Bila Upelelezi kukamilika hakuna kukamata, ukiachiwa na Mahakama hakuna kukamatwa tena

Ndio
 
Someni hii kwa makini
 
Hakika ni kweli,
 
Hakika Rais Samia ameletwa Tanzania kuliponya Taifa,

Kitendo cha kukutana na Tundu Lissu Brussels Ubelgiji ni kiwango cha juu kabisa cha Uzalendo kwa Taifa,

Tumuunge mkono Rais wetu kwa haya kwani anastahili sana,
Tanzania iko vizuri,
 
Karibia ni miaka 2 sasa tangia mabadiliko haya lakini mahabusu za polisi zinajaa watuhumiwa mpaka wengine wanafia humo na hatuoni wahusika kuchukuliwa hatua yoyote!
Nchi hii raia watajikomboa wenyewe watakaposimama pamoja nakuacha unafiki na umimi kwamba lisipokukuta wewe basi halikuhusu!
Njia rahisi ni kufungua mashitaka dhidi ya ukamatwaji usio halali.
 
Safi sana Mama,
 
Bado, washughulike na suala la kubambikia kesi, hapo ndio mzizi wa fitina utakakwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…