Tora?? Au Torati mkuuWayahudi hawatumii biblia wala quran ..tena kitabu chao kinachuki dhidi wakristu kama ile tamaduni yao ya kuwatemea mate .. ni moja ya maagizo ndani ya kitabu chao .."Tora"
Ohhh sorry inaitwa TanakaTora?? Au Torati mkuu
Torati ni kitabu cha Musa ambacho ni muunganiko wa Biblia
Ukristo(missionary) ndio ulitumika kututawala Waafrika- huko shuleni ulienda kujifunza ujingaBila ukristo dunia ingeisha kitambo sana, ukristo ndio chanzo cha ustaraabu, ukristo ndio chanzo cha amani.
Is it the same bible Christians they are using .. agano jipya ..agano la kale ... Msilazimishe mambo Jews they don't believe in Jesus at list Muslims wanaamini kama nabii .. for them ni mtu muongo aliyesaliti dini yake na kuanzisha a cultTanaka ni Kiebrania, ambalo linamaana ya Bible
Kama ni kimya kimya, wewe umejuaje kama siyo uwongo huu mkuuHebu tuambie taifa lipi lakikristo? Navyo jua taifa la kikristo ni Vatican tu.
Nchi za kiarabu nani anaye fata Uislam hebu ni pin point nchi moja tu inayo fata sheria za kislam?
Ukiongelea warabu wanasaidia nchi nyingi tu za kikristo, ambazo unazo zikusudia wewe wa kwanza huyo America bila pesa ya mwarabu asinge weza kuwa super power mpaa leo.
Warabu wanasaidia kimya kimya sio hao mabwege zako.
Dunia ikipata nchi inafata sheria za Kislam, watu wangeishi kwenye nema kubwa sana.
MkuuDini ya mudy ni hatari kwa usalama wa dunia!! Na kama mbabe wa dunia angetokea kwenye dini hiyo, duniani wa kristo wangeishi kwa tabu sana!! Mimi nilichokutana nacho pemba, kilinifanya niamini hiyo sio dini bali......
Wao walileta neno la Mungu huo wa kitawala ni uongo mtupu,waarabu ndio haswaa wahusika wa hii biashara haramu ya watumwa na ushahidi upo.Ukristo(missionary) ndio ulitumika kututawala Waafrika- huko shuleni ulienda kujifunza ujinga
Pesa gani ya nchi za kiarabu iliyo iwezesha Marekani kuwa super power..!! Na kwa nini wasitumie hiyo pesa basi ili wenyewe ndio wawe super power...!!Hebu tuambie taifa lipi lakikristo? Navyo jua taifa la kikristo ni Vatican tu.
Nchi za kiarabu nani anaye fata Uislam hebu ni pin point nchi moja tu inayo fata sheria za kislam?
Ukiongelea warabu wanasaidia nchi nyingi tu za kikristo, ambazo unazo zikusudia wewe wa kwanza huyo America bila pesa ya mwarabu asinge weza kuwa super power mpaa leo.
Warabu wanasaidia kimya kimya sio hao mabwege zako.
Dunia ikipata nchi inafata sheria za Kislam, watu wangeishi kwenye nema kubwa sana.
Wengi waandamanaji ni wahamiaji waarabu, waislam na waafrica wasio na akili, wazungu wengi wanaoandamana ni uninformed na wachache sana ni utu tuu, kipigo kinachoendelea ni malipo ya uhuni wa hamas 0ctober 7, huwezi kuua wayahudi 1000 na kuteka mamia halafu utegemee wayahudi wakae kimyaHoja yako mfu,,, kinachofanya wanavyuo wa kimarekani kuandamana ni utu na wala sio dini,, kwa kuwa kule gaza mpaka makanisa yapo,, kwa nini nchi yao itoe sapoti watoto na akina mama wauliwe bila hatia!! Hii ndio hoja yao na wala sio dini,, tuliosoma kyuba tushajua uzi wako unalenga nini,,,
Unamtisha?Tena wewe usiyeamini Mungu ungekuwa tageti ya kwanza bila ukristo.
Wavaakobazi watapinga,walishaaminishwa na shetnai wao all kuwa muislamu ndugu yake muslamu,hivyo waponafurahi mateso kwa wasio waislamu,dini ya hovyo sana hii vibaguzi na vishenzi.Historia haisemi kabisa kabisa iwapo kuna taifa la Kiislamu limewahi kuandamana kupinga mauwaji ya Wakirsto na ama Wayahudi na bila shaka ni tangu Uislamu uwahi kuwepo Duniani, hii ni tofauti kabisa na Ukristo, wapo tayati kupigwa risasi na maasikari wa nchi zao kuwaandamania Waisilamu kupinga mauwaji yanayofanywa dhidi yao!😢
Wakristo ni watu wasitarabu na wenye kujali sana, na upendo wao na huruma kwa kila mtu bila kujali dini, ni huruka yao na maisha ya halisi ya kiongozi wao na mwokozi wao Bwana Yesu Kristo
Upendo wa Yesu aliouonyesha kwa dunia nzima, kwa kujitoa yeye mwenyewe kubeba dhambi na makosa ya walimwengu wote, kuwafia watu wote kwa kujitoa sadaka ya mwili wake na kumwaga damu ili kulipia deni zote za watu wote na wao wawe huru na kisha waurithi uzima wa milele, ni wa kuangaliwa sana na kustajabiwa na kila mtu mwenye akili timamu
Na kwa upendo huo, kwa wanaomfuata, wameuvaa na kuwaonesha watu wote ulimwenguni kwamba, wao wanahuruma za kama Kiongozi wao YESU mioyoni mwao, wako tayari kuwatetea watu wote bila kujali matendo yao ya wanaowatetea,
Ikumbukwe pia kwamba, Wapalestine ndio walioanza kuichokoza Israel
Kutokana na hayo, mimi najiuliza tu, Ingekuwa Wayahudi ndio wanaopigwa na kuteswa na Wapalestine na ama Irani na ama nchi yoyote ya Kiisilamu, Je, nchi za Kiislamu na waislamu kote walipo, wangeandamana kupinga mauwaji hayo kwa Wakristo au wasio wa dini ya Kiislamu? Au wengeendelea kufurahia kwamba wanaokufa ni makafiri?
Tuna nchi kama ya Nigeria ambako wakristo wanapukutika kwa kuuliwa waziwazi na Waislamu, sjawahi kuona hata tamko tu la nchi yoyote ya Kiarabu au ya Kiislamu kulaani mauwaji hayo zaidi ya haohao Wakristo kutoka kwenye nchi za Kikristo
Nahitimisha kusema, iwapo Dunia nzima ingeishi kwa namna Wakristo waishivyo, kusingekuwa na mauwaji haya yanayoendelea leo, Dunia ingekuwa paradise!
Hongereni sana Mataifa ya Kikristo kwa kuandamana kwa ajiri ya kuwatetea warabu na waislamu ambao ki ukweli kabisa, hawajawahi kuwapenda Wakristo na au kuwaona kuwa nao ni watu wanaostahili kuishi!
Hongerni Wamarekani, wafaransa, Wahispain na nchi nyingi zenye wakristo wengi zinazoandamana kwa ajiri wa Waislamu wa Palestine
Mathanzua . Malaria 2
FaizaFoxy tuishini kwa upendo tu na amani
Haki za binadamu zilianzia kwenye mataifa yenye mlengo wa dini Gani?Hakuna uhusiano wa ukristo na Amani ya dunia...
Labda kama unataka kutetea dini yako.
Amani ya dunia imeletwa na sheria za haki za kibinadamu zilizo piganiwa na kutetewa mara nyingi sana na wanaharakati.
Dini zimeleta mpasuko mkubwa na utengano mkubwa wa watu katika jamii, Kila mtu akidai na kutetea dini yake ndio ya kweli na haki.
Haki za binadamu hazikuletwa kwa dini ya taifa fulani au dini ya mtu fulani.Haki za binadamu zilianzia kwenye mataifa yenye mlengo wa dini Gani?
Hakuna uhusiano wa ukristo na Amani ya dunia...
Labda kama unataka kutetea dini yako.
Amani ya dunia imeletwa na sheria za haki za kibinadamu zilizo piganiwa na kutetewa mara nyingi sana na wanaharakati.
Dini zimeleta mpasuko mkubwa na utengano mkubwa wa watu katika jamii, Kila mtu akidai na kutetea dini yake ndio ya kweli na haki.
Comments za uzi husika zinadhihirisha comment yako mkuu
Dini zimeleta mpasuko mkubwa na utengano mkubwa wa watu katika jamii, Kila mtu akidai na kutetea dini yake ndio ya kweli na haki.