Bila shaka tumepata picha kamili, uvunjifu wa haki huzalisha chuki ya kudumu

Bila shaka tumepata picha kamili, uvunjifu wa haki huzalisha chuki ya kudumu

Serikali inafanya vibaya, hata haki ya upotoshaji imeshindwa kuturuhusu?

Tuna viwanda vya kutosha vya kutengeneza uwongo sasa hizi bidhaa zetu za zilizo zalishwa zitasambazwajwe ?
 
Kwani chuki inaonekana kwa macho mkuu? Unaweza kuona binadamu anakuchekea lakini ana jambo lake moyoni. Kwenye mitandao wanapata ujasiri wa kufunguka
Unanikumbusha Lissu jana akiongea kwenye youtube, wakati anafafanua kwa nini inabidi kujua afya ya Rais wa nchi yetu! Alisema kwasababu ni sisi tuliompigia kura na kumuweka kwenye utawala! Kusema kweli nilishangaa sana kusikia Lissu anatamka bayana kwamba alimpigia kura Rais Magufuli na hakujipigia yeye! (Uchambuzi online TV)
 
Njoo basi wangu tucheke wote hapa kitandani huku umeegemeza kichwa chako kwenye kifua changu ukisikiza mapigo ya moyo tukisubiria kwa hamu the most anticipated breaking news ever!

COUNT DOWN TO GLORY!
🤣🤣🤣🤣
 
Hata Lisu alipoona kelele za mitandaoni humu akasema awalaa..nasubiri kuapishwa.
 
muda aliokuwepo hapa angefuatilia upelelezi wa shambulio dhidi yake?
Duh Lissu ndio afuatilie uchunguzi wa shambulio? Hvi Magufuli akitukanwa mitandaoni huwa anaenda kusimamia physically uchunguzi hadi wachochezi wakamatwe?

Ni kwanini majukumu ya DPP/DCI ama forensic investigators umpatie Lissu kana kwamba ni suala binafsi?

Ina maana kma Lissu Angekufa basi uchunguzi haufanyiki sababu tu mhanga hayupo kutoa ushahidi?

Sikutegemea msomi kma ww uje na argument ya hivi!! Kweli mnaacha taaluma ili ku justify upuuzi wa mtu mmoja tu?
 
Kuna mijitu inajidanganya eti taarifa za kifo cha mtu katili zikitolewa italeta taharuki. Watu wanasubiria kwa haaamu sana kusikia hivyo tunywe bia mpka asubuhi. Baada ya dhiki sasa faraja.
Taharuki ya Nyoko hapa ni Bata tu
 
Back
Top Bottom