Bila Ukristo Dunia ingekalika? Mfano, Myahudi apigwe na kulemewa na Irani, Waarabu wangeandamana kupinga mauwaji ya wayahudi?

Historia haisemi kabisa kabisa iwapo kuna taifa la Kiislamu limewahi kuandamana kupinga mauwaji ya Wakirsto na ama Wayahudi na bila shaka ni tangu Uislamu uwahi kuwepo Duniani, hii ni tofauti kabisa na Ukristo, wapo tayati kupigwa risasi na maasikari wa nchi zao kuwaandamania Waisilamu kupinga mauwaji yanayofanywa dhidi yao!😢

Wakristo ni watu wasitarabu na wenye kujali sana, na upendo wao na huruma kwa kila mtu bila kujali dini, ni huruka yao na maisha ya halisi ya kiongozi wao na mwokozi wao Bwana Yesu Kristo

Upendo wa Yesu aliouonyesha kwa dunia nzima, kwa kujitoa yeye mwenyewe kubeba dhambi na makosa ya walimwengu wote, kuwafia watu wote kwa kujitoa sadaka ya mwili wake na kumwaga damu ili kulipia deni zote za watu wote na wao wawe huru na kisha waurithi uzima wa milele, ni wa kuangaliwa sana na kustajabiwa na kila mtu mwenye akili timamu

Na kwa upendo huo, kwa wanaomfuata, wameuvaa na kuwaonesha watu wote ulimwenguni kwamba, wao wanahuruma za kama Kiongozi wao YESU mioyoni mwao, wako tayari kuwatetea watu wote bila kujali matendo yao ya wanaowatetea,

Ikumbukwe pia kwamba, Wapalestine ndio walioanza kuichokoza Israel

Kutokana na hayo, mimi najiuliza tu, Ingekuwa Wayahudi ndio wanaopigwa na kuteswa na Wapalestine na ama Irani na ama nchi yoyote ya Kiisilamu, Je, nchi za Kiislamu na waislamu kote walipo, wangeandamana kupinga mauwaji hayo kwa Wakristo au wasio wa dini ya Kiislamu? Au wengeendelea kufurahia kwamba wanaokufa ni makafiri?

Tuna nchi kama ya Nigeria ambako wakristo wanapukutika kwa kuuliwa waziwazi na Waislamu, sjawahi kuona hata tamko tu la nchi yoyote ya Kiarabu au ya Kiislamu kulaani mauwaji hayo zaidi ya haohao Wakristo kutoka kwenye nchi za Kikristo

Nahitimisha kusema, iwapo Dunia nzima ingeishi kwa namna Wakristo waishivyo, kusingekuwa na mauwaji haya yanayoendelea leo, Dunia ingekuwa paradise!

Hongereni sana Mataifa ya Kikristo kwa kuandamana kwa ajiri ya kuwatetea warabu na waislamu ambao ki ukweli kabisa, hawajawahi kuwapenda Wakristo na au kuwaona kuwa nao ni watu wanaostahili kuishi!

Hongerni Wamarekani, wafaransa, Wahispain na nchi nyingi zenye wakristo wengi zinazoandamana kwa ajiri wa Waislamu wa Palestine

Mathanzua . Malaria 2

FaizaFoxy tuishini kwa upendo tu na amani
Umapata tabu na kujiumiza kichwa,hao waarabu na waisrael ni ndugu na wote wako mashariki ya kati,angalia wanavyofanana kwa mambo yao.
1.Maandishi yao yanaandikwa kutoka kuia kwenda kushoto.
2.Maandishi yao,yanasomeka kutoka kulia kwenda kushoto.
Wayahudi hawatumii biblia wala quran ..tena kitabu chao kinachuki dhidi wakristu kama ile tamaduni yao ya kuwatemea mate .. ni moja ya maagizo ndani ya kitabu chao .."Tora"
Umeelezea vizuri sana.
 
Comments za uzi husika zinadhihirisha comment yako mkuu
Yani kama si sheria za kiserikali kuanzishwa kila mtu angetaka dini yake ndio iwe katiba ya kuongoza nchi nzima.

Kama wafanyavyo Taliban kule Afghanistan.

Dini lazima ziwe controlled kwa sheria kali sana, Maana dini ni sumu mbaya katika jamii.
 
Ohhh sorry inaitwa Tanaka

Labda nisaidie uelewe, neno Tanakh ni kifupisho cha makundi matatu muhimu ya Biblia ya Kiyahudi kwa maana Torah (Instruction, or Law, also called the Pentateuch - Vile vitabu vitano vya Musa), Neviʾim (Prophets- Manabii kama Isaya, Amos, Nehemia, Yeremia n.k), and Ketuvim (Writings- vitabu vya historia kama Wimbo ulio bora, Mithali, Mhubiri, Ayub n.k).

Hivyo neno hilo Tanakh linachukua zile herufi za mwanzo za makundi hayo matatu hivyo vitabu.

Na Tanakh ni Biblia ya kiyahudi kwa ukamilifu wake.

Sasa hapo unachosema wewe njiwa ni kile kilichomo kwenye kitabu kingine cha Wayahudi kiitwacho Talmud.
Talmud ni kitabu kinachokusanya mafundisho ya walimu wa Kiyahudi ni
kama zile hadith za mtume. Zinazungumzia maisha ya wayahudi kwa kupitia mifano halisi ya watu wao mashuhuri.
Talmud siyo maandisho ambayo Wayahudi wanadai kuwa yametoka kwa Mungu na mengi yamejaa chuki za wazi kwa watu ambao siyo Wayahudi.

Natumaini umeelewa
 
Labda nisaidie uelewe, neno Tanakh ni kifupisho cha makundi matatu muhimu ya Biblia ya Kiyahudi kwa maana Torah (Instruction, or Law, also called the Pentateuch - Vile vitabu vitano vya Musa), Neviʾim (Prophets- Manabii kama Isaya, Amos, Nehemia, Yeremia n.k), and Ketuvim (Writings- vitabu vya historia kama Wimbo ulio bora, Mithali, Mhubiri, Ayub n.k).

Hivyo neno hilo Tanakh linachukua zile herufi za mwanzo za makundi hayo matatu hivyo vitabu.

Na Tanakh ni Biblia ya kiyahudi kwa ukamilifu wake.

Sasa hapo unachosema wewe njiwa ni kile kilichomo kwenye kitabu kingine cha Wayahudi kiitwacho Talmud.
Talmud ni kitabu kinachokusanya mafundishi ya walimu wa Kiyahudi ni
kama zile hadith za mtume. Zinazungumzia maisha ya wayahudi kwa kupitia mifano halisi ya watu wao mashuhuri.
Talmud siyo maandishi ambayo Wayahudi wanadai kuwa yametoka kwa Mungu na mengi yamejaa chuki za wazi wa watu ambao siyo Wayahudi.

Natumaini umeelewa
Baaasi basi basi! Inatosha kabisa mkuu

Labda anamajibu, ngoja tumsubiri aje kutetea hoja yake
 
Yani kama si sheria za kiserikali kuanzishwa kila mtu angetaka dini yake ndio iwe katiba ya kuongoza nchi nzima.

Kama wafanyavyo Taliban kule Afghanistan.

Dini lazima ziwe controlled kwa sheria kali sana, Maana dini ni sumu mbaya katika jamii.
Dini ilitakiwa iwe moja tu, kusingekua na matatizo mengi, its either you are in or out
 
Nimeamua kuandika maoni yangu bila kusoma hoja za wanazengo, kwa uelewa wangu finyu.
Neno "dini ya kiislamu" kwa lugha yetu ya wanazengo, inamaanisha ni dini ya amani. Kosa la kuutoa uhai wa mtu ni Kosa kubwa sana n dini inalikemea hili vikali.
Dini ya kiislamu imehalalisha vita kwa msingi ya dini tu. Nikisema hivi ninamaanisha, *waislam watalapoingiliwa kwenye ibada yao, hapo ndipo wanaporuhusiwa kupigana ili kuutetea uhuru wao kule wa kuabudu.
Wanaojitoa mhanga kwa kujilipua n watu wengine, sawa ni waislam ila hawaatekelezi agenda yeyote ya kiislamu n uislam hausapoti magaidi. Kwanza ugaidi sio uislam n wala hautokuja kuwiana.
Wengi wanavinyooshea vidole vikundi vya kigaidi wakisema ni uislam, wanakosea. Hivi vikundi (Mfano boko haram, Islamic isis, Al shabaab, m23 nk) vinafadhiliwa n mabepari ili kusababisha vita katika eneo husika kwa manufaa yao wenyewe.
Hivi inaingia kweli akilini mtu kujiita muislam, anatekeleza mauaji chini ya kivuli cha uislam ilhali mfadhili wa hizo harakati zote za kigaidi ikiwepo kuwapa hawa magaidi silaha ni mungu?? Mmesahau kilichotokea Libya??
Waafrika tumekubali kuwa n fikra finyu sana. Inawezekanaje mimi kumtuma mtu akatekeleze mauaji, nimpe pesa kama malipo n silaha za mauaji, alafu baada ya mauaji mimi nisihusishwe n kama mtuhumiwa?? Kuruhusu fikra kama hizi ni upumbavu uliotukuka au tumerogwa n aliyetoraga amefariki??
Hivi hamuoni dini ya kiislam inavyosaidia kuyalinda maadili yetu yasimomonyoke na hulka za kidunia?? Imekataza wasichana wasivae uchi, Imekataza ushoga, kuzini ilhali upande wa pili kila kitu ni sawa tu.
Imagine, kuna dini imempa binadamu madaraka ya kusamea dhambi, imeruhusu ushoga, ndoa za jinsia moja na wala hatuyaongelei haya.
Hivi mnaweza kulinganisha maisha ya nchi ya kiislam kama Oman n yale ya Rome au America?? Hivi kweli hatujui kuwa mmarekani ndio mfadhili mkuu wa vita kubwa duniani n vikundi vya kivita??
Aliyoyafanya mjerumani vita kuu ya dunia, mmarekani kule yiroshima, mrusi kule Ukraine, Israel kule Palestine, hivi haya yangefanywa n nchi ya kiislam ingekuwaje?? Kwann wengine wanauwa maelfu kwa mamilioni ya binadamu ndani ya masaa 24 alafu tunachukulia poa tu, ilhali kikifanya kitukio kikundi kinachofadhiliwa n mabepari chini ya kivuli cha uislam dunia nzima kunakuwa hapakaliki??
Hivi hamjui kipindi cha Hitler uislam ulikuwa unamtupa mtu 6ft under?? Imewahi kutokea hata cku moja waislam kuwauwa wakristo kama Hitler alichokifanya?? Kwanin hiki mnalifumbia macho?? Au ndio ivyo tumekubali kusikiliza n kuwaamini mabepari kila wakisemacho ijapokuwa tunajua wanatupoteza bila ya kujali. Sio haki kabisa
Huwezi ukatudanganya kwamba magaidi eti wanafadhiliwa na mabepari wakati wenyewe magaidi kwa pamoja wanalikanusha hilo na kudai kwamba wenyewe wanampigania mungu wao anayeitwa allah na kwamba wakifa wakimpigania huyo mungu wao wanaenda akhera na kupewa mabikra 72 wenye macho kama mayai na uume unasimama kwa mwaka mzima na pombe inayotiririka kwenye mito ya huko akhera.

Kwa akili ya kawaida tu waislam kamwe hawawezi kukubali kumtumikia kafiri hivyo acheni uongo wenu kwani hatujaona hata siku moja waislam wakiandamana kulaani hivyo vikundi vya kigaidi pale vinapofanya vitendo vyao vya kigaidi na sana sana tunaona tu wakiviunga mkono na kulaani yale mataifa yaliyo mstari wa mbele kupigana dhidi ya ugaidi.
 
Hakuna uhusiano wa ukristo na Amani ya dunia...

Labda kama unataka kutetea dini yako.

Amani ya dunia imeletwa na sheria za haki za kibinadamu zilizo piganiwa na kutetewa mara nyingi sana na wanaharakati.

Dini zimeleta mpasuko mkubwa na utengano mkubwa wa watu katika jamii, Kila mtu akidai na kutetea dini yake ndio ya kweli na haki.
Sahihi
 
Nimeamua kuandika maoni yangu bila kusoma hoja za wanazengo, kwa uelewa wangu finyu.
Neno "dini ya kiislamu" kwa lugha yetu ya wanazengo, inamaanisha ni dini ya amani. Kosa la kuutoa uhai wa mtu ni Kosa kubwa sana n dini inalikemea hili vikali.
Dini ya kiislamu imehalalisha vita kwa msingi ya dini tu. Nikisema hivi ninamaanisha, *waislam watalapoingiliwa kwenye ibada yao, hapo ndipo wanaporuhusiwa kupigana ili kuutetea uhuru wao kule wa kuabudu.
Wanaojitoa mhanga kwa kujilipua n watu wengine, sawa ni waislam ila hawaatekelezi agenda yeyote ya kiislamu n uislam hausapoti magaidi. Kwanza ugaidi sio uislam n wala hautokuja kuwiana.
Wengi wanavinyooshea vidole vikundi vya kigaidi wakisema ni uislam, wanakosea. Hivi vikundi (Mfano boko haram, Islamic isis, Al shabaab, m23 nk) vinafadhiliwa n mabepari ili kusababisha vita katika eneo husika kwa manufaa yao wenyewe.
Hivi inaingia kweli akilini mtu kujiita muislam, anatekeleza mauaji chini ya kivuli cha uislam ilhali mfadhili wa hizo harakati zote za kigaidi ikiwepo kuwapa hawa magaidi silaha ni mungu?? Mmesahau kilichotokea Libya??
Waafrika tumekubali kuwa n fikra finyu sana. Inawezekanaje mimi kumtuma mtu akatekeleze mauaji, nimpe pesa kama malipo n silaha za mauaji, alafu baada ya mauaji mimi nisihusishwe n kama mtuhumiwa?? Kuruhusu fikra kama hizi ni upumbavu uliotukuka au tumerogwa n aliyetoraga amefariki??
Hivi hamuoni dini ya kiislam inavyosaidia kuyalinda maadili yetu yasimomonyoke na hulka za kidunia?? Imekataza wasichana wasivae uchi, Imekataza ushoga, kuzini ilhali upande wa pili kila kitu ni sawa tu.
Imagine, kuna dini imempa binadamu madaraka ya kusamea dhambi, imeruhusu ushoga, ndoa za jinsia moja na wala hatuyaongelei haya.
Hivi mnaweza kulinganisha maisha ya nchi ya kiislam kama Oman n yale ya Rome au America?? Hivi kweli hatujui kuwa mmarekani ndio mfadhili mkuu wa vita kubwa duniani n vikundi vya kivita??
Aliyoyafanya mjerumani vita kuu ya dunia, mmarekani kule yiroshima, mrusi kule Ukraine, Israel kule Palestine, hivi haya yangefanywa n nchi ya kiislam ingekuwaje?? Kwann wengine wanauwa maelfu kwa mamilioni ya binadamu ndani ya masaa 24 alafu tunachukulia poa tu, ilhali kikifanya kitukio kikundi kinachofadhiliwa n mabepari chini ya kivuli cha uislam dunia nzima kunakuwa hapakaliki??
Hivi hamjui kipindi cha Hitler uislam ulikuwa unamtupa mtu 6ft under?? Imewahi kutokea hata cku moja waislam kuwauwa wakristo kama Hitler alichokifanya?? Kwanin hiki mnalifumbia macho?? Au ndio ivyo tumekubali kusikiliza n kuwaamini mabepari kila wakisemacho ijapokuwa tunajua wanatupoteza bila ya kujali. Sio haki kabisa
Sasa una maana wao Waislam hawana akili mpaka wakubali kutumiwa na watu wa magharibi kufanya ugaidi?
 
Dini zote ni takataka, ingawa dini zote ni uzushi na uongo lakini kwa wahindu na wabudha hawa ndio pekee wenye dini zilizo na amani&upendo wa kweli, dini zinginezo ni ushenzi mtupu.

Hasa kwa kizazi hiki tunachoongozwa kwa sheria zilizo na utu hatukutakiwa kabisa kuwa wafuasi wa hizi dini zilizoletwa kwa nia ovu na ushenzi mwingi.

Ukristo na uislam ndio chanzo cha maovu duniani, bila hizi takataka dunia ingekuwa mahala salama sana
 
Mimi ni mkristo lakini nadiriki kusema you nothing of what u talking about. Do you think religion has anything do with the world piece or chaos.?

Ipo hivi hata huo ukristo unaosemea wewe ukafatilia historia yake vzr Kuna time waliuana sana sababu ya kueneza au kuupinga ukristo. Ulaya Kuna time inaitwa the medieval time hao wakatoliki walipigana sana vita vinaitwa vita vya msalaba na commander wa vita in chief alikuwa ni pope mwenyewe.

Wamenyukana sana ila walipoona vita Haina faida wakakaa pamoja na kuamua kuingia mikataba ya kuheshimiana kila mtu kadili anaoona aabudu inavomfaa ila tuu uheshimu utu na haki ya mtu.

My bro SISI wakristo pia tulikuwa eashenzi tuu, tumeua na kuuana sana kwa ajili ya interest lakni lkn trust me tulibadili mtazamo tuu baada ya kuona vita hainaga mbabe. Yaani unashinda vita lakni unaishi maisha magumu Bora hata usingepigana ile vita.

Nimeongea sana. Badae
 
Asamte kwa kutuleta kwenye historia ya enzi hiyo ya kuipambania Imani kabla haijaelewaka na kukolea, hata hivyo kuna mahali umeiacha hoja

Je? Uisilamu au nchi ya za kiislamu zinaweza kuandamana kupinga mauwaji ya Wakristo kunapotokea vita kama ilivyo kwa Israeli na Wapalestine, mataifa kama ya marekani, Uhispania, Ufaransa ambayo ni mataifa ya Wakristo wengi kuandamana kupinga mauwaji ya Wapalestine ambao ni Waisilam kwa uwingi wao

Au watakuwa wakifurahia tu na kujisemea wanaokufa ni makafiri?
 
Hakuna uhusiano wa ukristo na Amani ya dunia...

Labda kama unataka kutetea dini yako.

Amani ya dunia imeletwa na sheria za haki za kibinadamu zilizo piganiwa na kutetewa mara nyingi sana na wanaharakati.

Dini zimeleta mpasuko mkubwa na utengano mkubwa wa watu katika jamii, Kila mtu akidai na kutetea dini yake ndio ya kweli na haki.
Wakristo hawatetei deni yao sisi waislam ndio tunatetea dini yetu. Wakristo wao wanaielezea dini yao ilivo hawaitetei Ndo mana hata ukiitukana din yao huwa sio wakali sana wanaacha dini yao ijitetee yenyewe. Kuna kitu cha kujifunza hapa waislamu wenzangu
 
Back
Top Bottom