Bila tawala za sasa za Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait kuondolewa madarakani, Israel itaendelea kushikilia ardhi ya Palestina kwa muda mrefu

Qur'an ilishasema:

Qur'an 27:34. ...Hakika wafalme wanapo uingia mji wanauharibu, na wanawafanya wale watukufu wake kuwa wanyonge. Na hivyo ndivyo watendavyo. 34
Pia ikaongeza kwa kusema

Na wanapo ambiwa, Msifanye uharibifu ulimwenguni. Husema, Bali sisi ni watengenezaji. Qu'ran 2:11
 
Ni " Crypto Jews " ,
Hizo nchi zinaongozwa na waarabu feki ( crypto Jews ) wengi wenye asili ya mizrahi na mapandikizi .
Kama hufuatilii mambo kwa kina huwezi elewa hii comment .
Kinachowaponza waarabu ni kuwepo Kwa mapandikizi ya mazayuni wa kiarabu wanaoitwa Mizrahi
Hawa ni mapandikizi na ndio spies wanaotumika na Israel kwenye nchi zote za kiarabu , mengine mpaka yanajificha kwa kutumia majina ya kiislamu na kuabudu dini ya kiisalmu ila kiundani ni mazayuni
ASANTE SANA KWA KUNIELIMISHA. i WAS IGNORANT O THIS INFORMTION.

Mizrahi Jew, member or descendant of the approximately 1.5 million Jews who lived in North Africa and the Middle East up until the mid-20th century and whose ancestors did not previously reside in Europe. Collectively labeled ʿEdot Ha-Mizraḥ (Hebrew: “Ethnic Groups of the East”) in Israel upon their mass migration into the country after 1948, they were distinguished from the two other major groups of Jews—the Ashkenazim (a tradition rooted in the Rhineland) and the Sephardim (a tradition rooted in Spain).

Until the mid-20th century, communities of Jews existed throughout North Africa and the Middle East, and their diverse sets of customs varied with location. In the Arab lands of Morocco, Algeria, Tunisia, Libya, Egypt, Yemen, Palestine, Jordan, Lebanon, Iraq, and Syria, Jews spoke Arabic as their native tongue. In Iran, Afghanistan, and Bukhara (Uzbekistan), they spoke Farsi (Persian). In Kurdistan (a region including parts of modern Turkey, Iraq, Iran, Syria, and Armenia), their language was a modern variant of Aramaic. Communities of Jews also existed in India, other parts of Central Asia, and China.

Although a handful of Mizrahi Jews remained in some of these countries into the 21st century, the vast majority migrated to the State of Israel following its establishment in 1948. The early waves of Mizrahi immigration were marked by discrimination and mistreatment from those already established in Israel, who were predominantly Ashkenazi. Still they became an integral part of Israeli society and polity
 
Mkuu ile siyo ardhi ya Wapalestina! Ile ni ardhi ambayo Mwenyezi Mungu aliwapa Wana wa Israel kwa mjibu wa vitabu vyote vya dini,Q5:20-21
Na hakuna wa kuwang'oa pale kwenye ardhi yao,Amos9:14-15
 
Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.

Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.

Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
Punguza kukurupuka. Tatizo la Palestine nikubwa zaidi ya unavyodhani
 
Mimi nadhani uzee umemvizia sasa anaanza kuweweseka kwa kuandika mambo ambayo mtu mwenye akili inayojua kutafiti mambo na kutoa matokeo sahihi hawezi kukubaliana na madai yake.
Mzee wetu anafikiri waarabu ndo kila kitu kumbe nao ni eatu tu kama sisi
 
Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.

Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.

Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
Nakuomba ukaisaidie palestina front line
 
Huwezi kutatuwa tatizo kama hujajuwa mizizi na shina la tatizo. Kumbuka hilo.

Unaelewa kuwa nchi nilizozitaja ukiingolea kwa sauti Palestina au Israel unapotezwa na wat

Madai yao familia ya Al Saud watawala wa Saudi Arabia ni ya asili ya Wayahudi waliobadili dini miaka ya nyuma😅😅
No research no right to speak.
 
Huwezi kutatuwa tatizo kama hujajuwa mizizi na shina la tatizo. Kumbuka hilo.

Unaelewa kuwa nchi nilizozitaja ukiingolea kwa sauti Palestina au Israel unapotezwa na watawala?
Lete mfano wa mtu aliyepotezwa kwa kuizungumzia Palestine. Mimi nimesema mapema kwamba matango pori uliyolishwa na akina khamenei wa huko Tehrani yamekutia wazimu sasa umekuwa ni mtu wa kuropoka mambo ambayo huyajui kwakuwa umepandikizwa chuki za kipumbavu dhidi ya waarabu. Magaidi wa kishia walinyongwa Saudiarabia kutokana na chokochoko zao uchochezi na uhaini waliokuwa wanaingiza ndani ndani ya Saudiarabia ndio walikuwa wakiwatetea Palestine.?!
 
Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.

Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.

Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
Mwanamke wa Kimakua anawafundisha Waarabu namna ya kujatawala 😂
 
Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.

Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.

Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
Wewe si ndiye uliyeongoza sherehe humu jamvini siku Israeli iliposhambuliwa??
 
Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.

Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.

Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
Ni kweli kiasi Fulani...
 
Haya ni matusi ya rejareja kwa miarabu.

Kwamba wameshikwa akili kiasi kwamba kila kitu wanaendeshwa na miyahudi? Tawala zao ni pandikizi, Hamas, Al Qaeda nazo ni njama za miyahud.

Kama miarabu ni vilaza hivi wanaweza nini? Mbona huwa mnawasifia sana. Waje TZ tuwape mafunzo pale TISS HQ.
 
Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.

Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.

Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
Hakuna wa kumng'oa Israel hadi kiyama.

Subiri Iran ajichanganye uone Israel atakavyowafanya. Mtabakii kulia na Marekani.
 
Back
Top Bottom