GE2025 Bila shaka Balozi Polepole anatafuta shari na huenda amejiandaa kwa shari

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Unamaanisha huenda Hata Samia mwenyewe yuko nyuma yake?
 
We kama nani!
Wakitoboa urudi hapa tena kuandika tena
 
Unajifariji kwa maneno ya kipuuzi tu. Ukiendelea na Urais utamfanyaje
 
Big question mark 😳 !
Wapo wenye Nguvu wanamsapoti ??!

Hapa ni waaaapi ?⁉️

😀😀😂🤷🏾‍♂️
 
...........WanaCCM wenzangu naomba tumuweke Mungu mbele, 2010 ni akina nani walitembeza fomu za mgombea Urais kama haikua familia ya Mgombea? Au hiki ni kitu nakosea kusema? Nazungumza kama mwanataaluma leo......
Hayo ameyasema polepole au yapo kwenye ansadi za historia ya taifa la tanzania?
 
USHAURI WANGU:
JESHI lichukua nchi, ili hii nchi iwe salama.
Kama ccm wanaanza kugombana basi mjue hatupo salama.
Nimemsikia mgombea mwenza.akisema na kulaani yale ambayo mama yenu alisema hata huko Marekani yanatokea?
Hatupo salama.
 
Naomba kuuliza,Mama Samia anaweza kwenda kuchukua fomu ya urais bila kua na fomu ya uteuzi ya chama?
Hivi awamu ya pili ya Dr.Magufuli ni wagambea wangapi walichukua fomu kushindana na JPM?
 
Kweli lakini ilipofika amechelewa sana.
 
Kwa TZ hakunaga system kubwa inayoweza kupambana na Rais aliyeko madarakani. Mbaya zaidi Polepole anashambulia hadi Rais mstaafu mwenye connection dunia nzima. Ni suala la muda tu Polepole atatoa mlio akivuka mstari.
 
Hakuna mtu anayeweza kulazimishwa kugombea urais.... Watu hugombea urais kwa sababu utashi wao. Sema wanatumia tamaa zake kumsuma agombee. Hii ''vita'' itakuwa nzuri sana kama Polepole ana watu wenye nguvu nyuma i.e. vyombo vya dola. Kitu ambacho anaweza kuwa ametegewa ni kuwekewa Nchimbi awe makamu. Nchimbi ni timu mtandao na yuko wenye succession plan yao....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…