Uchaguzi 2020 Bila unafiki unamshawishije mwalimu ambaye hajaongezwa mshahara kwa miaka mitano na bado ukambambika makato ya bodi kibabe aipende CCM?

Please acha kuwatukana mkuu!, Usimlazishe mtu aamini unachokiamini wewe Mkuu unakwama wapi!, Kila anauhuru wa kuchagua anachokipenda ili mladi tu asivunje sheria, hata Kama wamepata mateso ndani ya miaka mitano but they still love JPM. Tusijifanye wajuzi wa Mambo mkuu[emoji51][emoji51].
Uko sahihi mkuu na hata hayo mateso hawajayapata walimu. Shida ni pale mtu anapotaka kutyaminisha walimu ndo watumishi wa umma wenye hali mbaya kitu ambacho si kweli. Na nashindwa kuelewa inapokuja agenda yoyote inayohusu wafanyakazi wa Umma wachangiaji wote wanakimbilia kwa walimu. Kutakuwa na shida kwenye kufikiri kwenye upande wa wanafunzi.
 
Mimi ni muajiriwa lakini nitaipigia kura CCM.

Wadanganye wasiojua kupembua mambo. Kama unafikiri kuongeza mishahara ni suala la kusema bila mikakati ya kuongeza tija na uzalishaji ulu mapato yawe yaongezeke basi mwambie mgombea wako arudi kwanza akajifunze uchumi.

Urais na uanaharakati ni vitu viwili tofauti kabisa.
Nami lazima niipigie kura CCM japo ni mwajiriwa. Hakuna mshahara umtoshao mtumishi.
 
Mimi ni muajiriwa lakini nitaipigia kura CCM.

Wadanganye wasiojua kupembua mambo. Kama unafikiri kuongeza mishahara ni suala la kusema bila mikakati ya kuongeza tija na uzalishaji ulu mapato yawe yaongezeke basi mwambie mgombea wako arudi kwanza akajifunze uchumi.

Urais na uanaharakati ni vitu viwili tofauti kabisa.
I love it 😍, keep up the good work.
 
Uko sahihi mkuu na hata hayo mateso hawajayapata walimu. Shida ni pale mtu anapotaka kutyaminisha walimu ndo watumishi wa umma wenye hali mbaya kitu ambacho si kweli. Na nashindwa kuelewa inapokuja agenda yoyote inayohusu wafanyakazi wa Umma wachangiaji wote wanakimbilia kwa walimu. Kutakuwa na shida kwenye kufikiri kwenye upande wa wanafunzi.
Asante sana mkuu tuko pamoja katika ujenzi wa taifa hili.
 
Lissu akitembea na wafanyakaz vizuri hakika jiwe yuko taabani! Ingawa kwa upande wa walimu kuna shida kidogo ktk uelewa wao,walimu walio wengi n mazezeta sana! Akili zao ziko kama za kuku n wepesi kusahau maumivu waliyoyapata ndan ya miaka mitano pind wapatato nafas ya kusimamia uxhaguz
Et Magu yuko taabani unajuwa wafanyakazi wapo wangapi kura zipo kijijini bwashee
 
Walimu ni moja ya kada ya mazezeta nchini, wananyanyaswa ila wakati wa kuchakachua wanakua mstali mwa mbele kwani wengi wao ndio wanakua wasimamizi wa uchaguzi
 
Hebu tuwàsaidie hawa wenzetu kujibu swali hili japo naamini watumishi wote hawajaongezewa mishahara kwa miaka mitano mfululizo.

Mimi sio mwajiriwa wa Government Ila hebu leo nivae viatu vyao.

Imagine wewe ndio mwenyekiti wa chama cha siasa taifa unakuja kumuomba kura mwalimu ambae hujamuongeza mshahara wake kwa miaka mitano na Kama haitoshi ukampiga makato ya bodi ya mikopo ya 8% kibabe je mwalimu huyu unamshawishije akupe kura leo?

Hebu nisaidieni Mimi nimeshindwa.

Tiririka namna utakavyomshawishi mwalimu huyu akupe kura, tena mwaka huu na asahau ubaya uliomfanyia.

Kazi kwenu mabingwa wa kutongoza!
hao jamaa wametufundisha, ila linapokuja swala la kufikiria wapo nyuma sana. nawaona wameanzisha kitu eti wanaita shirikisho la waalimu la kuunga mkono chama
mi nadhani mshahara unawatosha
 
Walimu ni moja ya kada ya mazezeta nchini, wananyanyaswa ila wakati wa kuchakachua wanakua mstali mwa mbele kwani wengi wao ndio wanakua wasimamizi wa uchaguzi
Inaonyesha directly kuwa wewe ni muhanga katika like sakata la vyeti hewa!, Huwezi kumlazimisha mtu aamini unachokiamini wewe, mbona vijana wa siku hampo vizuri upstairs 😁
 
Hebu tuwàsaidie hawa wenzetu kujibu swali hili japo naamini watumishi wote hawajaongezewa mishahara kwa miaka mitano mfululizo.

Mimi sio mwajiriwa wa Government Ila hebu leo nivae viatu vyao.

Imagine wewe ndio mwenyekiti wa chama cha siasa taifa unakuja kumuomba kura mwalimu ambae hujamuongeza mshahara wake kwa miaka mitano na Kama haitoshi ukampiga makato ya bodi ya mikopo ya 8% kibabe je mwalimu huyu unamshawishije akupe kura leo?

Hebu nisaidieni Mimi nimeshindwa.

Tiririka namna utakavyomshawishi mwalimu huyu akupe kura, tena mwaka huu na asahau ubaya uliomfanyia.

Kazi kwenu mabingwa wa kutongoza!
Walimu wenyewe baadhi kwa kutojitambua wanayataka hayo madudu ya ccm
 
Unamwambia Mwalimu sasa unaweza kupanda Bombadier na kutua Chato International Air port
 
Walimu ni moja ya kada ya mazezeta nchini, wananyanyaswa ila wakati wa kuchakachua wanakua mstali mwa mbele kwani wengi wao ndio wanakua wasimamizi wa uchaguzi
Uko mpinzani lakini onesha adabu angalau kidogo hii ndo sababu kubwa walimu huchukia wapinzani kwa sababu ya lugha yao kwa walimu wao. Kwanza inakuwaje mpaka uwatukane walimu? Halafu mpewe nchi. Really? Naamini hamtakuwa serious!
 
Back
Top Bottom