Uchaguzi 2020 Bila unafiki unamshawishije mwalimu ambaye hajaongezwa mshahara kwa miaka mitano na bado ukambambika makato ya bodi kibabe aipende CCM?

Sio kweli kura zao zipo za kutosha. Unajua wapo wangapi? Na wanachama wetu huko unajua ni wangapi? Na ndugu na jamaa zao ni wangapi? Kama hujui haya basi hujui ugumu au urahisi uliopo
Upo sahihi.Maisha ya waaalimu yameboreka mnoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…