Kama unaona mpira ndo uko hivo basi wachezaji wakali duniani ni Thomas Muller , mesui ozil na miloslav closer maana hawa wamebeba makombe kibao pia , bila kumsahau Gerard pique ndo best ever maana huyu kachukua kilaa kitu mkuu .. . Na kwa maana yako De lima atakuwa boya maana hana uefa ,yan anazidiwa na hao jamaa .Mabara kafanya nn fainali zote kafungwa na chile ya akina Vidal/Sanchez
World cup dhidi ya German Mario Gotze anawapiga aya tupe wewe kafanya nini
La msingi timu imeundwa kupitia Messi
Point...sijakataa kuwa Messi anajua
Mabara ilikuchukua Chile??unalijua kombe la mabara wewe??Mabara kafanya nn fainali zote kafungwa na chile ya akina Vidal/Sanchez
World cup dhidi ya German Mario Gotze anawapiga aya tupe wewe kafanya nini
La msingi timu imeundwa kupitia Messi
Point...sijakataa kuwa Messi anajua
Nikuekee basi la Amerika ya Kusini (CONMEBOl) 2016 Host USA.Mabara ilikuchukua Chile??unalijua kombe la mabara wewe??
Embu nenda kajipange tena ndio uje humu cz hauna data yan wew ni mtupu
Nalifahamu Ndugu linawakilishwa na Mshindi kutoka kila bara(Afrika Ivory coast),Europa(portugal),Amerika(Chile),New zealand,Australia,Mexico,Russia,German next final 2017 RussiaMabara ilikuchukua Chile??unalijua kombe la mabara wewe??
Embu nenda kajipange tena ndio uje humu cz hauna data yan wew ni mtupu
Mkuu mbona hukuendelea kutoa matokeo ya mechi hii na wafungaji pia??Dk 72 Valencia 2 Barca 2
1st goal Messi,Assist Ivan Rakitic
Messi anashirikiana na timu...na hakuna mafanikio bila ushirikiano..messi ni messi tu yule bwana in 'gifted'dunia nzima inajua hivyo,halafu eti hakabi mbona vitu vya ajabu?hana ubinafsi!Aliwahi kuhojiwa Ivan Rakitic Mchezaji wa Barcelona mzaliwa wa Croatia akakiri hakuna kazi ngumu kama kucheza na Wachezaji aina ya Messi,Neymar na Suarez
Ugumu wake wachezaji wa aina hiyo siyo wakabaji ivyo inabidi uzibe yale mapengo yao ili timu isilemewe na timu pinzani hivyo inakubidi uzunguke uwanja mzima kuziba yale mapengo yao..
Naimani hata Messi akisifiwa anaweza kukataa na badala yake akaelekeza sifa kwa wachezaji wenzake.
Hivyo tunavyompa sifa Messi tukumbuke hao wachezaji..
Ronaldo kaingia fainal ngapi akiwa na ureno?Fainali makombe mawili ya Mabara Amerika Kapoteza Messi akiwa Ndani
Fainali na Ujerumani Mario Gotze anawanyima kombe Messi akiwa ndani
Analeta Impact gani??
Aende EPL timu ipi mfano?kama kweli messi ni mwanaume mwambie ahame ligi kama cr7 na kadabra na akiweza kuperfom kama ilivo baca basi hata gaucho hamuwezi uyo ness messi
Hamna kitu kibaya duniani kama unafki.Mkuu mbona hukuendelea kutoa matokeo ya mechi hii na wafungaji pia??
Hebu eleza Leo mchezaji bora wa hii mechi ,, nibgependa uelezee ile penalt mepatikanaje .... Teh teh kama nilivyokwambia jana nafikiri umeona messi anavyoleta difference ..Dk 72 Valencia 2 Barca 2
1st goal Messi,Assist Ivan Rakitic
We ndugu huna hoja umekalia Maneno kama unafiki sijui niniHamna kitu kibaya duniani kama unafki.
Yan namaanisha kabla ya Suarez kuchezewa rafu uliona messi alivyopangua beki zile .. hiyo ndo tofauti ya messi na wachezaji wengine . Pass kila mtu anapiga lakini linapokuja suala la maamuzi sahihi messi kawaacha mbali wenzake na huu ndo uchezaji boraFinal result Vale 2 Barca 3
goal dk 90 messi penalt after suazer kucheleawa rafu
Kwenye swala la uchezaji sijakataa kwamba Messi sio mchezaji mzuri, Messi anauwezo wa kuamua matokeo muda wowote ule.Yan namaanisha kabla ya Suarez kuchezewa rafu uliona messi alivyopangua beki zile .. hiyo ndo tofauti ya messi na wachezaji wengine . Pass kila mtu anapiga lakini linapokuja suala la maamuzi sahihi messi kawaacha mbali wenzake na huu ndo uchezaji bora
Kaka uliona lile Goal lake la 3 dhidi ya Man City jinsi alivyomfanya kipa?Yan namaanisha kabla ya Suarez kuchezewa rafu uliona messi alivyopangua beki zile .. hiyo ndo tofauti ya messi na wachezaji wengine . Pass kila mtu anapiga lakini linapokuja suala la maamuzi sahihi messi kawaacha mbali wenzake na huu ndo uchezaji bora