Sio walimu tu, bali ni watumishi wote wa umma labda wavaa makombati ndio wameongezewa.Ngoja walimu waje, tuwasikie kua wanashawishia au lah!
😃😃 Mkuu wewe huyo huyo ndo mleta uzi halafu wewe huyo huyo ndo mtoa comments 😁 waachie walimu tuone wanachangia Nini hapo!.Mimi nimewaza labda mwanasiasathe huyu ataanza hivi;
Unajua ndugu mwalimu nimekujengea flaiova (japo mwl yupo kakonko)...
Mfanyakazi hewa hiyo, sema aliponea chupuchupu kama bwabwa la UbelgijiMama yangu mzazi mwaka jana nimemwambia uwalimu kwa Tanzania ni laana ulivyofika mwezi wa tano kazi kaacha.
Mtoto mjinga humuudhi mamake, same thing you did broh!.Mama yangu mzazi mwaka jana nimemwambia uwalimu kwa Tanzania ni laana ulivyofika mwezi wa tano kazi kaacha.
Walimu tuko pamoja na mwalimu mwenzetu hadi kieleweke[emoji2][emoji2] Mkuu wewe huyo huyo ndo mleta uzi halafu wewe huyo huyo ndo mtoa comments [emoji16] waachie walimu tuone wanachangia Nini hapo!.
Meaning no offense [emoji28].
Watumishi wa umma tuko pamoja na Mh. Rais Magufuli mpaka miradi aliyoanzisha ikamilike!Sio walimu tu,bali ni watumishi wote wa umma labda wavaa makombati ndio wameongezewa.
Utampa Nani mkuu!?, Membe au Tl tujuane mapema.Mm ni mwalimu kusema kweli kutoka moyoni Magufuri hawez pata kura yangu
Ndio maana nimewaomba walimu waache unafiki waseme ukweli kwasababu nasikia mshahara wako ukiathiriwa kwa namna yoyote ile inaathiri mafao Yao ya uzeeni ya kustahafu ! Sasa je kama wanakubalina na kujenga nchi wanajua consequences zake baadae?Walimu wanaelewa sana ,hawana tatizo labda ni were tu huelewi kwa nini most shahara haipandi.
Tunajenga nchi kwanza.
Mleta uzi nilikwambia subiria maoni ya walimu, maoni mwenyewe ndo Kama haya Sasa, kwako mleta uzi.Kwa niaba ya walimu wenzangu tunasema mshahara unatosha na wala hatuhitaji nyongeza na kura tutampa Magufuli.
CCM oyee...😅