Kwangu bila VPN hutoboi kiongozi labda ni mtandao nao tumia maana kuna kipindi Magu alizima twitter lakini nlikuwa napata bila VPNOk yawezekana, nawaomba wajaribu kuingia bila VPN kwanza ili wajiridhishe ingawa nakubali kuwa tar 21 Twitter ilisumbua labda kianzia siku hiyo wanajua iko banned😀
advance on- proxyWalewale, badala ya kuelekeza namna ya kutumia unaendeleza utanzania.
We nawe Acha dharau kwani kuna ugumu gani kutumia vpnWatu ukiwauliza unatumiaje VPN wanaleta theories! Hakuna mwenye namna yenye mashiko. Watz kwa ujuaji? Ndo maana masikini !
Naunga mkono hoja ongeza lingine mkuuAliyetoa maelekezo ya kufunga pumbavu zake
Nyie woote woongo. Screenshot utuwekee hapaKuna Simu na simu, mbona yangu naingia fresh tuu na wala situmii npv?
Screenshot utuonyeshe! Acha uongo!Kuna Simu na simu, mbona yangu naingia fresh tuu na wala situmii npv?
Mxiuuuuuh!1. Nenda Google play download Secure VPN. (Zipo nyingi tu zingine)
2. Install
3. Ulimaliza kuinstall, click kwenye icon yake uianzishe/uifungue
4. Ikifunguka click connect
5. Ikisema connected nenda website yeyote itafunguka
Weka screenshot tuoneMimi hapa situmii VPN na inafanya kazi au wamezuia kwa Zones? Na hapa nabalizi kama kawa kawa
Mie leo najisikia kulia tu 😢😢
Kwanini bro wangu mzuri🥲🥲🥲Mie leo najisikia kulia tu 😢😢
Bro 😭😭😭😭Kwanini bro wangu mzuri🥲🥲🥲
I remember that time hata mimi nililazimika kutumia VPN. Mimi natumia Tigo by now na mpaka sasa na surf fresh huko twitani.Kwangu bila VPN hutoboi kiongozi labda ni mtandao nao tumia maana kuna kipindi Magu alizima twitter lakini nlikuwa napata bila VPN
Ok kama sasa nilikuwa namsoma huyo Wabiro alivyoingia cha kike kumwita Gwajiboy an idiot kwa kutoelewa alichokiongea Gwajima😀Weka screenshot tuone