The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Dah uncle ben hupo asee?Teh kwa hiyo tawala za nchi karibuni nane ziondolewe ili nchi moja Palestina iwe huru?? hizi ni akili za wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah uncle ben hupo asee?Teh kwa hiyo tawala za nchi karibuni nane ziondolewe ili nchi moja Palestina iwe huru?? hizi ni akili za wapi?
Endelea kujidanganya wakati wao waarabu wana maisha mazuri kuliko weer hapa BongoTawala za kiarabu wakiamini nchi za Magharibi ndio kimbilio lao badala ya Quran , watapata tabu sana
Usifikiri kwamba Wananchi wote wa nchi hizo ulizotaja ni Wajinga Kama Waarabu wengine. Hao wanajitambua.Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.
Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.
Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
Kaa kitako bimkubwa nikusomeshe kwa sababu huna unalojua kuhusu Quran Wala Tafsiri ya Quran!Qur'an ilishasema:
Qur'an 27:34. ...Hakika wafalme wanapo uingia mji wanauharibu, na wanawafanya wale watukufu wake kuwa wanyonge. Na hivyo ndivyo watendavyo. 34
Usitulishe matango pori!Quran hajawahi kusema Palestine ila imesema Israel.
Tulizeni Mshono someni Vitabu vyenu.
Ziondolewe na nani!? Au unadhani na wao ni mdebwedo kama Wazanzibar?Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.
Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.
Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
Tatizo la Palestine ni wapalestina wenyewe.mambo mengine yatakuumiza kichwa. hao watu watu huko hawajui kuna mtu mweusi wa kuitwa FaizaFoxy. Ifike wakati watu weusi tuachane na habari za hao Israel na waarabu. Habari zao zinatushughulisha kama mafala
ukwel mchungu mwarabu hana akili wala teknolojia ya kupambana na israel na mabwana zake wazungu. muarabu asipotuliza ataendelea kufa kama kuku wa kideli. huwezi kupambana naye kua mpole. hao hamas leaders wao wanakula mema Doha.
Waisraeli wametajwa kwenye Quruani Wapalestina wametajwa wapi?Kwa mujibu wa Quran Israili siyo nchi wala siyo taifa bali ni jina la pili la mtume Ya'aqub
Vip CCM bila kuondolewa tutapata maendeleo kweli?Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.
Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.
Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
Kutajwa kwenye Quran haimaanishi kwamba wayahudi wana ubora wowote mbele ya Allaah!.Waisraeli wametajwa kwenye Quruani Wapalestina wametajwa wapi?
Naomba jibu tafadhali.
Mwarabu amshinde myahudi? yaan mwana haramu amshinde mwana wa baraka ya agano la Mungu? kamwe hiyo haiwezekani na ndiyo maana kwa kulijua hilo hayo mataifa uliyotaja hawataki shida na Israel, Egypt miaka miaka hiyo akiwa na nguvu aliwakusanya waarabu wenzake na aliishia kula kipondo na kiongozi wake akapata heart atack akafa kibudu.Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.
Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.
Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
Nionyeshe kwenye Quruani walipotajwa Wapalestina.Kutajwa kwenye Quran haimaanishi kwamba wayahudi wana ubora wowote mbele ya Allaah!.
Kwa mtazamo wa Makaburu walioitawala Africa ya kusini Hata Nelson Mandela na Samora Machel pia walikuwa magaidi!Usifikiri kwamba Wananchi wote wa nchi hizo ulizotaja ni Wajinga Kama Waarabu wengine. Hao wanajitambua.
Kuna mstari mwembamba Sana unaotenganisha kati ya Uislamu na Ugaidi.
Nitakuonyesha kwa sharti moja tu!Nionyeshe kwenye Quruani walipotajwa Wapalestina.
Waisraeli wamo kwe Quruani.
Mbona inakuwa tabu kuonyesha Palestina kwenye Quruani?!Nitakuonyesha kwa sharti moja tu!
Kesi ya Nelson Mandela ilikuwa exceptional, haifanani na suala la hizo nchi alizotaja mleta hoja.Kwa mtazamo wa Makaburu walioitawala Africa ya kusini Hata Nelson Mandela na Samora Machel pia walikuwa magaidi!
Khaswaa! Maendeleo yanawezekana hata bila ya CCM kuondoka madarakani , hasa ukizingatia kwamba chama chenye uwezo wa kuiondoa CCM madarakani kitaanzishwa miaka 55 ijayo!.Vip CCM bila kuondolewa tutapata maendeleo kweli?
Nilikuwa najaribu kumjibu huyo bibi hapo juu. Anawalaumu waarabu wakati yeye hapa ccm imemshindwa kaungana nayoKhaswaa! Maendeleo yanawezekana hata bila ya CCM kuondoka madarakani , hasa ukizingatia kwamba chama chenye uwezo wa kuiondoa CCM madarakani kitaanzishwa miaka 55 ijayo!.