mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,108
- 3,155
Kuna watu wanawivu jamani,hatari sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anayemchukia magufuli ni mtu aliyenyimwa uwezo wa kupambanua mambo,asiyeona mbali
tena mwenye akili za kujua kuchamba tu
swaga za kike hizo....Ukweli awamu hii ya tano imetengeneza chuki baina ya watu wenye itikadi tofauti. Hilo huitaji kuvaa miwani kuliona.
Ee jamaa.... Maccm hayana hatia kivipi aiseeYaani unafanya kurudia tu waliyofanya mayahudi kwa YESU,unamchukia aso hatia
Tayari mkuu amepotezwa.Chuki ipo moyoni mwako wewe mimi sina chuki na Raisi wala serikali yangu. Hiyo ni kumchafua mkuu wa Nchi basi kama unaona hapa Tanzania kuna makovu nenda kongo ukajifunze au nenda marekani huko ukaishi kidemokrasia hapa Tanzania ni ujamaa na kujitegemea. Anyway viherehere dawa yao ni kupotezwa tu.
Naweza nikafurahi moyoni nje nikauzunika, usiusemee moyo wa mtu hata uko mtaani ,Chuki imo humu mitandaoni mitaani kuko safi mno hakuna chuki