Bila tawala za sasa za Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait kuondolewa madarakani, Israel itaendelea kushikilia ardhi ya Palestina kwa muda mrefu

Fafanua maana ya ustaaarabu na unambie kivipi nimejipinga kauli yangu
Ukiielewa maana yake halafu ukijisoma utaelewa kuwa umejipinga:

Usta = wasta
Arab = Arabu.

Ustaarbu ni wasta wa Kiarabu. Unafahamu maana ya 'wasta"? Kama haufahamu, maana yake ni "influence".

Natumai darsa limekuingia.
 
Acha kujidhalilisha!
Huna hata fedheha kutamka Kuwa warabu ndio wameleta ustaarabu ulikuwa hujastaarabika!๐Ÿ˜‡๐Ÿ™„๐Ÿ˜œ
 
Kwa hiy
Kama tawala Zote hizo za kislamu zinatawaliwa Na Wayahudi Wewe Nani Uwapinge Mgogo Wewe
 
Kwa hiy

Kama tawala Zote hizo za kislamu zinatawaliwa Na Wayahudi Wewe Nani Uwapinge Mgogo Wewe
Hakuna tawala ya Kiislam hapo. Elewa kutofautisha Waislam na Uislam.

Tawala ya Kiislam inakuwa ni Khalifa, kuna hata nchi moja katika nilizozitaja zinatawaliwa na Khalifa?
 
Sasa kila mtu akija na kitabu chake na aseme ndio muongozo wa kweli tutapata suluhisho kweli?
 
Unadai haki ipi wakati Israel ilikua imejituliza zake mkaichokoza sasa mnachapwa mnaanza kukimbilia kudai haki.
 
Makubwa. Umeamua kuanzisha vita vya wenyewe kwa wenyewe?

Halafu kila mtu atakuwa anamsifu vipi Allah?

Interesting. Ndio maana naogopa saba udini unaoambatana na unafiki. Majibu yake yanaanzia hapa duniani na baadae ahera
 
Naona hoja hii ni kiwango cha juu sana kuliko fikra zako.

Ni heri ujisomee au uulize maswali kwa usiyoyaelewa kuliko kubwabwaja na kuhororoja bila mpango.
 
Naona hoja hii ni kiwango cha juu sana kuliko fikra zako.

Ni heri ujisomee au uulize maswali kwa usiyoyaelewa kuliko kubwabwaja na kuhororoja bila mpango.

Leo unataka kuvaa mabomu ukaangushe dola za uarabuni๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Ukiwa umetokea shimo gani sijui. Baada ya kushiba ubweche
 
Unadai haki ipi wakati Israel ilikua imejituliza zake mkaichokoza sasa mnachapwa mnaanza kukimbilia kudai haki.
Duh, imejituliza nyumbani kwa watu?

Hivi aingie mtu nyumbani kwako ajitulize, wewe unakaa unamtazama tu?

Kwa fikra kama zako, sasa umenifanya nielewe kwanini wageni wamejaa huko kwenu wanajichotea mali wapendavyo.
 
Hapa atapapita kama hapaoni vile.
Mtoto wa kike kutwa kuchwa kushabikia vita.
Na kuishia kulialia
"stop the war"
Na hata hajui kuwa vita ina waathiri sana akina mama na watoto.
Namsikitikia sana mume aliyefunganaye Ndoa ya Mkeka.
 
Palestina hana ardhi
 
Ujinga wa kiwango cha juu huu ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Nonsense
 
Hakuna nchi inayoitwa Palestina ktk historia, nchi iliyokuwepo ni ISRAEL na wenye ardhi ni Wayahudi kwa miaka ELFU TATU!!
 
Niliwahi kuandika kuwa hii vita anatafutwa Saudi abia. Mazayuni na Wamarekani hawaiwachi hii vita mpaka Saudi Arabia iingizwe kwenye vita.

Sababu walizonazo za kutaka Saudi Arabia ijingie kwenye hii bita ni nzuri sana kwa upande wao:

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ