Bila tawala za sasa za Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait kuondolewa madarakani, Israel itaendelea kushikilia ardhi ya Palestina kwa muda mrefu

Bila tawala za sasa za Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait kuondolewa madarakani, Israel itaendelea kushikilia ardhi ya Palestina kwa muda mrefu

Fafanua maana ya ustaaarabu na unambie kivipi nimejipinga kauli yangu
Ukiielewa maana yake halafu ukijisoma utaelewa kuwa umejipinga:

Usta = wasta
Arab = Arabu.

Ustaarbu ni wasta wa Kiarabu. Unafahamu maana ya 'wasta"? Kama haufahamu, maana yake ni "influence".

Natumai darsa limekuingia.
 
Acha kujidhalilisha!
Huna hata fedheha kutamka Kuwa warabu ndio wameleta ustaarabu ulikuwa hujastaarabika!😇🙄😜
 
Kwa hiy
Nchi haiiamshi nchi, raia wanaoamshwa, usifikiri kila raia wa nchi hizo ni tajiri.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Umeshawahi kumsikia Shah wa Iran? Yuko wapi sasa?

Umeshawahi kumsikia Mfalme farouq? Yuko wapi sasa?

Umeshawahi kumsikia As Senussi? Yuko wapi sasa?

Umeshawahi kuelewa kuwa utawala wa Jordan wa sasa ndiyo pia ukoo huo ulikuwa unaitawala Iraq?

Soma kijana kabla hujakuruouka.

Unafahamu kuwa utawala wa sasa hivi wa Saudi Arabia ni wa kizayuni?

Unafahamu kuwa biashara kubwa zote za UAE zina mkono wa mazayuni? Unajuwa kuwa mazayuni UAE wana haki kuliko raia wa nchi zingine za Kiarabu?
Kama tawala Zote hizo za kislamu zinatawaliwa Na Wayahudi Wewe Nani Uwapinge Mgogo Wewe
 
Kwa hiy

Kama tawala Zote hizo za kislamu zinatawaliwa Na Wayahudi Wewe Nani Uwapinge Mgogo Wewe
Hakuna tawala ya Kiislam hapo. Elewa kutofautisha Waislam na Uislam.

Tawala ya Kiislam inakuwa ni Khalifa, kuna hata nchi moja katika nilizozitaja zinatawaliwa na Khalifa?
 
Usitulishe matango pori!
Kwa mujibu wa Quran Israili siyo nchi wala siyo taifa bali ni jina la pili la mtume Ya'aqub ambaye ndiye baba wa makabila 12 yatokanayo na Nabii Ya'aqub ( Yakobo au Jacob)
Kuna mitume walikuwa na majina mawilimawili.
Kama Nabii Yunus ( Yona) jina lake la pili ni Dhin nuun, Nabii Yaaqubu
( Yakobo/Jacob) jina lake la pili ni Israili , Nabii Isa ( Yesu/Jesus) jina lake la pili ni Masihi, Nabii Muhammad jina lake la pili lililotajwa kwenye Quran ni Ahmad.
Sasa kila mtu akija na kitabu chake na aseme ndio muongozo wa kweli tutapata suluhisho kweli?
 
Kijana, huu siyo ushabiki wa simba na yanga kama mawaao yako yalipoishia. Hizi ni "deep analysis" za watu wenye uelewa wa "geopolitics".

Hapa hatufutwi mshindi wa nani kafunga goli, hapa kinachotafutwa ni ushindi wa haki.

Kwa wenye uelewa, mpaka ikifikia kumuuwa anayedai haki ni ushindi mkubwa sana kwa wadai haki.

Mazayuni na wamerekani wanafikiri haki ya mtu ni kama "'movie" za holywood. Yalipitwa na wakati hayo.
Unadai haki ipi wakati Israel ilikua imejituliza zake mkaichokoza sasa mnachapwa mnaanza kukimbilia kudai haki.
 
Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.

Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.

Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.

Makubwa. Umeamua kuanzisha vita vya wenyewe kwa wenyewe?

Halafu kila mtu atakuwa anamsifu vipi Allah?

Interesting. Ndio maana naogopa saba udini unaoambatana na unafiki. Majibu yake yanaanzia hapa duniani na baadae ahera
 
Naona hoja hii ni kiwango cha juu sana kuliko fikra zako.

Ni heri ujisomee au uulize maswali kwa usiyoyaelewa kuliko kubwabwaja na kuhororoja bila mpango.
 
Naona hoja hii ni kiwango cha juu sana kuliko fikra zako.

Ni heri ujisomee au uulize maswali kwa usiyoyaelewa kuliko kubwabwaja na kuhororoja bila mpango.

Leo unataka kuvaa mabomu ukaangushe dola za uarabuni😂🤣😂😂

Ukiwa umetokea shimo gani sijui. Baada ya kushiba ubweche
 
Unadai haki ipi wakati Israel ilikua imejituliza zake mkaichokoza sasa mnachapwa mnaanza kukimbilia kudai haki.
Duh, imejituliza nyumbani kwa watu?

Hivi aingie mtu nyumbani kwako ajitulize, wewe unakaa unamtazama tu?

Kwa fikra kama zako, sasa umenifanya nielewe kwanini wageni wamejaa huko kwenu wanajichotea mali wapendavyo.
 
FaizaFixy dawa yako ni Al maktoum kakupiga spana umeishia kurukaruka kumbe huna unachokijua kuhusu dini yako, nilitaka nishangae mtu anayeijua dini vizuri awe na mada za kipuuzi kama zako. Al maktoum ahsante sana tushamjua huyu ajuza ni empty kabisa kichwani so tutadeal nae hivyo hivyo.
Hapa atapapita kama hapaoni vile.
Mtoto wa kike kutwa kuchwa kushabikia vita.
Na kuishia kulialia
"stop the war"
Na hata hajui kuwa vita ina waathiri sana akina mama na watoto.
Namsikitikia sana mume aliyefunganaye Ndoa ya Mkeka.
 
Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.

Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.

Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
Palestina hana ardhi
 
Quran huwezi ielewa kwa kusoma Aya moja tu. Lazima uangalie Aya zilizotangulia na zinazofuatia zinazungumzia maudhui gani! Kwa mfano ukisoma ukisoma Aya ya 4 ya sura ya 107/ suuratil maauun. Allaah anasema:
فويل للمصلين.
(Adhabu kali itawapata wenye kuswali)
Unaweza elewa kuwa kuswali ni dhambi na wanaoswali wataadhibiwa na Allaah siku ya kiyama.
Na mtu anaweza tetea hoja hii kwa kusema kwamba Aya Iko wazi kwamba ADHABU KALI ITAWAPATA WENYE KUSWALI au OLE WAO WENYE KUSWALI!.
Lakini ukiunganisha Aya hiyo na Aya inayofuata
الذين هم عن صلاتهم ساهون
"Wale ambao wanazipuuza swala zao ndio utagundua kwamba makusudio ya walengwa katika aya ya nne ni kundi maalumu ya watu wanaoswali bila kuchunga tarafibu za swala kama alovyoelekeza Mtume صلى الله عليه وسلم.
Sasa wewe unapong'ang'ania Aya moja bila kuangalia Aya zilizotangulia ni dalili ya ulimbukeni na uzumbukuku wa kujitia ujuaji wa mambo usiyoyajua!
Ujinga wa kiwango cha juu huu 😀😀
 
Tafauti ya Aya na tafsiri ya Aya ni nini?! Umeleta maneno ya kiswahili halafu unasema siyo tafsiri ya Aya.?! Kwani Quran imeteremshwa kwa lugha ya kiswahili.?! Mbona unashindwa kujitetea kiasi kwamba hata mnaswara anaweza gundua kuwa unadanganya watu.?! Ulicholeta ni translation ya Aya from Arabic halafu unasema ni Aya siyo tafsiri ya Aya! MAJANGA HAYA!.
Nonsense
 
Hakuna nchi inayoitwa Palestina ktk historia, nchi iliyokuwepo ni ISRAEL na wenye ardhi ni Wayahudi kwa miaka ELFU TATU!!
 
Niliwahi kuandika kuwa hii vita anatafutwa Saudi abia. Mazayuni na Wamarekani hawaiwachi hii vita mpaka Saudi Arabia iingizwe kwenye vita.

Sababu walizonazo za kutaka Saudi Arabia ijingie kwenye hii bita ni nzuri sana kwa upande wao:

Back
Top Bottom