Bila shaka tumepata picha kamili, uvunjifu wa haki huzalisha chuki ya kudumu

‘evil prevails, when the good do nothing’

Unaamini watu wengi wanachuki na serikali kwa sababu wanaopiga kelele ni watu ambao have never supported it from day one.

Lakini kuna mamilioni ya watanzania na wengi tu ndani ya East African community ambao wanaona kazi kubwa iliyofanywa.
 
Tayari mkuu amepotezwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…