Bila shaka tumepata picha kamili, uvunjifu wa haki huzalisha chuki ya kudumu

Bila shaka tumepata picha kamili, uvunjifu wa haki huzalisha chuki ya kudumu

Yaani Magufuli ana huruma wenye vyeti waliakiwa warudishe pesa zote wakizolipwa wakiwa kazini na wafilisiwe

Magufuli akimaliza muda wake wakamatwe wote wafilisiwe na wafungwe maisha kama pesa hawana

Magufuli akiondoka wajiandae Hiyo huruma ya Magufuli haitakuwepo.Lazima wateme pesa zote ziwe posho au mishahara za miaka yote waliyokuwa kaxini na vyeti feki
Jikite kwenye mada, ukiukwaji wa haki za binadamu huleta chuki. Unadhani mke wa Azory anajisikia vipi?
 
Duh Lissu ndio afuatilie uchunguzi wa shambulio? Hvi Magufuli akitukanwa mitandaoni huwa anaenda kusimamia physically uchunguzi hadi wachochezi wakamatwe?

Ni kwanini majukumu ya DPP/DCI ama forensic investigators umpatie Lissu kana kwamba ni suala binafsi?

Ina maana kma Lissu Angekufa basi uchunguzi haufanyiki sababu tu mhanga hayupo kutoa ushahidi?

Sikutegemea msomi kma ww uje na argument ya hivi!! Kweli mnaacha taaluma ili ku justify upuuzi wa mtu mmoja tu?
Naomba iwe Zitto Jr unatania tu. Mwengeso awe msomi! Dhihaka kwa usomi. Labda wasomi wa nchi wawe ni akina Kitwa-Mulomoni, French, Mtimawachi, Katashekadm, Idegenda na Magembe wa haki ya upotoshaji. Skunks.
Rais wao akiwa Yehodaya. Unganisha mabandiko yake mawili: Chuki imo humu mitandaoni. Mitaani kuko safi mno hakuna chuki. Chuki zao(wa mitaani) wanaziexpress humu tu mitandaoni, huko(kwao) mitaani hawathubutu.
 
Chuki imo humu mitandaoni mitaani kuko safi mno hakuna chuki
Kwa hiyo sisi wa mitandaoni tunaishi sayari ya Mars au? Kwa hiyo sisi hatuishi hapa nchin? Hivi unataarifa kama Nkurunziza alipokufa watu walikula bia kwa maandamo huku wakipiga nderemo na vifijo hado polisi waliwaonea wivu na kuanza kuwasweka ndani? Endeleeni kuua, kutesa, etc matunda mmeanza kuyaona.
 
Nayaona Yale manyang'au yaloratibu kuuawa baadhi ya watu na kupigwa risasi Lissu yaliruka na kukanyagana baada kujua kumbe wanachukiwa sasa mengine yamekumbwa na UVIKO 19 wanaomba kuombewa na akati walizuia wengine wasiombewe.
Sasa hivi tunafundishwa uzalendo na utu wamesahau kama zamu yao imefika
 
Hakika, chuki iliyopo ni kubwa sana, na inaambukiza hasa ukiingia mitandaoni. Ila binafsi sioni unafuu wowote hata kama yanayosemwa yakawa kweli. CCM ni ileile, ina watu wasiojali maisha ya watu bali maisha yao binafsi.
 
Umetoa mfano wa Lissu ambaye alikuwa hapa nchi kwa zaidi ya miezi 3 akasepa kwa njia ya kihuni. Kwa nini unamsemea wakati muda aliokuwepo hapa angefuatilia upelelezi wa shambulio dhidi yake?

Rejea kauli zake kwenye majukwaa ya kampeni, je, ziligusa kushambuliwa kwake zaidi ya kufitinisha Rais aliyeko madarakani na jamii. Huoni yeye Lissu ndiye mwenye silika ya visasi?
Utawala wa kibabe, dharau na majivuno umefika mwisho, sasa mtanyooka tu mbele ya VP Makamba.
 
MATAGA tusirudi nyuma kwenye ule mchakato wetu wa kubadili KATIBA, atake asitake ni lazima AONGEZEWE MIAKA YA KUTAWALA.
 
Mungu Ni mwema ninaamini chuki na uhasama haujawahi kuleta jita katika harakati zozote za maendeleo.

Tumaini langu maisha naamini maisha yatarudi na upendo utarudi tena hata Kama tutapita nyakati kiasi gani.
 
Huenda labda kweli kuna chuki, na huenda hata Wenye chuki hao hawajui haswa kuna nini kinatokea au kinasababisha.

Labda ninachodhani mimi ni kuwa Watu/Binaadamu wana kawaida ya kuwahurumia Wahanga wa majanga yawapatao Ndugu, Jamaa au rafiki zao...na haswa pale kunapokuwa na hisia za uonevu, mfano yaliyomkuta yule Ndugu Ramadhani Ntuzwe.

Pia baadhi ya Watendaji ni Wachochezi wasiojitambua kama wanachchea chuki, kauli kama "tutawapiga mpaka mchakae"....sidhani kama Watu huvutiwa na tabia za kibabe.
 
Huenda labda kweli kuna chuki, na huenda hata Wenye chuki hao hawajui haswa kuna nini kinatokea au kinasababisha.

Labda ninachodhani mimi ni kuwa Watu/Binaadamu wana kawaida ya kuwahurumia Wahanga wa majanga yawapatao Ndugu, Jamaa au rafiki zao...na haswa pale kunapokuwa na hisia za uonevu, mfano yaliyomkuta yule Ndugu Ramadhani Ntuzwe.

Pia baadhi ya Watendaji ni Wachochezi wasiojitambua kama wanachchea chuki, kauli kama "tutawapiga mpaka mchakae"....sidhani kama Watu huvutiwa na tabia za kibabe.
Azory Gwanda

Ben Saanane

Tundu Lissu

Walio magerezani bila makosa

Waliouliwa ndugu zao
 
Ukienda South Africa hii leo ukakutana na ndugu wa Steven Biko na ukafanya nao mazungumzo lazima watakuambia kweli kuwa kuna kovu kubwa ndani ya mioyo yao.

Maana ndugu yao aliuawa bila hatia na utawala dhalimu wa makaburu. Tena aliuawa kifo kibaya. Huu ni mfano tu ambao unaonesha namna gani ukiukwaji wa haki za binadamu unaweza kuzalisha chuki ya kudumu.

Kwa hapa Tanzania kuna chuki kubwa sana ndani ya mioyo ya watanzania hasa baada ya Tundu Lissu kumiminiwa risasi zaidi ya 33 kama vile yeye sio binadamu. Maana ni tukio ambalo kila mtu haamini kuwa anaweza kufanyiwa binadamu aliyekuwa anahoji masuala ya msingi juu ya taifa lake.

My take: Taifa linalotenda haki humuinua Mungu.
Wakati wa risasi hizo ulikuwepo ukashuhudia kwa macho yako?
 
Back
Top Bottom