viungo??
ukijibu haya maswali ndipo utajua ulichokiandika hakina mantiki
 
Reactions: PNC
Sasa unasifia nini kwa MESSI kama kufunga ndo jukumu lake? Kama mchezeshaji alikuwa XAVI....unakataa nini kuwa MESSI bila mchezeshaji hamna kitu? Au nafasi zote tatu ulizotaja anacheza yeye???
 
Usibishe sana. Fanya yafuatayo utapata jibu. Kamuulize mwenyekiti wa barcelona nani mchezaji bora duniani na katika barca? Nenda website ya fifa kangalie nani mchezaji bora duniani hadi sasa? Na nani kachukua tuzo zaidi ? Ni nchi ipi ni namba moja rank ya fifa na captain wake nani? Nani mfungaji wa kihistoria barca na laliga? Na ukitaka kuhakikisha zaidi nenda kwenye jiji la barcelona kamtukane messi uone utatoka salama? Ushahidi zaidi ni huu hapa umeamua kumwongelea messi kwa nini? Na la mwisho sijibu tena kuna wachezaji wazuri wengi duniani illa kuna kutofautiana - kama ni suala ni soka soka ni nzuri messi akicheza. Ni wakati wa messi furahia soka.
 
Kweli kabisa, aangalie stats zinaonyesha Argentina ikicheza bila messi results zake ni zipi so messi ana impact sana, sio mtu wa mchezo mchezo
 
Kweli kabisa. Ndo maaana ata mimi natazama stile ya uchezaji wa CR7 afu naona kuna wachezaji zaidi yake wanapiga mpira sana. Bila ya ivo yeye hafungi
 
Unaona ambavyo huangalii mpira vizuri ,, rudia kuangalia utaona kwamba messi alichukua mpira aka dribble , akapitisha mpira kati ya beki akakimbia kusubiri arudishiwe , akiwa katikati ya watu wawili tena anawaacha na kuchukua mpira uliorudishwa na kwenda kufunga .... Huu ndo uchezaji wa messi wa kila siku kwa hiyo ile move nzima ilianzia kwake
 
Daa mpaka apo mkuu bado unabisha tu na maelezo yote aya Messi alichukua mpira akadriblle kuanzia upande wa chini kuingia kati beki za manchity zikajichanganya Neymar akiwa karibu na goli ndipo messi akafunga
 
Kweli kabisa, aangalie stats zinaonyesha Argentina ikicheza bila messi results zake ni zipi so messi ana impact sana, sio mtu wa mchezo mchezo
Fainali makombe mawili ya Mabara Amerika Kapoteza Messi akiwa Ndani

Fainali na Ujerumani Mario Gotze anawanyima kombe Messi akiwa ndani

Analeta Impact gani??
 
Yote hayo niya Messi ila tuwasifu na wale wanaomtengenezea...
 
Anza na magolikipa kipindi iker Cassilas yuko kwenye fomu yake watu wakahoji kwann apewe forward aachwe golikipa likewise to Buffon

Sio kwamba hawaoni umuhimu wa makipa kuna muhimili mkuu wa timu kama kipa??

Anajua kwanini Colombia waliua kipa wao na wasiue forward

Baada ya Suarez kushinda mfungaji bora last yr la liga ameulizwa kama anaweza beba tuzo za ballon dor akajibu ni ngumu kwani zimekaa kibiashara zaidi..
 
Mabara kafanya nn fainali zote kafungwa na chile ya akina Vidal/Sanchez

World cup dhidi ya German Mario Gotze anawapiga aya tupe wewe kafanya nini

La msingi timu imeundwa kupitia Messi


Point...sijakataa kuwa Messi anajua
 
Nimecheza sana na bado nacheza namba 6 hakuna ugumu nakutana nao kama pale forward wanaposhindwa kukaa na mipira au kukaba kila dakika mpira unachezewa kwenye zone yenu.

Kwa iyo Rakitic Kuongea ukweli Kakosea??
 
Hivi ni Barca ndo inambeba Messi ama Messi ndo anaibeba Barca?
Ushabiki wa kipumbavu ndo unaowanyima raha.
 
Messi ana hold mpira kwa dk 2 hadi 3 kwa chenga , kupangua viungo vya wapinzani na mabeki wao wote.

Pia mpira unapogoma kupanda mbele huenda kuufuata na kuupeleka lango la wapinzani.

Kuna wakati hucheza no za Iniesta na Sergio Buskets uwanjani.
Ractic anapaswa ajisifu kupata CV ya kucheza na mchezaji bora duniani kikosi kimoja.
 
Fainali makombe mawili ya Mabara Amerika Kapoteza Messi akiwa Ndani

Fainali na Ujerumani Mario Gotze anawanyima kombe Messi akiwa ndani

Analeta Impact gani??
Kaka, we kama mwanamichezo angalia the way anavyokuwa devoted kwa team, pia he created so many chances za kufunga but anakuwa disappointed na team mates mfano, higuan, lavezi wanakosa magoli ya wazi created by messi ambayo hata wewe ungefunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…