Hizi ni vita za makundi ya CCM Sukuma Gang na Kizimkazi. Wote ni wale wale tu wanazuga watu.Naomba nimnukuu kwenye maneno yake ya leo tarehe 03 August 2025
"...........WanaCCM wenzangu naomba tumuweke Mungu mbele, 2010 ni akina nani walitembeza fomu za mgombea Urais kama haikua familia ya Mgombea? Au hiki ni kitu nakosea kusema? Nazungumza kama mwanataaluma leo......
Natumia uhuru wangu wa kuzungumza....tuna mjadala hapa kabla hatujaingia kwenye uchaguzi mkuu unaokuja na kama watu watashupaza shingo kwasababu tu wanataka lao jambo, basi tujue hawa wameamua na sisi tuamue vinginevyo.....
My take. Kama wameamua akimaanisha wanamtandao kwa maneno yake.
Je hii na sisi tuamue vinginevyo anawazungumzia akina nani?
It's him against the state au?
Polepole anatafuta tu sababu yule ukimuangalia ni mgonjwa sasa anataka naye asife tu bila kuongelewaNaomba nimnukuu kwenye maneno yake ya leo tarehe 03 August 2025
"...........WanaCCM wenzangu naomba tumuweke Mungu mbele, 2010 ni akina nani walitembeza fomu za mgombea Urais kama haikua familia ya Mgombea? Au hiki ni kitu nakosea kusema? Nazungumza kama mwanataaluma leo......
Natumia uhuru wangu wa kuzungumza....tuna mjadala hapa kabla hatujaingia kwenye uchaguzi mkuu unaokuja na kama watu watashupaza shingo kwasababu tu wanataka lao jambo, basi tujue hawa wameamua na sisi tuamue vinginevyo.....
My take. Kama wameamua akimaanisha wanamtandao kwa maneno yake.
Je hii na sisi tuamue vinginevyo anawazungumzia akina nani?
It's him against the state au?
We ujapotezwa?Uungwana upo wapi?? Kwa hii kasi ya utekaji na upotezwaji wa watu??
So far so good not yetWe ujapotezwa?
Mkuu mara hii umesahau Mbowe kuwa alitusnitch kwa miaka zaidi ya 20?!Mnamjadili vipi mtu kama huyo polepole aliye tumika kuvuruga chadema kipindi cha jpm?
Chadema wakiitwa nyumbu wanakasurika
Anachopigania ni kitu kile kile katika mfumo ule ule 😂 !polepole hana lolote makelele hajaanza leo.Kawai kukimbia kabla ajafyekelewa mbali.Anayoongea hayana tija yoyote kwa taifa kwa sasa.Kwasababu yeye anachopigania ni kitu kile kile ktk mfumo ule ule.sasa unadhani nani atamsikiliza yeye kama annabavu Aingie msituni ila izo mbembe mbe wala hazimzuii tembo kunywa maji.Watu wenyewe anao watisha ni wakina nani ,Nchi za ulaya tu zinyewe zimeshendwa sembuse yeye.
Pigia mstari "dunia mzima" Hadi kumtembeza Janabi kama machinga na pampasi....Kwa TZ hakunaga system kubwa inayoweza kupambana na Rais aliyeko madarakani. Mbaya zaidi Polepole anashambulia hadi Rais mstaafu mwenye connection dunia nzima. Ni suala la muda tu Polepole atatoa mlio akivuka mstari.
itu ambacho hakijui Polepole ni kwamba hakuna awezaye kumtingisha Mwenyekiti wa Chama ambaye ndiye Mkuu wa Nchi !Leo ndio nimemsikiliza polepole Kwa umakini nimemuelewa sana kumbe jamaa yupo sahihi katika hoja yake
Hi serikali ilishapewa miaka 10 imeisha ilitakiwa ikae pembeni ije serikali mpya
Yani Kwa mfano
Magufuli na Samia walipewa Treni waitoe Dar waipeleke mwanza na mkatana unasema wakiisha ifikisha Treni Mwanza kazi Yao imeishia happ watakao irudisha Treni Dar ni watu wengine sio wao tena
Magufuli ameendesha Treni kuele
kea Mwanza kufika Singida Magufuli amefariki Samia akashika usukani Ili Treni ifike Mwanza kama mkatana unavyotaka
Kwahiyo Baada Treni kufika Mwanza kazi aliyopewa Magufuli na Samia inakuwa imeishia hapo
Sasa kilichopo hapa Treni imeshafika Mwanza inatakiwa wapatikane watu wengine wa kuirudisha Dar
Leo nimemuelewa sana Polepole
Hapa ni waaaapi ??!Polepole anatafuta tu sababu yule ukimuangalia ni mgonjwa sasa anataka naye asife tu bila kuongelewa
Mkuu,Leo ndio nimemsikiliza polepole Kwa umakini nimemuelewa sana kumbe jamaa yupo sahihi katika hoja yake
Hi serikali ilishapewa miaka 10 imeisha ilitakiwa ikae pembeni ije serikali mpya
Yani Kwa mfano
Magufuli na Samia walipewa Treni waitoe Dar waipeleke mwanza na mkatana unasema wakiisha ifikisha Treni Mwanza kazi Yao imeishia happ watakao irudisha Treni Dar ni watu wengine sio wao tena
Magufuli ameendesha Treni kuele
kea Mwanza kufika Singida Magufuli amefariki Samia akashika usukani Ili Treni ifike Mwanza kama mkatana unavyotaka
Kwahiyo Baada Treni kufika Mwanza kazi aliyopewa Magufuli na Samia inakuwa imeishia hapo
Sasa kilichopo hapa Treni imeshafika Mwanza inatakiwa wapatikane watu wengine wa kuirudisha Dar
Leo nimemuelewa sana Polepole
Umeandika ujingaPigia mstari "dunia mzima" Hadi kumtembeza Janabi kama machinga na pampasi....
Zamani tukiwa wadogo kuna dogo kwenye kundi tulikuwa tunafuatana naye kila alipokuwa sio kwa sababu ya akili, uhodari kucheza mpira, nguvu za kutupigania, NK hapana, alikuwa na hela za kutugawia hovyo!
Kupitia kwa Kikwete ni rahisi kujichotea raslimali za nchi hii na kumpa "suti"
Wajanja kama komu,kubenea nk walimjua ndy maana walimhepaMkuu mara hii umesahau Mbowe kuwa alitusnitch kwa miaka zaidi ya 20?!
Atafanyaje anachimba wenzake Biti tu hana lolote anapiga kelele na kutapa tapaWenye Nchi , Huu mwaka Samia na genge lake, Hawatoboi Kwa namna yoyote Ile, waruke, wakae, wafanye wanavyoweza, Hawatoboi.
Imeamuliwa hivo.
Zingatia haya Maneno hapa chini
Ni Maneno ya Mzalendo Mkweli, mwenye Uthubutu, The Intelligent Mh Polepole , namnukuu 'Samia nakuomba, rekebisha hili jambo before it's too late, Mimi sipendi tufike pahala ambapo itatupeleka kwenye level ambazo zitakiumiza Chama Cha mapinduzi , wakati nafasi ya kutengeneza Iko"
Pole pole hamkubali kabisa JK, hili lipo wazi kutoka kwenye kauli zake. Tabu yake kubwa nadhani ni kumuona Rais Samia akiambatana na asiyempenda.Naomba nimnukuu kwenye maneno yake ya leo tarehe 03 August 2025
"...........WanaCCM wenzangu naomba tumuweke Mungu mbele, 2010 ni akina nani walitembeza fomu za mgombea Urais kama haikua familia ya Mgombea? Au hiki ni kitu nakosea kusema? Nazungumza kama mwanataaluma leo......
Natumia uhuru wangu wa kuzungumza....tuna mjadala hapa kabla hatujaingia kwenye uchaguzi mkuu unaokuja na kama watu watashupaza shingo kwasababu tu wanataka lao jambo, basi tujue hawa wameamua na sisi tuamue vinginevyo.....
My take. Kama wameamua akimaanisha wanamtandao kwa maneno yake.
Je hii na sisi tuamue vinginevyo anawazungumzia akina nani?
It's him against the state au?
Unafikiri alichokiongea ndio ukweli wenyewe? Hivi kati ya slow slow wa tume ya warioba, utawala wa mwenda zake na huyu wa sasa nani mkweli?Yaani wewe ni kilaza promax..ina maana hujamskiliza jana..