beefinjector
JF-Expert Member
- Jul 23, 2009
- 2,458
- 2,496
Uongo mwingine huu. Naelewa maana ya lobbying, wewe ndio inaelekea hujui maana yake. Hueleweki hata unaongea nini.Hao ni wakwepaji wakubwa wa tax na ma lobyist wa kimataifa.
[emoji117]Elewa lobyist ni nini kwanza[emoji23][emoji2]
AiseeMjumuiko wa tabia zote mbaya ndani ya sura yenye tabasamu na suti ya vipande vitatu.
Kanisani viti vya mbele, high table na waheshimiwa kwenye dhifa za kitaifa
Niletee reliable sources. Nyuzi za JF nazo ni source? Halafu kama kila mtu anajua hizo "siri" kwa nini bado zinaitwa siri?Tafuta nyuzi za siri za utajiri wa hao Jamaa, zipo kitambo sana tu humu JF na ushahidi tele.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Huo msamaha wa kodi ni Corporate Tax na sio kodi na makusanyo mengineyoRaia wa kigeni wakianzisha biashara bongo wanapewa msamaha wa kodi kwa miaka mi5 ya kwanza
Lakni ww mwenyeji ukifungua biashara yako leo, tegemea kesho kufatwa na TRA, FIRE, H/MASHAURI, TBS, TFDA, 0SHA, NEMC and the likes!!
Kwa namna hyo unafikiri utatoboa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Twitter threatens legal action over Meta's "copycat" Threads, report saysAcha ujuaji kafuatilie kesi, ambayo mark Ali walipa wale mapacha waanzilishi.
Shida una kuwa ujuaji wa kipuuzi, una jua ni deal ngapi hao kina gates wame support off tracks??Uongo mwingine huu. Naelewa maana ya lobbying, wewe ndio inaelekea hujui maana yake. Hueleweki hata unaongea nini.
Muuaji huyo kupitia machanjo yake na misaadaAbrahamovich nafaham umafia wake na Rafiki yake Putin. Bill Gates sifahamu chochote mi nilidhani amepitia njia za kawaida tu bila makandokando yoyote, kwani ana tuhuma gani?
watu wanaangalia mambo juu juu sanaHao ndo mafundi wa upigaji, wakwepaji wakubwa wa tax na ma lobyist wa kimataifa 😂 mshamba_hachekwi ona hi😂😃
Kuna mtu kaja kubishana hapo juu, eti lobyist ni uongo😂😃watu wanaangalia mambo juu juu sana
tatizo watu hawaangalii taarifa habari😆Kuna mtu kaja kubishana hapo juu, eti lobyist ni uongo😂😃
Acha waishi kwa kukariri😂😃tatizo watu hawaangalii taarifa habari😆
sijaskia hiyo, ila kawaida ya hawa majamaamshamba_hachekwi una jua gate Ali mfanya Richard nixon aka jiuzulu😂😃.
👉Kisa lobying ya kipuuzi😂
SanaInafikirisha sana aisee
Kuvaa nguo za gharama, na kula vyakula vya bei mbaya migahawani ni kiashiria cha umasikini.
Unaponunua nguo za gharama kila wakati na kula vyakula kwenye migàhawa ya kifahari, jua kwamba wewe ni mrija wa utajiri wa mtu fulani. Unampelekea pesa, je wewe anakupa nini?
Ukipunguza matumizi yasiyo ya lazima, ukaanzisha kabiashara kako kadogo, utatamani kukakuza na kukaongeza kabiashara kako hako.
Pia chakula cha kula nyumbani kiko healthy na fresh
Hapana mark hakuwa part ya hao watu 3Hapa umechapia mwanzo mwisho ...
Facebook ilianzishwa na marafiki wa tatu Na Mark zuckerberg akiwemo.
Mtandao wa Twitter hakuwa Mark zucker
Nilikuwa sijaona hii post kwa kuwa hukuni-quote.beefinjector una jua chanzo Cha kustaafu kwa Raisi Richard nixon ??
[emoji117]Kata fute Ali fanya nini, kwa Nini na Ali staafu kwa sababu zipi??
[emoji117]Deal aliyo ambiwa ai support kutoka kwa gates[emoji848]
Ulivyonitajia Rais Nixon na Bill Gates kwenye sentensi moja umepoteza legitimacy ya huu mjadala. Nime-confirm kwamba hujui kitu.Shida una kuwa ujuaji wa kipuuzi, una jua ni deal ngapi hao kina gates wame support off tracks??
[emoji117]Nyingine zikiwa na athari kwa jamii, au kuua upinzani katika sekta fulani??
View attachment 2752129