Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,741
- 13,049
Upo sahihi.Maisha ya waaalimu yameboreka mnooSio kweli kura zao zipo za kutosha. Unajua wapo wangapi? Na wanachama wetu huko unajua ni wangapi? Na ndugu na jamaa zao ni wangapi? Kama hujui haya basi hujui ugumu au urahisi uliopo