NYAREMA
JF-Expert Member
- Mar 2, 2013
- 370
- 314
Uko sahihi mkuu na hata hayo mateso hawajayapata walimu. Shida ni pale mtu anapotaka kutyaminisha walimu ndo watumishi wa umma wenye hali mbaya kitu ambacho si kweli. Na nashindwa kuelewa inapokuja agenda yoyote inayohusu wafanyakazi wa Umma wachangiaji wote wanakimbilia kwa walimu. Kutakuwa na shida kwenye kufikiri kwenye upande wa wanafunzi.Please acha kuwatukana mkuu!, Usimlazishe mtu aamini unachokiamini wewe Mkuu unakwama wapi!, Kila anauhuru wa kuchagua anachokipenda ili mladi tu asivunje sheria, hata Kama wamepata mateso ndani ya miaka mitano but they still love JPM. Tusijifanye wajuzi wa Mambo mkuu[emoji51][emoji51].