Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Rais bora anajificha kutafuta kiki? Ajitokeze kama yeye kidumeDaaah naona umekasirika,lakini ukweli ni kwamba magufuli ni raisi bora afrika kwa sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais bora anajificha kutafuta kiki? Ajitokeze kama yeye kidumeDaaah naona umekasirika,lakini ukweli ni kwamba magufuli ni raisi bora afrika kwa sasa
Africa ya wapi ndugu?? labda kama chato nako kuna AfrikaDaaah naona umekasirika,lakini ukweli ni kwamba magufuli ni raisi bora afrika kwa sasa
Hivi kumbe mtu akinusurika kufa huwa anatakiwa muhusika afatilie upelelezi wa shambulio lake?Umetoa mfano wa Lissu ambaye alikuwa hapa nchi kwa zaidi ya miezi 3 akasepa kwa njia ya kihuni. Kwa nini unamsemea wakati muda aliokuwepo hapa angefuatilia upelelezi wa shambulio dhidi yake?
Rejea kauli zake kwenye majukwaa ya kampeni, je, ziligusa kushambuliwa kwake zaidi ya kufitinisha Rais aliyeko madarakani na jamii. Huoni yeye Lissu ndiye mwenye silika ya visasi?
Mambo ya kiintelijinsia hayo mkuuRais bora anajifucha kutafuta kiki? Ajitokeze kama yeye kidume
Yaani.mti kaziba nafasi ya mwenye cheti original halafu anajitia yuko sawa, familia ya mwenye vyeti oroginal inakufa njaa kwa kukosa ajira kisa mwenye cheti feki kaziba nafasi mimi ningekuwa Raisi ningewaua sababu wanaua familia zenye vyeti originalsuala la vyeti feki lilianza awamu ya pili ya jakaya magufuli kaja kukazia tu.Halafu hao waliofukuzwa kazi wameonewa au sheria zimetekelezwa?
Acha ujinga, sasa hivi mbona kuna watu kibao wana vyeti original lakini hawana ajira? Tumia akili kujadili mada.Yaani.mti kaziba nafasi ya mwenye cheti original halafu anajitia yuko sawa, familia ya mwenye vyeti oroginal inakufa njaa kwa kukosa ajira kisa mwenye cheti feki kaziba nafasi mimi ningekuwa Raisi ningewaua sababu wanaua familia zenye vyeti original
Mtu kuwa na Vyeti feki ni kisingizio? Kwanini uwe na Vyeti feki on the first place, huoni kama huwatendei haki maelfu ya waliopoteza miaka madarasani kutafuta sifa?Unajua ni machozi kiasi gani ya wafanyakazi waliofukuzwa kwakisingizio cha vyeti fake yanatakiwa yafutwe? Tena wengine walibakisha nusu ya mwaka wastaafu na mafao wakanyimwa? Huyo mtu aliwezaje kufanya kazi zaidi ya miaka 30 na vyeti fake?
Anadhani marais waliopita walikuwa hawalioni wala kulijua hilo?
Mkuu achana tu na haya mambo. Watu wanalia sanasana na mno mno.
Chuki unayo wewe na ukoo wako labda, huku mitaani maelfu kw Maelfu wanamwelewa sana Jiwe.Tulia dawa ikuingie Mama..
Umeona madhara ya kuongozwa na kichaa..??
Chuki kila mahali..
Umebaki wewe na yule pumbavu mwenzako baptist nani sijui ndio mnasifia tu humu.
Mpo wazembe wachache sana, Maelfu ya Watz hawana muda na Upumbavu wa mitandaoni.kwani cc wa mitandaoni hatuishi mitaani?
Wapumbavu hawa, huwa wanadanganyana sana humu mitandaoni.upuuzi huu huu ndio mlioufanya wakati wa uchaguzi mkuu mkiamini humu mitandaoni kuwa lissu anashinda na mtaani pia hivyo hivyo. mwisho wa siku lissu kapata kura mil 2. sasa watu wa mitandao wanamchukia jpm basi wanahisi huko mtaani nako hivyo hivyo
Maelfu ya Watz wanagongwa na Magari na madedeva kukimbia na wengine wanaugua na kufa kwa kutibiwa ndivyosivyo, wengi wako jela kwa kuonewa whether na serikali au mahasimu tu, who is ben saanane by the way, and why awe yeye tu..Nakulilia BENI MWANA WA SAA NANE
Mkuu watu wengine sijui sijui vichwa vyao vikoje,Eti mtu anasema kabisa machozi ya wenye vyeti feki na watu wengine wanaunga mkono.Na huu uzushi wa kifo cha magufuli eti ndio imekuwa bonge la pointi la kupata kiki,daaah kama upinzani ndio huu CCM tawaleni tuYaani.mti kaziba nafasi ya mwenye cheti original halafu anajitia yuko sawa, familia ya mwenye vyeti oroginal inakufa njaa kwa kukosa ajira kisa mwenye cheti feki kaziba nafasi mimi ningekuwa Raisi ningewaua sababu wanaua familia zenye vyeti original
Wewe fala, huko mitaani biashafa zimefungwa,ajira hakuna, watumishi hawajaongwezwa mishahara kwa miaka tano alafu unaleta upuuzi.Wapumbavu hawa, huwa wanadanganyana sana humu mitandaoni.
Afe asife ukiukwaji wa haki umeleta chukiMkuu watu wengine sijui sijui vichwa vyao vikoje,Eti mtu anasema kabisa machozi ya wenye vyeti feki na watu wengine wanaunga mkono.Na huu uzushi wa kifo cha magufuli eti ndio imekuwa bonge la pointi la kupata kiki,daaah kama upinzani ndio huu CCM tawaleni tu
Yaani Magufuli ana huruma wenye vyeti waliakiwa warudishe pesa zote wakizolipwa wakiwa kazini na wafilisiweMkuu watu wengine sijui sijui vichwa vyao vikoje,Eti mtu anasema kabisa machozi ya wenye vyeti feki na watu wengine wanaunga mkono.Na huu uzushi wa kifo cha magufuli eti ndio imekuwa bonge la pointi la kupata kiki,daaah kama upinzani ndio huu CCM tawaleni tu
Yaani unafanya kurudia tu waliyofanya mayahudi kwa YESU,unamchukia aso hatiaYaani binafsi nna hasira za kudumu na udhalimu huu wa awamu ya tano