Bila Ukristo Dunia ingekalika? Mfano, Myahudi apigwe na kulemewa na Irani, Waarabu wangeandamana kupinga mauwaji ya wayahudi?

Bila Ukristo Dunia ingekalika? Mfano, Myahudi apigwe na kulemewa na Irani, Waarabu wangeandamana kupinga mauwaji ya wayahudi?

Wayahudi hawatumii biblia wala quran ..tena kitabu chao kinachuki dhidi wakristu kama ile tamaduni yao ya kuwatemea mate .. ni moja ya maagizo ndani ya kitabu chao .."Tora"
Tora?? Au Torati mkuu

Torati ni kitabu cha Musa ambacho ni muunganiko wa Biblia
 
Bila ukristo dunia ingeisha kitambo sana, ukristo ndio chanzo cha ustaraabu, ukristo ndio chanzo cha amani.
Ukristo(missionary) ndio ulitumika kututawala Waafrika- huko shuleni ulienda kujifunza ujinga
 
Tanaka ni Kiebrania, ambalo linamaana ya Bible
Is it the same bible Christians they are using .. agano jipya ..agano la kale ... Msilazimishe mambo Jews they don't believe in Jesus at list Muslims wanaamini kama nabii .. for them ni mtu muongo aliyesaliti dini yake na kuanzisha a cult
 
Hebu tuambie taifa lipi lakikristo? Navyo jua taifa la kikristo ni Vatican tu.

Nchi za kiarabu nani anaye fata Uislam hebu ni pin point nchi moja tu inayo fata sheria za kislam?

Ukiongelea warabu wanasaidia nchi nyingi tu za kikristo, ambazo unazo zikusudia wewe wa kwanza huyo America bila pesa ya mwarabu asinge weza kuwa super power mpaa leo.

Warabu wanasaidia kimya kimya sio hao mabwege zako.

Dunia ikipata nchi inafata sheria za Kislam, watu wangeishi kwenye nema kubwa sana.
 
Hebu tuambie taifa lipi lakikristo? Navyo jua taifa la kikristo ni Vatican tu.

Nchi za kiarabu nani anaye fata Uislam hebu ni pin point nchi moja tu inayo fata sheria za kislam?

Ukiongelea warabu wanasaidia nchi nyingi tu za kikristo, ambazo unazo zikusudia wewe wa kwanza huyo America bila pesa ya mwarabu asinge weza kuwa super power mpaa leo.

Warabu wanasaidia kimya kimya sio hao mabwege zako.

Dunia ikipata nchi inafata sheria za Kislam, watu wangeishi kwenye nema kubwa sana.
Kama ni kimya kimya, wewe umejuaje kama siyo uwongo huu mkuu
 
Dini ya mudy ni hatari kwa usalama wa dunia!! Na kama mbabe wa dunia angetokea kwenye dini hiyo, duniani wa kristo wangeishi kwa tabu sana!! Mimi nilichokutana nacho pemba, kilinifanya niamini hiyo sio dini bali......
Mkuu
Huko Pemba Umekutana Na Nini Hasa Kubwa/Baya
 
Hebu tuambie taifa lipi lakikristo? Navyo jua taifa la kikristo ni Vatican tu.

Nchi za kiarabu nani anaye fata Uislam hebu ni pin point nchi moja tu inayo fata sheria za kislam?

Ukiongelea warabu wanasaidia nchi nyingi tu za kikristo, ambazo unazo zikusudia wewe wa kwanza huyo America bila pesa ya mwarabu asinge weza kuwa super power mpaa leo.

Warabu wanasaidia kimya kimya sio hao mabwege zako.

Dunia ikipata nchi inafata sheria za Kislam, watu wangeishi kwenye nema kubwa sana.
Pesa gani ya nchi za kiarabu iliyo iwezesha Marekani kuwa super power..!! Na kwa nini wasitumie hiyo pesa basi ili wenyewe ndio wawe super power...!!

Waarabu wamewahi kusaidia nchi gani ya kikristo duniani kama kusaidia hata waislam wenzao tu hawawezi, Yemen pale ni maskini wa kutupwa.

Sheria za karne ya saba haziwezi kukubalika katika dunia ya sasa iliyostaarabika na ndio maana hata waarabu wengi wanakimbilia nchi za magharibi ili kukwepa madhila ya kukaa chini ya Savage Islamic Sharia Law.
 
Hoja yako mfu,,, kinachofanya wanavyuo wa kimarekani kuandamana ni utu na wala sio dini,, kwa kuwa kule gaza mpaka makanisa yapo,, kwa nini nchi yao itoe sapoti watoto na akina mama wauliwe bila hatia!! Hii ndio hoja yao na wala sio dini,, tuliosoma kyuba tushajua uzi wako unalenga nini,,,
Wengi waandamanaji ni wahamiaji waarabu, waislam na waafrica wasio na akili, wazungu wengi wanaoandamana ni uninformed na wachache sana ni utu tuu, kipigo kinachoendelea ni malipo ya uhuni wa hamas 0ctober 7, huwezi kuua wayahudi 1000 na kuteka mamia halafu utegemee wayahudi wakae kimya
 
Nimeamua kuandika maoni yangu bila kusoma hoja za wanazengo, kwa uelewa wangu finyu.
Neno "dini ya kiislamu" kwa lugha yetu ya wanazengo, inamaanisha ni dini ya amani. Kosa la kuutoa uhai wa mtu ni Kosa kubwa sana n dini inalikemea hili vikali.
Dini ya kiislamu imehalalisha vita kwa msingi ya dini tu. Nikisema hivi ninamaanisha, *waislam watalapoingiliwa kwenye ibada yao, hapo ndipo wanaporuhusiwa kupigana ili kuutetea uhuru wao kule wa kuabudu.
Wanaojitoa mhanga kwa kujilipua n watu wengine, sawa ni waislam ila hawaatekelezi agenda yeyote ya kiislamu n uislam hausapoti magaidi. Kwanza ugaidi sio uislam n wala hautokuja kuwiana.
Wengi wanavinyooshea vidole vikundi vya kigaidi wakisema ni uislam, wanakosea. Hivi vikundi (Mfano boko haram, Islamic isis, Al shabaab, m23 nk) vinafadhiliwa n mabepari ili kusababisha vita katika eneo husika kwa manufaa yao wenyewe.
Hivi inaingia kweli akilini mtu kujiita muislam, anatekeleza mauaji chini ya kivuli cha uislam ilhali mfadhili wa hizo harakati zote za kigaidi ikiwepo kuwapa hawa magaidi silaha ni mungu?? Mmesahau kilichotokea Libya??
Waafrika tumekubali kuwa n fikra finyu sana. Inawezekanaje mimi kumtuma mtu akatekeleze mauaji, nimpe pesa kama malipo n silaha za mauaji, alafu baada ya mauaji mimi nisihusishwe n kama mtuhumiwa?? Kuruhusu fikra kama hizi ni upumbavu uliotukuka au tumerogwa n aliyetoraga amefariki??
Hivi hamuoni dini ya kiislam inavyosaidia kuyalinda maadili yetu yasimomonyoke na hulka za kidunia?? Imekataza wasichana wasivae uchi, Imekataza ushoga, kuzini ilhali upande wa pili kila kitu ni sawa tu.
Imagine, kuna dini imempa binadamu madaraka ya kusamea dhambi, imeruhusu ushoga, ndoa za jinsia moja na wala hatuyaongelei haya.
Hivi mnaweza kulinganisha maisha ya nchi ya kiislam kama Oman n yale ya Rome au America?? Hivi kweli hatujui kuwa mmarekani ndio mfadhili mkuu wa vita kubwa duniani n vikundi vya kivita??
Aliyoyafanya mjerumani vita kuu ya dunia, mmarekani kule yiroshima, mrusi kule Ukraine, Israel kule Palestine, hivi haya yangefanywa n nchi ya kiislam ingekuwaje?? Kwann wengine wanauwa maelfu kwa mamilioni ya binadamu ndani ya masaa 24 alafu tunachukulia poa tu, ilhali kikifanya kitukio kikundi kinachofadhiliwa n mabepari chini ya kivuli cha uislam dunia nzima kunakuwa hapakaliki??
Hivi hamjui kipindi cha Hitler uislam ulikuwa unamtupa mtu 6ft under?? Imewahi kutokea hata cku moja waislam kuwauwa wakristo kama Hitler alichokifanya?? Kwanin hiki mnalifumbia macho?? Au ndio ivyo tumekubali kusikiliza n kuwaamini mabepari kila wakisemacho ijapokuwa tunajua wanatupoteza bila ya kujali. Sio haki kabisa
 
Historia haisemi kabisa kabisa iwapo kuna taifa la Kiislamu limewahi kuandamana kupinga mauwaji ya Wakirsto na ama Wayahudi na bila shaka ni tangu Uislamu uwahi kuwepo Duniani, hii ni tofauti kabisa na Ukristo, wapo tayati kupigwa risasi na maasikari wa nchi zao kuwaandamania Waisilamu kupinga mauwaji yanayofanywa dhidi yao!😢

Wakristo ni watu wasitarabu na wenye kujali sana, na upendo wao na huruma kwa kila mtu bila kujali dini, ni huruka yao na maisha ya halisi ya kiongozi wao na mwokozi wao Bwana Yesu Kristo

Upendo wa Yesu aliouonyesha kwa dunia nzima, kwa kujitoa yeye mwenyewe kubeba dhambi na makosa ya walimwengu wote, kuwafia watu wote kwa kujitoa sadaka ya mwili wake na kumwaga damu ili kulipia deni zote za watu wote na wao wawe huru na kisha waurithi uzima wa milele, ni wa kuangaliwa sana na kustajabiwa na kila mtu mwenye akili timamu

Na kwa upendo huo, kwa wanaomfuata, wameuvaa na kuwaonesha watu wote ulimwenguni kwamba, wao wanahuruma za kama Kiongozi wao YESU mioyoni mwao, wako tayari kuwatetea watu wote bila kujali matendo yao ya wanaowatetea,

Ikumbukwe pia kwamba, Wapalestine ndio walioanza kuichokoza Israel

Kutokana na hayo, mimi najiuliza tu, Ingekuwa Wayahudi ndio wanaopigwa na kuteswa na Wapalestine na ama Irani na ama nchi yoyote ya Kiisilamu, Je, nchi za Kiislamu na waislamu kote walipo, wangeandamana kupinga mauwaji hayo kwa Wakristo au wasio wa dini ya Kiislamu? Au wengeendelea kufurahia kwamba wanaokufa ni makafiri?

Tuna nchi kama ya Nigeria ambako wakristo wanapukutika kwa kuuliwa waziwazi na Waislamu, sjawahi kuona hata tamko tu la nchi yoyote ya Kiarabu au ya Kiislamu kulaani mauwaji hayo zaidi ya haohao Wakristo kutoka kwenye nchi za Kikristo

Nahitimisha kusema, iwapo Dunia nzima ingeishi kwa namna Wakristo waishivyo, kusingekuwa na mauwaji haya yanayoendelea leo, Dunia ingekuwa paradise!

Hongereni sana Mataifa ya Kikristo kwa kuandamana kwa ajiri ya kuwatetea warabu na waislamu ambao ki ukweli kabisa, hawajawahi kuwapenda Wakristo na au kuwaona kuwa nao ni watu wanaostahili kuishi!

Hongerni Wamarekani, wafaransa, Wahispain na nchi nyingi zenye wakristo wengi zinazoandamana kwa ajiri wa Waislamu wa Palestine

Mathanzua . Malaria 2

FaizaFoxy tuishini kwa upendo tu na amani
Wavaakobazi watapinga,walishaaminishwa na shetnai wao all kuwa muislamu ndugu yake muslamu,hivyo waponafurahi mateso kwa wasio waislamu,dini ya hovyo sana hii vibaguzi na vishenzi.
 
Hakuna uhusiano wa ukristo na Amani ya dunia...

Labda kama unataka kutetea dini yako.

Amani ya dunia imeletwa na sheria za haki za kibinadamu zilizo piganiwa na kutetewa mara nyingi sana na wanaharakati.

Dini zimeleta mpasuko mkubwa na utengano mkubwa wa watu katika jamii, Kila mtu akidai na kutetea dini yake ndio ya kweli na haki.
Haki za binadamu zilianzia kwenye mataifa yenye mlengo wa dini Gani?
 
Haki za binadamu zilianzia kwenye mataifa yenye mlengo wa dini Gani?
Haki za binadamu hazikuletwa kwa dini ya taifa fulani au dini ya mtu fulani.

Haki za kibinadamu zililetwa na wanaharakati regardless ya dini zao.

Malcom X, Alikuwa Mwislamu na alipigania sana haki za watu weusi.

Muhammad Ali alikuwa mwislamu na yeye alitetea haki za binadamu.

Martin Luther King Jr alikuwa mkristo na yeye alipigania haki za kibinadamu.

Maana hata uhuru wa kuabudu ni haki za binadamu zinazofaa kutetewa.
 
Wangekuwan wanatengeneza mabomu ya kujimaliza wao kwa wao.
Sema Ukristo umeleta ustaarabu sana hata ktk maisha yao!
 
Hakuna uhusiano wa ukristo na Amani ya dunia...

Labda kama unataka kutetea dini yako.

Amani ya dunia imeletwa na sheria za haki za kibinadamu zilizo piganiwa na kutetewa mara nyingi sana na wanaharakati.

Dini zimeleta mpasuko mkubwa na utengano mkubwa wa watu katika jamii, Kila mtu akidai na kutetea dini yake ndio ya kweli na haki.


Dini zimeleta mpasuko mkubwa na utengano mkubwa wa watu katika jamii, Kila mtu akidai na kutetea dini yake ndio ya kweli na haki.
Comments za uzi husika zinadhihirisha comment yako mkuu
 
Back
Top Bottom