Bila "tumbua tumbua" haya Maendeleo tunayoyashuhudia leo yasingekuwepo

Bila "tumbua tumbua" haya Maendeleo tunayoyashuhudia leo yasingekuwepo

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Kama unadhani ufisadi ulianza jana basi unajidanganya sana.

Awamu ya kwanza kulikuwa na ufisadi wa kutisha sema mawasiliano wakati ule yalikuwa duni tu, utakumbuka RIP Nalaila Kiula alivyopiga dili pale UDA au yule mbunge wa Temeke mh Masoud na issue ya kivuko au wale akina Balyagati na michongo ya Hazina.

Syle ya Tumbua tumbua ya awamu ya 5 ndio ilikuwa mwarobaini.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!

Maendeleo hayana vyama.
 
Mama kasema atakua anarekebisha hato tumbua
Samaki mkunje angali mbichi...Tumeacha utandawazi ufundishe watoto badala ya sisi kuwafundisha wao uzalendo alafu eti kashakua mkubwa mwenye fikra za wizi,utamwambia nini?Hapo subiri disappointment.
 
Mwenye macho haambiwi tazama.Asiyejua maana haambiwi maana.
Mtu amekopa matrillion 29 na fedha haziendani na maendeleo, halaf mnasema tumbua tumbua. Kwanza mtuambie hizo hela zimefanyia nini? Pamoja na ile trilioni 1.5 iliyoibwa na Magufuli
 
Mtu amekopa matrillion 29 na fedha haziendani na maendeleo, halaf mnasema tumbua tumbua. Kwanza mtuambie hizo hela zimefanyia nini? Pamoja na ile trilioni 1.5 iliyoibwa na Magufuli
Tatizo mnaendekeza siasa.Kabla ya awamu ya tano Tanzania ilikua ina jumla ya deni kiasi gani na hilo deni limeleta maendeleo yapi?Vipi na ile pesa ya sakata la escroo Jakaya akakimbia nchi.

Unasema fedha haziendani na maendeleo ,je wewe ni mwanauchumi?Unajua hata gharama ya kusimamisha nguzo ya chuma high voltage ya tanesco?Jana Kyela Mbeya nguzo mbili tu zimehujumiwa na watu wa chuma cha kavu tayari milioni900 inahitajika.SGR unadhani trilioni ngapi?Nyerere dam je?

Trilioni shiling sio chochote mzee katika maendeleo ya nchi kwenda ngazi za juu za kiuchumi.
 
Mtu amekopa matrillion 29 na fedha haziendani na maendeleo, halaf mnasema tumbua tumbua. Kwanza mtuambie hizo hela zimefanyia nini? Pamoja na ile trilioni 1.5 iliyoibwa na Magufuli
Rudi nchi mjinga mmoja wewe uone marahemu alichokuwa anafanya.
 
Rudi nchi mjinga mmoja wewe uone marahemu alichokuwa anafanya.
Amefanya nini kilichokamilika mpaka wakati amekufa? Ameacha miradi yote ipo nusu, pamoja na kukopa matrillion yote hayo 29, na kuteka na kumnyang'anya wafanyabiashara hela zao... wajinga kama nyie mkiona stand ndo mnaona maendeleo 🚮
 
Walati mwingine huwa najiuliza hivi Raisi wetu alimkosea nini Makamu wake ? Mbona kama Uraisi wake kila anachofanya ni kujaribu ku prove kwamba yeye ni bora? Kuna haja gani ya kufanya hivyo ? Au labda ni more personal ? Kwa maana imevuka mipaka sasa duh !
 
Tatizo mnaendekeza siasa.Kabla ya awamu ya tano Tanzania ilikua ina jumla ya deni kiasi gani na hilo deni limeleta maendeleo yapi?Vipi na ile pesa ya sakata la escroo Jakaya akakimbia nchi.

Unasema fedha haziendani na maendeleo ,je wewe ni mwanauchumi?Unajua hata gharama ya kusimamisha nguzo ya chuma high voltage ya tanesco?Jana Kyela Mbeya nguzo mbili tu zimehujumiwa na watu wa chuma cha kavu tayari milioni900 inahitajika.SGR unadhani trilioni ngapi?Nyerere dam je?

Trilioni shiling sio chochote mzee katika maendeleo ya nchi kwenda ngazi za juu za kiuchumi.
Kabla ya awamu ya 5 deni lilikuwa ni Trillion 36 tu...na barabara za lami zilikuwa zimejengwa km 12,000 zimefika nchi nzima, shule za sekondari kila kata, vituo vya afya, vyuo nk... Niambie Magu kwenye miaka 5 ame accomplish nini? Nothing. Hakuna cha Dam, SGR wala nini, pamoja na kukopa matrillion yote
 
Sio tu tumbuatumbua, wengine wanapaswa kwenda jela na kufa kabisa...
 
Kama unadhani ufisadi ulianza jana basi unajidanganya sana.

Awamu ya kwanza kulikuwa na ufisadi wa kutisha sema mawasiliano wakati ule yalikuwa duni tu, utakumbuka RIP Nalaila Kiula alivyopiga dili pale UDA au yule mbunge wa Temeke mh Masoud na issue ya kivuko au wale akina Balyagati na michongo ya Hazina.

Syle ya Tumbua tumbua ya awamu ya 5 ndio ilikuwa mwarobaini.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!

Maendeleo hayana vyama.
Tumbua tumbua ya Awamu ya 5 ilikuwa ni ya maonezi haikuwa na TIJA yeyote. Labda kwa kuwa wewe johnthebaptist siyo muathirika wala huna ndugu aliyeathirika.

Katiba yetu inatambua "presumption of innocence"; kuwa mtu yeyote achukuliwe kama mtuhumiwa hadi Mahakama itakapothibitisha.

Magufuli aliingoza Serikali DHALIMU iliyovunja misingi ya Katiba na kutofuata UTAWALA wa Sheria. Kumpongeza Magufuli kwa kuwatumbua watu kwa kisingizio cha kuleta maendeleo ni UPOFU wa kifikra.
 
Nchi itaibgia kwenywe wizi wa hali ya juu
Kwenye uwizi wa Hali ya Juu Magufuli ndiye aliweka rekodi. Kwa mwaka 2016-18 alikwiba Tsh 2.4 Trillion. Ushahidi ni CAG Report, ukibisha hili hustahili kuwa JF kama great thinker
 
Back
Top Bottom