Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
- #121
Unamuuliza nani?Wakati wa risasi hizo ulikuwepo ukashuhudia kwa macho yako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamuuliza nani?Wakati wa risasi hizo ulikuwepo ukashuhudia kwa macho yako?
Nyingine hii ya kipuuziUkienda South Africa hii leo ukakutana na ndugu wa Steven Biko na ukafanya nao mazungumzo lazima watakuambia kweli kuwa kuna kovu kubwa ndani ya mioyo yao.
Maana ndugu yao aliuawa bila hatia na utawala dhalimu wa makaburu. Tena aliuawa kifo kibaya. Huu ni mfano tu ambao unaonesha namna gani ukiukwaji wa haki za binadamu unaweza kuzalisha chuki ya kudumu.
Kwa hapa Tanzania kuna chuki kubwa sana ndani ya mioyo ya watanzania hasa baada ya Tundu Lissu kumiminiwa risasi zaidi ya 33 kama vile yeye sio binadamu. Maana ni tukio ambalo kila mtu haamini kuwa anaweza kufanyiwa binadamu aliyekuwa anahoji masuala ya msingi juu ya taifa lake.
My take: Taifa linalotenda haki humuinua Mungu.
Humu hawaruhusu matuso,ila unastajili kabisa! Kenyelo kyako!Umetoa mfano wa Lissu ambaye alikuwa hapa nchi kwa zaidi ya miezi 3 akasepa kwa njia ya kihuni. Kwa nini unamsemea wakati muda aliokuwepo hapa angefuatilia upelelezi wa shambulio dhidi yake?
Rejea kauli zake kwenye majukwaa ya kampeni, je, ziligusa kushambuliwa kwake zaidi ya kufitinisha Rais aliyeko madarakani na jamii. Huoni yeye Lissu ndiye mwenye silika ya visasi?
Ndugu unajidanganya. Sikuamini kama awamu ya mitano tena imesinyaisha mioyo ya watu, tusubiri Tuone. Sijui hii chuki imetoka wapi!?Chuki imo humu mitandaoni mitaani kuko safi mno hakuna chuki
Tuwekee ushahidi ulionao nasi tuushuhudie.Chuki imo humu mitandaoni mitaani kuko safi mno hakuna chuki
Wewe tueleze, hao 60 milioni ulihesabu wangapi wenye mtizamo tofauti na hao wa mitandaoni?wanapresent asilimia ngapi ya milioni 60
Eeenh,upuuzi huu huu ndio mlioufanya wakati wa uchaguzi mkuu mkiamini humu mitandaoni kuwa lissu anashinda na mtaani pia hivyo hivyo. mwisho wa siku lissu kapata kura mil 2. sasa watu wa mitandao wanamchukia jpm basi wanahisi huko mtaani nako hivyo hivyo
Walioko huku ndio hao hao walio mitaaniChuki imo humu mitandaoni mitaani kuko safi mno hakuna chuki
Hakuna upuuzi we kijanaNyingine hii ya kipuuzi
Kwani watu wa humu hawakai mitaani?Chuki imo humu mitandaoni mitaani kuko safi mno hakuna chuki
Duuu alafu unajiita msomi?Chuki imo humu mitandaoni mitaani kuko safi mno hakuna chuki
Duh Lissu ndio afuatilie uchunguzi wa shambulio? Hvi Magufuli akitukanwa mitandaoni huwa anaenda kusimamia physically uchunguzi hadi wachochezi wakamatwe?
Ni kwanini majukumu ya DPP/DCI ama forensic investigators umpatie Lissu kana kwamba ni suala binafsi?
Ina maana kma Lissu Angekufa basi uchunguzi haufanyiki sababu tu mhanga hayupo kutoa ushahidi?
Sikutegemea msomi kma ww uje na argument ya hivi!! Kweli mnaacha taaluma ili ku justify upuuzi wa mtu mmoja tu?
Bora niwe mjinga kuliko kuwa lofa ns mpumbavu, mithili ya nyumbu.Kuanzia lini muhanga wa shambulio akafanya upelelezi na polisi kazi yao nini. Hivi wako watanzania bado wajinga kama wewe kweli katika hii karne.
Lissu ni mwanasheria nguri anayejua jinsi ushahidi unavyopatikana. Shambulio lake anajua mwenyewe na ndio maana analizungumzia kisiasa. AKILI KICHWANIUnaposema amesepa kihuni kuna mtu anamdai? Au umeona lisu analo jeshi la kupeleleza? Utumie akili kujibu hija Lissu.
Umeonesha kiwango chako cha utoto na siyo ujana. HONGERAFicha ujinga wako wew kibwetele.
Subiria mama yko apigwe risasi ndio uharishe hyo maneno mdomoni mwako. Taifa bado lina watu wajinga sana wa aina yako
Unadhani tunaopost humu mitandaoni tunaishi sayari ya mass?Chuki imo humu mitandaoni mitaani kuko safi mno hakuna chuki
Huko mitaani watu ama wametitikiwa ufahamu, au wanakosa taarifa. Baadhi wa walioko mitaani ni wanafiki tu.Chuki imo humu mitandaoni mitaani kuko safi mno hakuna chuki
Aisee hizi akili za matakoni umezipatia wapiAnayemchukia magufuli ni mtu aliyenyimwa uwezo wa kupambanua mambo,asiyeona mbali
tena mwenye akili za kujua kuchamba tu