Huenda labda kweli kuna chuki, na huenda hata Wenye chuki hao hawajui haswa kuna nini kinatokea au kinasababisha.
Labda ninachodhani mimi ni kuwa Watu/Binaadamu wana kawaida ya kuwahurumia Wahanga wa majanga yawapatao Ndugu, Jamaa au rafiki zao...na haswa pale kunapokuwa na hisia za uonevu, mfano yaliyomkuta yule Ndugu Ramadhani Ntuzwe.
Pia baadhi ya Watendaji ni Wachochezi wasiojitambua kama wanachchea chuki, kauli kama "tutawapiga mpaka mchakae"....sidhani kama Watu huvutiwa na tabia za kibabe.