Bila shaka tumepata picha kamili, uvunjifu wa haki huzalisha chuki ya kudumu

Ukienda South Africa hii leo ukakutana na ndugu wa Steven Biko na ukafanya nao mazungumzo lazima watakuambia kweli kuwa kuna kovu kubwa ndani ya mioyo yao.

Maana ndugu yao aliuawa bila hatia na utawala dhalimu wa makaburu. Tena aliuawa kifo kibaya. Huu ni mfano tu ambao unaonesha namna gani ukiukwaji wa haki za binadamu unaweza kuzalisha chuki ya kudumu.

Kwa hapa Tanzania kuna chuki kubwa sana ndani ya mioyo ya watanzania hasa baada ya Tundu Lissu kumiminiwa risasi zaidi ya 33 kama vile yeye sio binadamu. Maana ni tukio ambalo kila mtu haamini kuwa anaweza kufanyiwa binadamu aliyekuwa anahoji masuala ya msingi juu ya taifa lake.

My take: Taifa linalotenda haki humuinua Mungu.
Hiyo ni tisa; kumi ni raia kuporwa haki yao ya kuchagua viongozi wanaowataka. Kitendo hiki kimeligawa taifa na kuinua chuki.
 
Nope, tupo wengi sana sababu the dude is doing great job for this country.. nyie wenye chuki nae bila hata sababu za msingi mpo wengi pia katika uchache wenu.
Mpo wengi na nani Wakati unaandika peke yako hapo
 
Ukienda South Africa hii leo ukakutana na ndugu wa Steven Biko na ukafanya nao mazungumzo lazima watakuambia kweli kuwa kuna kovu kubwa ndani ya mioyo yao.

Maana ndugu yao aliuawa bila hatia na utawala dhalimu wa makaburu. Tena aliuawa kifo kibaya. Huu ni mfano tu ambao unaonesha namna gani ukiukwaji wa haki za binadamu unaweza kuzalisha chuki ya kudumu.

Kwa hapa Tanzania kuna chuki kubwa sana ndani ya mioyo ya watanzania hasa baada ya Tundu Lissu kumiminiwa risasi zaidi ya 33 kama vile yeye sio binadamu. Maana ni tukio ambalo kila mtu haamini kuwa anaweza kufanyiwa binadamu aliyekuwa anahoji masuala ya msingi juu ya taifa lake.

My take: Taifa linalotenda haki humuinua Mungu.
Acha ramli chonganishi chuki iko wapi yaani unaongela kuzibwa mianya ya wizi ndiyo chuki.Umepotea Wembe uleule wezi hamtapumua mpaka mnyooke
 
Unajua ni machozi kiasi gani ya wafanyakazi waliofukuzwa kwakisingizio cha vyeti fake yanatakiwa yafutwe? Tena wengine walibakisha nusu ya mwaka wastaafu na mafao wakanyimwa? Huyo mtu aliwezaje kufanya kazi zaidi ya miaka 30 na vyeti fake?

Anadhani marais waliopita walikuwa hawalioni wala kulijua hilo?

Mkuu achana tu na haya mambo. Watu wanalia sanasana na mno mno.

Na hii dhambi itamtafuna Stone yeye na Vizazi vyake vyote
 
Ukienda South Africa hii leo ukakutana na ndugu wa Steven Biko na ukafanya nao mazungumzo lazima watakuambia kweli kuwa kuna kovu kubwa ndani ya mioyo yao.

Maana ndugu yao aliuawa bila hatia na utawala dhalimu wa makaburu. Tena aliuawa kifo kibaya. Huu ni mfano tu ambao unaonesha namna gani ukiukwaji wa haki za binadamu unaweza kuzalisha chuki ya kudumu.

Kwa hapa Tanzania kuna chuki kubwa sana ndani ya mioyo ya watanzania hasa baada ya Tundu Lissu kumiminiwa risasi zaidi ya 33 kama vile yeye sio binadamu. Maana ni tukio ambalo kila mtu haamini kuwa anaweza kufanyiwa binadamu aliyekuwa anahoji masuala ya msingi juu ya taifa lake.

My take: Taifa linalotenda haki humuinua Mungu.
Uko sahihi kabisa kwa 100%
IMG-20210313-WA0001.jpg
 
Unajua ni machozi kiasi gani ya wafanyakazi waliofukuzwa kwakisingizio cha vyeti fake yanatakiwa yafutwe? Tena wengine walibakisha nusu ya mwaka wastaafu na mafao wakanyimwa? Huyo mtu aliwezaje kufanya kazi zaidi ya miaka 30 na vyeti fake?

Anadhani marais waliopita walikuwa hawalioni wala kulijua hilo?

Mkuu achana tu na haya mambo. Watu wanalia sanasana na mno mno.
Wengine hawa nao wana jambo lao
 
Chuki imo humu mitandaoni mitaani kuko safi mno hakuna chuki

Huko mtaani hakuna anayethubutu kuonyesha hisia zake maana atahukumiwa
Bora niwe mjinga kuliko kuwa lofa ns mpumbavu, mithili ya nyumbu.

Haiingii katika akili aliyeshambuliwa anadai, nje ya nchi, kuwa anawajua waliomshambulia. Anarudi nchini hachukui hatua yoyote kusaidia upelelezi. AKILI ZA KUUNGANISHA
Jiwe ndio aliagiza ashambiliwe fullstop.
 
Back
Top Bottom