FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #201
Ukiielewa maana yake halafu ukijisoma utaelewa kuwa umejipinga:Fafanua maana ya ustaaarabu na unambie kivipi nimejipinga kauli yangu
Usta = wasta
Arab = Arabu.
Ustaarbu ni wasta wa Kiarabu. Unafahamu maana ya 'wasta"? Kama haufahamu, maana yake ni "influence".
Natumai darsa limekuingia.