Mromboo
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 2,966
- 6,593
Unajua ni machozi kiasi gani ya wafanyakazi waliofukuzwa kwakisingizio cha vyeti fake yanatakiwa yafutwe? Tena wengine walibakisha nusu ya mwaka wastaafu na mafao wakanyimwa? Huyo mtu aliwezaje kufanya kazi zaidi ya miaka 30 na vyeti fake?Anayemchukia magufuli ni mtu aliyenyimwa uwezo wa kupambanua mambo,asiyeona mbali
tena mwenye akili za kujua kuchamba tu
Anadhani marais waliopita walikuwa hawalioni wala kulijua hilo?
Mkuu achana tu na haya mambo. Watu wanalia sanasana na mno mno.