GE2025 Bila shaka Balozi Polepole anatafuta shari na huenda amejiandaa kwa shari

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
System gani system ya Umeme hujui kwamba polepole ni kijana wa Jk ndo alimtoa Ethiopia uko
 
Polepole hamumuelewi tu

alishagamsema ukiona hali inasumbuasumbua ases kwanza upate majawabu kisha useme, yeye ameshaona anaweza
 
Hata chura huwa anawapigia makelele ng'ombe wasinywe maji lakini wapi? Ng'ombe wanakunywa maji wanaendelea na mambo yao. Chura anapiga makelele usiku kucha.
 
Mwaka huu huyo mama atakuwa anabadirisha chupi mara tatu kwa siku. Akisikia slow slow yuko hewani lazima ushuzi umtoke bila shuruti.
 
Mnamjadili vipi mtu kama huyo polepole aliye tumika kuvuruga chadema kipindi cha jpm?

Chadema wakiitwa nyumbu wanakasurika
Chadema ni watz ni wapi official page yao imesemea ya pole pole ..hao wanacham ni watz wans haki ya kujadili chochote nchini na sie kile anayekujibu ni chadema tumia akili
 
takataka
 
Mpuuzi tu huyo Pole Pole, anawakilisha agenda ambazo zinatokana na ubinafsi wa walio nyuma yake.

Walijisahau wakati JPM akiwa hai wakadhani wote tutaishi milele, wakaota mapembe yeye na wananzengo wenzake.

Samia kaingia ikulu na kaweza kwenda kinyume na matarajio yao kwamba mwanamke atafeli tu, inawauma namna anavyotimiza ahadi zote walizoahidi JPM kwenye ilani ya 2020 moja baada ya nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…