Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Pia ikaongeza kwa kusemaQur'an ilishasema:
Qur'an 27:34. ...Hakika wafalme wanapo uingia mji wanauharibu, na wanawafanya wale watukufu wake kuwa wanyonge. Na hivyo ndivyo watendavyo. 34
Naona kama magoli yanaamishwa.kwahiyo wanaotawala nchi hizo ni waisrael?
ASANTE SANA KWA KUNIELIMISHA. i WAS IGNORANT O THIS INFORMTION.Ni " Crypto Jews " ,
Hizo nchi zinaongozwa na waarabu feki ( crypto Jews ) wengi wenye asili ya mizrahi na mapandikizi .
Kama hufuatilii mambo kwa kina huwezi elewa hii comment .
Kinachowaponza waarabu ni kuwepo Kwa mapandikizi ya mazayuni wa kiarabu wanaoitwa Mizrahi
Hawa ni mapandikizi na ndio spies wanaotumika na Israel kwenye nchi zote za kiarabu , mengine mpaka yanajificha kwa kutumia majina ya kiislamu na kuabudu dini ya kiisalmu ila kiundani ni mazayuni
Akili za madrasa! Wanasemaga nae ni miongoni wa wale bikira 72Teh kwa hiyo tawala za nchi karibuni nane ziondolewe ili nchi moja Palestina iwe huru?? hizi ni akili za wapi?
Punguza kukurupuka. Tatizo la Palestine nikubwa zaidi ya unavyodhaniWanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.
Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.
Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
Asamele hei? Oki lulu aiseBibi faiza achana na waarabu hao ni vichwa maji.Israeli ni level nyingine.Maana unawatetea lakini wanakuangusha sana.Kwani ukihamia upande wa pili utapungukiwa na nn maana mwishowe utapata Bp ya uzeeni 🤣🤣🤣
Mzee wetu anafikiri waarabu ndo kila kitu kumbe nao ni eatu tu kama sisiMimi nadhani uzee umemvizia sasa anaanza kuweweseka kwa kuandika mambo ambayo mtu mwenye akili inayojua kutafiti mambo na kutoa matokeo sahihi hawezi kukubaliana na madai yake.
Huwezi kutatuwa tatizo kama hujajuwa mizizi na shina la tatizo. Kumbuka hilo.Punguza kukurupuka. Tatizo la Palestine nikubwa zaidi ya unavyodhani
Nakuomba ukaisaidie palestina front lineWanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.
Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.
Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
Huwezi kutatuwa tatizo kama hujajuwa mizizi na shina la tatizo. Kumbuka hilo.
Unaelewa kuwa nchi nilizozitaja ukiingolea kwa sauti Palestina au Israel unapotezwa na wat
No research no right to speak.Madai yao familia ya Al Saud watawala wa Saudi Arabia ni ya asili ya Wayahudi waliobadili dini miaka ya nyuma😅😅
Lete mfano wa mtu aliyepotezwa kwa kuizungumzia Palestine. Mimi nimesema mapema kwamba matango pori uliyolishwa na akina khamenei wa huko Tehrani yamekutia wazimu sasa umekuwa ni mtu wa kuropoka mambo ambayo huyajui kwakuwa umepandikizwa chuki za kipumbavu dhidi ya waarabu. Magaidi wa kishia walinyongwa Saudiarabia kutokana na chokochoko zao uchochezi na uhaini waliokuwa wanaingiza ndani ndani ya Saudiarabia ndio walikuwa wakiwatetea Palestine.?!Huwezi kutatuwa tatizo kama hujajuwa mizizi na shina la tatizo. Kumbuka hilo.
Unaelewa kuwa nchi nilizozitaja ukiingolea kwa sauti Palestina au Israel unapotezwa na watawala?
No research no right to speak.
Mwanamke wa Kimakua anawafundisha Waarabu namna ya kujatawala 😂Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.
Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.
Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
Wewe si ndiye uliyeongoza sherehe humu jamvini siku Israeli iliposhambuliwa??Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.
Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.
Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
Ni kweli kiasi Fulani...Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.
Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.
Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
Si kweli. Unahadaika na propaganda Za IranHuwezi kutatuwa tatizo kama hujajuwa mizizi na shina la tatizo. Kumbuka hilo.
Unaelewa kuwa nchi nilizozitaja ukiingolea kwa sauti Palestina au Israel unapotezwa na watawala?
Kama Saudia wale ni Wayahudi wa Asili dini ni biashara tukwahiyo wanaotawala nchi hizo ni waisrael?
Hakuna wa kumng'oa Israel hadi kiyama.Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.