Bila tawala za sasa za Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait kuondolewa madarakani, Israel itaendelea kushikilia ardhi ya Palestina kwa muda mrefu

Bila tawala za sasa za Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait kuondolewa madarakani, Israel itaendelea kushikilia ardhi ya Palestina kwa muda mrefu

Kesi ya Nelson Mandela ilikuwa exceptional, haifanani na suala la hizo nchi alizotaja mleta hoja.
Nachomaanisha ni kwamba masuala ya kesi za ugaidi yamegawanyika kati ya uhalisia na propaganda. Jambo jingine ni kwamba ugaidi hauna dini, Kabila wala taifa. Ugaidi duniani upo miaka mingi tangu hata Nabii Isa hajazaliwa.
Mtu yeyote wa dini yoyote na Kabila na taifa yoyote anaweza kuwa gaidi au kupewa jina la ugaidi.
Hapa TZ Freman Mbowe pia amewahi kushikiliwa na vyombo vya ulinzi na usalama kwa kesi ya ugaidi.
UGAIDI HAUNA DINI Mimi kwa mtazamo wangu hata generation Z walioiba chakula cha wabunge na kuchoma jengo lao pia ni magaidi. Kwa mtazamo wangu pia hata PANYA ROAD ni MAGAIDI.
 
Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.

Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.

Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
Waarabu wa buza mnataka muanze kulana wenyewe 😂️😂️😂️😂️
 
Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.

Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.

Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
Hopeless human being ever existed in this universe
 
Lete mfano wa mtu aliyepotezwa kwa kuizungumzia Palestine. Mimi nimesema mapema kwamba matango pori uliyolishwa na akina khamenei wa huko Tehrani yamekutia wazimu sasa umekuwa ni mtu wa kuropoka mambo ambayo huyajui kwakuwa umepandikizwa chuki za kipumbavu dhidi ya waarabu. Magaidi wa kishia walinyongwa Saudiarabia kutokana na chokochoko zao uchochezi na uhaini waliokuwa wanaingiza ndani ndani ya Saudiarabia ndio walikuwa wakiwatetea Palestine.?!
Huwa sikisii. Jisomee mwenyewe:

Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.

Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.

Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
Watu wako busy kuwaelimisha wananchi wa Iran waachane na tawala zao za sasa za kupingana na Israel ili mashariki ya kati pawe na Amani huku maisha ya wananchi wa Iran yapate neema.

Zama zimebadilika ndugu.
 
Mwarabu amshinde myahudi? yaan mwana haramu amshinde mwana wa baraka ya agano la Mungu? kamwe hiyo haiwezekani na ndiyo maana kwa kulijua hilo hayo mataifa uliyotaja hawataki shida na Israel, Egypt miaka miaka hiyo akiwa na nguvu aliwakusanya waarabu wenzake na aliishia kula kipondo na kiongozi wake akapata heart atack akafa kibudu.
Mwarabu hapigani na Myahudi kabisa, nani alikudanganya kuna ugomvi wa Mwarabu na Myahudi, kuna ugomvi wa Mazayuni (hawana uyahudi hata chembe) na Waarabu.
 
Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.

Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.

Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
Adui mkubwa wa Mwislam ni Muislam mwenyewe.
Adui mkubwa wa Mwarabu ni Waarab wenzake
 
Teh kwa hiyo tawala za nchi karibuni nane ziondolewe ili nchi moja Palestina iwe huru?? hizi ni akili za wapi?
Huelewi kuwa falsafa ya mazayuni ni "expansionism"? palestina ni kitovu lakini sasa hivi washazitia mkononi nchi zote hizo nilizozitaja.

Hakuna tabu kwenye kutafuta uhuru. Watatokea kina Ghaddafi, Saddam na Ayatollah wengi tu. Njia ya kuelekea kwenye Palestine huru ipo wazi kwa sasa.
 
Wataamkaje ilihali walishalala kitambo halafu hata ile sababu ya kulala kwao haijulikani?!
Labda wewe huijuwi, ni utajiri na starehe zimewalemaza. Kuwakimbiza hao wala haichukuwi muda mregfu, subiri muda si mrefu, mchele unachaguliwa na vitunguu vinamenywa sasa hivi. Karamu haipo mbali kuliwa.
 
Back
Top Bottom