Bila shaka tumepata picha kamili, uvunjifu wa haki huzalisha chuki ya kudumu

Bila shaka tumepata picha kamili, uvunjifu wa haki huzalisha chuki ya kudumu

Hakuna Chuki kila mtu anapigania Chama chake

Ujiulizi kwanini watanzania wengi wanamtuhumu Lissu kama kilainishaji?

Kwamba ni kweli?

Mtaani ukiwa Tajiri utaombewa pia ufe kwa maana huna muda wa kupiga umbea una maisha yako

Mpendeze Mungu wako sio mwadamu
 
Asubuhi hii kuna mtu nimemsikia akisema hajawahi kunywa pombe ila ikitangazwa jamaa ka RIP atakunywa pombe hadi alale bar. Hapa ndipo awamu ya tano ilipo wafikisha Watanzania.
Hiyo inaitwa demokrasi - yaani huyu anamwombea aongezewe miaka ya kuongoza taifa, wakati huo huo - mwingine anamchulia ugonjwa na kifo!
Tunaambiwa Tanzania kuna demokrasi kama yote. Haswa, hiyo ndiyo nidemokrasi.
 
Chuki imo humu mitandaoni mitaani kuko safi mno hakuna chuki
Kwa sababu hao wa mitandaoni wana ishi angani na sio mitaani.. Hebu jiulizeni mlipo kosea mjirekebishe. Acheni kukebehi watu. Ati atoke ande Kariakoo!! Kwani Kariakoo hakuna walio mpa kura?? Ubaguzi hadi kwa maeneo. Ccm mmetufikisha pabaya.
 
R.I.P mama Kabendera
Huyu mama kila nikikumbuka kauli machozi yananilenga
kwani sheria inasemaje mtu akiwa mahabusu au mfungwa anaruhusiwa kwenda kuzika akifiwa na mama au baba? je ukifanya kosa hufai kuwekwa rumande au kufungwa kisa mama au baba anakutegemea?
 
Back
Top Bottom