Al maktoum
JF-Expert Member
- Nov 23, 2022
- 499
- 678
Nachomaanisha ni kwamba masuala ya kesi za ugaidi yamegawanyika kati ya uhalisia na propaganda. Jambo jingine ni kwamba ugaidi hauna dini, Kabila wala taifa. Ugaidi duniani upo miaka mingi tangu hata Nabii Isa hajazaliwa.Kesi ya Nelson Mandela ilikuwa exceptional, haifanani na suala la hizo nchi alizotaja mleta hoja.
Mtu yeyote wa dini yoyote na Kabila na taifa yoyote anaweza kuwa gaidi au kupewa jina la ugaidi.
Hapa TZ Freman Mbowe pia amewahi kushikiliwa na vyombo vya ulinzi na usalama kwa kesi ya ugaidi.
UGAIDI HAUNA DINI Mimi kwa mtazamo wangu hata generation Z walioiba chakula cha wabunge na kuchoma jengo lao pia ni magaidi. Kwa mtazamo wangu pia hata PANYA ROAD ni MAGAIDI.